Watanzania mitandao si sehemu ya matusi bali ni sehemu ya kuelinishana hata kama mtu kazungumza usicho kipenda lakini haikupi nafasi ya kuanza tukana mitandao tena nawashauli kwa wema tu
Shida Sio mkuu wa Mkoa Shida Jeshi la Polisi, yani kila wanachoambiwa wao wanafanya Ipo siku yenu hii muiweke akilini na Jeshi la Polisi ndio Linapeleka hili Taifa pabaya na sio kitu kingine Chochote Kile kwanini msiongee Ukweli.Jeshi limetoka kwenye Misingi yake kabisa kabisa
Hii ni aibu kubwa mnooo .ni aibu kubwaaa mnoo .Kwa ligi yetu mkuu wa mkoa ni mtu mkubwa sana sio kesi ya level ya RC.pamba tunawachapa 3 zero Niko hapa nasubiri
Tunaomba mama ampige chini maana anafanya Double standard anaikosea heshima league yetu, yeye ni mlinzi wa wote hatakiwi kubagua hata kama ana ushabiki wa team fulani katukosea sana wana simba kwa maelezo yanayotolewa na watu.
niliona kapero nikaona ndevu zina mvi nikajua ana busara kumbe anatembea na fuvu la kichwa ubongo kaacha nyumban..anahoja
Huyo mkuu wa mkoa ni mshenzi
Hivi na watu wa yanga waanze kuwakataa mawaziri wa simba
Hivi wewe una akili? Viongozi au mawaziri wasitumie vyeo vyao k wenye michezo
Watanzania mitandao si sehemu ya matusi bali ni sehemu ya kuelinishana hata kama mtu kazungumza usicho kipenda lakini haikupi nafasi ya kuanza tukana mitandao tena nawashauli kwa wema tu
Gsm anaharibu mpira wetu!
Mkuu wa mkoa sio wa level hii ni level ya ma DC wake
Makolo bila kulalamika hawajioni kama wana uhai.
Mshamba wewe
Mpira uheshimiwe mzee hawa kupigwa watapigwa tu lakin mpira una kanuni zake
Yaani nilikuwa nasikiliza huyo jamaa mwenye kofia hovyoo kabisa...! Anatuletea upupu mtupu..hajui anachoongea...😉
P1 sana
Huyu mkuu wamkoa ni mushenzi sana uyu ni yangu
Huyo kapelo ni walewale,wasiopenda maendeleo ya wanasimba
Shida Sio mkuu wa Mkoa Shida Jeshi la Polisi, yani kila wanachoambiwa wao wanafanya Ipo siku yenu hii muiweke akilini na Jeshi la Polisi ndio Linapeleka hili Taifa pabaya na sio kitu kingine Chochote Kile kwanini msiongee Ukweli.Jeshi limetoka kwenye Misingi yake kabisa kabisa
Sasa pesa zinacheza mpira, kwa Sasa point za Simba ni za muhimu kwa pamba.
Huyo mkuu yupoyupo TU hajuwi majukumu yake ana D Moja kwa hiyo hajitambui
Utopolo hata ufanye figiso pamba kipigo kipo pale pale
Hii ni aibu kubwa mnooo .ni aibu kubwaaa mnoo .Kwa ligi yetu mkuu wa mkoa ni mtu mkubwa sana sio kesi ya level ya RC.pamba tunawachapa 3 zero Niko hapa nasubiri
Yanga lazima watetee ulozi na hujuma
Mpira wa mlguu utushikamanishe zaidi kamwe usitutenganishe
Tunaomba mama ampige chini maana anafanya Double standard anaikosea heshima league yetu, yeye ni mlinzi wa wote hatakiwi kubagua hata kama ana ushabiki wa team fulani katukosea sana wana simba kwa maelezo yanayotolewa na watu.
Tunatabia ya kuingilia mamlaka ya tunao wakabidhi majukumu ya watendaji
Kapero kama muuza dagaa
😂
Ndo viongoz wanchi hii hawajitambui kaz Yao ninin.
Simba nguvu moja
Mkuu wa mkoa was mwanza hajierew
Kumbe hta wapumbavu wanazeeka hyu mkuu wa mkosa ana matatizo siasa na mpira wap na wap
Ama kweli ndevu nyeupe si busara, hili bwege lenye kapero ni wapumbavu na wanatafuta sifa mbele ya simba, pumbafu kabisa
Viongozi wengi wa serikali wana viburi.sasa mtanda utayatimba .simba ina watu wana akili.
tumewagonga mezeni nyembe yanga
Makoroboi kwa kulalamika Wanapenda wakibebwa kimya
Wazee wabusara hawavaa kapero
Mkuu wa mkoa mshamba
😂😂😂😂Ndg
Seif Simba yu wapi
Alipatwa na msiba yupo Tanga
@wispoti_tv Pole san Kiongozi wangu na Allah ampe Nguvu kipind hk kigumu,,Namkubali san Mshabik mwenzng wa Simba Sc
Una Akiri na ndevu zako mpumbavu
We mzee lasaba
Kapelo kama uyoga, mbaavu kabisa
Siku zote mtu ukiwa mkweli unaambiwa matusi ukiwa muongo ndo utapendwa
Wachawi wakubwa
Sasa uchawi upo wap hapo