MWANAMKE AANGUA KILIO AKIELEZEA MUME ALIVYOMTELEKEZA NA UJAUZITO WA MAPACHA "ALINIPA ELFU SITINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @tatuluanda6581
    @tatuluanda6581 ปีที่แล้ว +2

    Pole dada ila mie napenda nizae mapacha mungu nijaaliye tumbo langu nipate zao la pacha yarrab

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 ปีที่แล้ว +3

    Dah!! Mungu atupe umri mrefu wanawake

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Awabariki Sana kwa kuwashika mkono wanawake,Pia pole Sana Dada angu, Na hongera kwa kukataa kutoa Mimba, Mungu Awakuze wajekukusaidia.

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 ปีที่แล้ว

    Mungu nijalie na mm nipate mapacha watatu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲 dear God

  • @teddyelizabeth9358
    @teddyelizabeth9358 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana

  • @USTAWIWAJAMIITZ
    @USTAWIWAJAMIITZ ปีที่แล้ว +1

    Serikari Iangalie sana Ustawi Wa Jamiii , inafanya kazi Kubwa ilaa Haithaminiki kabisa ..

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kitu kama Ustawi WA Jamii. Mimi niliachwa na mimba ya miezi mitano mpaka SASA mtoto ana miaka 22. Wanaume Wana roho ngumu Sana.

    • @USTAWIWAJAMIITZ
      @USTAWIWAJAMIITZ ปีที่แล้ว +1

      @@gloriadaniel3827 kiukwelii Tunafanya kazii Kubwa ... Tunamuomba Raisi , Afanye iwe idara na maafisa ustawi wawezeshwe maaana bila mashirika maafisa hawawezi ..

  • @bonasanare4712
    @bonasanare4712 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana kwa huduma zenu
    Mungu atawalipa

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว

    Big up real mnafanya kazi si balball hsta mjengo unaonyesha mko vizuri pia upendo utawala mbarikiwe wote

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว

    Wanaume wengine ni wapumbavu kweli unawezaje kumtelekeza laa-ziz wako.

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 ปีที่แล้ว

    Hapa ndio pakuchangia sasa makampuni ya watoto na watu wema tumsaidieni

  • @leonardleonard6164
    @leonardleonard6164 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mungu awazidishie na awaongoze vema kutimiza kile mlichokusudia,hongera sana sana

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    Polee ni yetu sote hayo tuvumiliye tupige kazi

  • @Happy-tx7p
    @Happy-tx7p ปีที่แล้ว

    Nimekupend bur wdada

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 ปีที่แล้ว

    watakuwa hao mungu atawabariki inshaallah hutojutia

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada watt watakua tu Mungu ni mwema sana

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dd watoto watakuwa kwa uwezo wa Allah

  • @bernadettekiwelu
    @bernadettekiwelu ปีที่แล้ว

    Mungu azid kuwainua sana

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana

  • @arafaoman9504
    @arafaoman9504 ปีที่แล้ว

    pole dear Allah atakupambania ila banh we muisiliamu ikiojiwa mbele ya jamii ujistiri kichwa banh hii video wa naangalia Dunia mzim

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    😠😠💔

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial5694 ปีที่แล้ว

    Huyu mama super women kabisa

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 ปีที่แล้ว

      Ila naona ana mawazo sana ingawa yuko vzr

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana dear