TAZAMA MOTO MKUBWA ULIVYOZUKA KWENYE ENEO LA MAJARIBIO YA KURUSHA ROKETI JAPAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 4 วันที่ผ่านมา +19

    Awa watu ndo wanaaribu mazingira, afu wanakuja kwetu hoo msikate miti😮

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 4 วันที่ผ่านมา +1

      Ajali hutokea popote pale bila kutarajia tuombe salama tu.

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa

    • @SanguloRaahoo
      @SanguloRaahoo 3 วันที่ผ่านมา

      Miti ni uhai na ni afya pia😊

    • @braystuskibassa3842
      @braystuskibassa3842 2 วันที่ผ่านมา

      Yaani ni wapuuzi inshort

  • @abuunayfatu8701
    @abuunayfatu8701 4 วันที่ผ่านมา +14

    Kwa staili hii Tunapoelekea sio mahali salama kabisa

    • @MussaMuhandeni
      @MussaMuhandeni 4 วันที่ผ่านมา +1

      Amini Hilo

    • @muddyso1953
      @muddyso1953 2 วันที่ผ่านมา

      Tuzima kumuomba Mwenyezi Mungu ndie ataetunusuru

  • @kudrachristopher4640
    @kudrachristopher4640 4 วันที่ผ่านมา +11

    Kazi Zina wenyewe

  • @adnanomary1955
    @adnanomary1955 4 วันที่ผ่านมา +7

    Msimuliaji anaitwa REGINA BALTASAR 😂😂

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 4 วันที่ผ่านมา +7

    Wanashindana na Korea na urusi wenzao wako mbali wao ndio wanaamka

    • @TheChapakazi
      @TheChapakazi 2 วันที่ผ่านมา

      Umeandika coment yangu,Ila wanatia huruma masikini ,wao ndio nao wanajaribu

  • @minaziparasu9074
    @minaziparasu9074 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenye fanihio ni Kiduku pekee

  • @mussamalekela2107
    @mussamalekela2107 3 วันที่ผ่านมา +2

    bora wao wameribu nyie labda mrushe Tiara!

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 4 วันที่ผ่านมา +2

    some countries like more to death game..But Why it should be trying another way of showing your power in the world until this dangerous level to human being?...😢

  • @Raphael51312
    @Raphael51312 4 วันที่ผ่านมา +5

    Wa kwanz mm gonga like kama hauna Imani na wazungu

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 4 วันที่ผ่านมา

      Wajapan sio wazungu

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 4 วันที่ผ่านมา

      Kuomba likes tu hata hajui kinacho endelea

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 วันที่ผ่านมา +3

    MCHAWI MTU PAKA ANATUMWA..

  • @aristarikimrina3830
    @aristarikimrina3830 2 วันที่ผ่านมา

    Sisi Afrika inabidi tukusanye wachawi tuanze uunganisha tekinolijia Yao ya kurusha ungo tu

  • @light-global
    @light-global 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wanataka kushindana na Elon Musk huyu jamaa yupo mbali sana kwenye anga la rocket

    • @hkaniugu
      @hkaniugu 3 วันที่ผ่านมา

      Wabongo wamekalili kila kitu ni ushindani

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi pia nili kuepo

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 4 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa Sasa hatuko salama tunamhitaji Mungu hasa sisi Afrika😅

    • @jamesmbamba5885
      @jamesmbamba5885 4 วันที่ผ่านมา

      Mwenyezi mungu afrika yupo Tena sna tu ni wewe tu mwenyewe kuamua kumtafuta au kuweka mahusiano nae

    • @SesiliaNjala
      @SesiliaNjala 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@jamesmbamba5885sana❤

  • @rennydsollo7791
    @rennydsollo7791 4 วันที่ผ่านมา

    Hutuuwoni Vizuri, mpiga Picha Jau san, angesogea sogea tuuwone kliaan

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ya mwanaume urusi usimpe mvulana japani

  • @generalnox6719
    @generalnox6719 4 วันที่ผ่านมา +3

    Elon Musk anawaangalia tu

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 วันที่ผ่านมา

    Japani ana tecnologia wamenconi na marekani

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 วันที่ผ่านมา

    Wajaribu tena😂😂😂😂😂

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 4 วันที่ผ่านมา +1

    Rejina baltanini!!!!!?

  • @RichardMwaja
    @RichardMwaja 2 วันที่ผ่านมา

    Haya mambo wamuachie kim jong un aka kiduku 😂

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 4 วันที่ผ่านมา

    Japani hawana nguvu yakurusha chombo angani

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 4 วันที่ผ่านมา +2

    Tayali limewaka

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 4 วันที่ผ่านมา +1

    Imebuma hiyo wamuite putin awasaidie

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 4 วันที่ผ่านมา +1

    Oh my God!

  • @josephineatieno8486
    @josephineatieno8486 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi kwann Tanzania na sisi tusiwe kama hawa tunasubiri kipi????

    • @MubaKhamis
      @MubaKhamis 4 วันที่ผ่านมา

      Vita ya3 ya dunia😅

  • @MussaMuhandeni
    @MussaMuhandeni 4 วันที่ผ่านมา

    Limefeli, ICBM nayo imefeli kule Marekani .Japani ndie mtengenezaji wa vifaru bora vya kivita duniani na sasa amepewa jukumu la kupeleka silaha bora ktk Uanja wa mapambano kwaajili ya NATO ,,Ila MUNGU amewapa mkono wa kwaheri Wamagharibi ,,acha tuone!

  • @AbelShauri
    @AbelShauri 2 วันที่ผ่านมา

    Kume kucha naona dunia sasa ime changamka

  • @bakaryhassanal4535
    @bakaryhassanal4535 4 วันที่ผ่านมา

    Ayo brother nahisi unapoteza ubola wako hebu fikiria mbona sio Kwa miaka miwili iliyopita ulikuwa vizuri mnoo jitathimini

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 4 วันที่ผ่านมา

    Kuna siku nchinzima.itawaka moto jikuteni machizi haya

  • @SaydYoo
    @SaydYoo 4 วันที่ผ่านมา

    Safiii sana

  • @ismailmohamed6487
    @ismailmohamed6487 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wanaiga tembo

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dangerous

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 4 วันที่ผ่านมา

    Mwaisa nani amechomoa Tena betry

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga 4 วันที่ผ่านมา +1

    haya mambo wa mwachie iron mask

    • @brandsmedia4861
      @brandsmedia4861 4 วันที่ผ่านมา

      ELON MUSK mkuu sio iron

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 Iron bwana😂😂😂😂​@@brandsmedia4861

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 4 วันที่ผ่านมา

    Hakuna athari wakati mabilioni yameungua

  • @SaidKondo-i2t
    @SaidKondo-i2t 4 วันที่ผ่านมา

    Sio mbaya nayo pia ni mafanikio,wakaze roho

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 4 วันที่ผ่านมา

    😀😀 wawaachie wamarekani mambo haya

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 4 วันที่ผ่านมา

      Hakuna nchi yenye teknolojia kubwakama Japan hapa duniani hiyo ni ajali kama zingine najua watarusha Tena Hawa jamaa hawakati tamaa

  • @JamesSichimata
    @JamesSichimata 3 วันที่ผ่านมา

    Wameferi

  • @chechemustapher8335
    @chechemustapher8335 4 วันที่ผ่านมา +1

    Bongo tunataka kurusha yetu

    • @HusseinMohammed-s3j
      @HusseinMohammed-s3j 4 วันที่ผ่านมา

      Bongo mnatak kurusha nn matako au😅😅

    • @rebeccamayo911
      @rebeccamayo911 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@HusseinMohammed-s3j,😂😂😂 itakuwa mishale

  • @eliudicharles4936
    @eliudicharles4936 3 วันที่ผ่านมา

    Ndo kukua

  • @victorvancharlz9125
    @victorvancharlz9125 4 วันที่ผ่านมา

    Huu udambwi udambwi wamuachie urusi tu

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 4 วันที่ผ่านมา +1

    Natama wafe na hao watu mungu unachukua roho za watu wa kariakoo ni wastaabu ona hawa mashetan kila siku wanawaz mahovu 😢😢😢pumbavu

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kama ni Muislamu omba msamaha kwa Mola wako, maana huwezi kumpangia Mungu nani wa kumchukua nani wa kumuacha

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 วันที่ผ่านมา

      @@mudighurayraila Mkristo anaweza?

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 3 วันที่ผ่านมา

      @@vincentcharles4385 wakiristo Mungu wenu nyie naona mna mpangia kila kitu ndio maana

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 4 วันที่ผ่านมา

    😂😂