🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 หลายเดือนก่อน +2

    Gody Yanga unaakili nyingi sana alafu unaujua mpira unajua kuongea point sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 หลายเดือนก่อน +6

    HAO WATU WANAITWA WATOTO WA MJINI NDIYO WANAOHARIBU MPIRA,NA WASIJIDANGANYE KUWA HERSI &CO WALIINGIA KIMAKOSA YANGA NA JUHUDI ZIMEKUWA ZIKIFANYIKA HILI AONDOKE YANGA HAPA BPDI YA LIGI NA TFF TFF WAANGALIWE HIYO TIMU NI YA KIHUNI,HAO WAANDISHI UNAOSEMA NAO WENGI NAO SIMBA .

    • @macmugan
      @macmugan หลายเดือนก่อน

      Sasa ndio nimeelewa maana ya UBAYA UBWELA kumbe ni USHENZI UMERUDI kwahiyo wameona sisi Yanga ni wakufanyiwa uo ushenzi wao Madunduka , tutadilinao parpendicular distance.

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 หลายเดือนก่อน

      Dawa yao wafungiwe tu hao wachezaji wapuuzi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 หลายเดือนก่อน

    Huyo anaeuliza maswali ya kipuuzi asoyajua ni mpuuzi kwakweli

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 หลายเดือนก่อน

    TFF wenyewe wapuuzi ikiwa kachezeshwa hicho kibali kurejistiwa club ya Simba kwani hawajui???? Washitakini TFF huko CAF. Wacheni upuuzi wenu wana Yanga

  • @karistbandi3259
    @karistbandi3259 หลายเดือนก่อน

    pia dirisha lilivofunguliwa yanga ilifungiwa kusajili kwa ajili ya ujinga wao huhu, hata sijui yanaongozwa na nani yanga halafu yanapenda kukimbilia vyomba vya habar

  • @AtanasPasco
    @AtanasPasco หลายเดือนก่อน +1

    Kagoma.malaya.kala.nauli.zawatu.harfu.hataki.kuja.ujue.mtoto.kautaka

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 หลายเดือนก่อน

    Sisi hatuna haja na uyo kagoma ili tunataka tumfundishe adabu na dharau zake make ile jana Ahmed ally kaongea maneno ya shombo sana na sasa iyo TFF isimamie sheria

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t หลายเดือนก่อน

    Timu apewe magoma

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 หลายเดือนก่อน +1

    Hatutaki fedha,, hatutaki

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj หลายเดือนก่อน +2

    KWA Manara mlipiga kelele afungiwe, kwa KAGOMA mnasema busara itumike!

    • @DICKSONLUCAS-i6l
      @DICKSONLUCAS-i6l หลายเดือนก่อน

      Umeeona awa waandishi ushwala kwanza wachambambuzi wa bongo wote simba ilkifka kwenye swala la yanga wanashadadia ili ss wananchi tunaruka nalo jumla

  • @abasimwinyibovu3090
    @abasimwinyibovu3090 หลายเดือนก่อน

    Unaemtukana mama wa mwenzio kwani wewe huna mamaako

  • @neemamwijage
    @neemamwijage หลายเดือนก่อน

    Kama alikuwa ni mchezaji wako halali mbona hukumtambulisha?

  • @MushiJoyline
    @MushiJoyline หลายเดือนก่อน

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 หลายเดือนก่อน

    Sasa Madundika nani kama sio wewe,unaetaka tu kujaza wachezaji Kwako,wakati uko kwenye mafanikio kukomoa tu,Ovyo sana

  • @maxmia100
    @maxmia100 หลายเดือนก่อน

    Kuna shabiki kauliza kama yanga walimsajili kagoma kwanini hakupewa leseni jibu ni kwamba yanga waliingia mkataba na singida na kagoma usajili bado ndo maana walikuwa wanasubiri dilisha lifunguliwe ili yanga wapewe leseni sasa walivyokuja simba wakapanda dau viongozi wakasaini mkataba na simba fasta na simba wakapewa leseni hapo hapo kulikuwa na dili la kibabage yanga nao wajanja walivyosikia kagoma kasaini simba yanga wakalipa tena kwa kibabage sasa viongozi wa singida walivyo wajinga wakapokea hela zote yaani hapo jamani tff hawana kibya wajinga ni viongizi wa hiyo timu na mchezaji

  • @RashidSadala-f2q
    @RashidSadala-f2q หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kanuni gani ya tff kusajili na kumnunua mchezaji kabla ya dilisha kufunguliwa? Hem nijuzeni

    • @LimseyMassawe
      @LimseyMassawe หลายเดือนก่อน

      Upo nyuma kidogo

    • @moodhans2550
      @moodhans2550 หลายเดือนก่อน

      Mchezaji anasajiliwa muda wowote ule ila kuingizwa kwenye mfumo na kumtambulisha mpaka dirisha lifunguliwe

    • @LimseyMassawe
      @LimseyMassawe หลายเดือนก่อน

      @@moodhans2550 labda kama Hana mkataba

    • @imraannassor1799
      @imraannassor1799 หลายเดือนก่อน

      Sheria za FIFA zinaruhusu kumsainisha mkataba mchezaji ikiwa ikiwa mkataba umebaki miez 6

    • @RashidSadala-f2q
      @RashidSadala-f2q หลายเดือนก่อน

      @@imraannassor1799 bos wasikilize Hawa jamaaa vizuri kagoma kanunuliwa sio alikuwa anamaliza mkataba no kwa maana yanga pia Wana makosa ndomana kagoma anajiamini kufanya hivyo

  • @godfreykarigo6404
    @godfreykarigo6404 หลายเดือนก่อน

    Unaongea hapo wew kama nani tafuta shughuli ya kufanya sio kaz kushinda klabuni hapo utashikwa tako

    • @philiminamlosa
      @philiminamlosa หลายเดือนก่อน

      Kuma wewe

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo หลายเดือนก่อน

      Na were unamuuliza kama nani?

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Inaonyesha kwamba wewe sio mwanachama hata huko uliko 😂😂 anaongea kama mwanacha hai

    • @RehemaSaid-rg5mr
      @RehemaSaid-rg5mr หลายเดือนก่อน

      Aya kuuu

    • @macmugan
      @macmugan หลายเดือนก่อน

      Huyo anaongea kama MWANANCHI cjui umeelewa wewe punga

  • @SospeterMpuya
    @SospeterMpuya หลายเดือนก่อน

    Nahitaji hizo kofia,ntaipataje

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t หลายเดือนก่อน

    Nyinyi Kumbikumbi tu

    • @OfrahMsigala
      @OfrahMsigala หลายเดือนก่อน

      Kumb kumb babayak

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t หลายเดือนก่อน

    Akulipe Nani wewe Ngogwe?

  • @nuhu-sanda
    @nuhu-sanda หลายเดือนก่อน

    Mchezaji Hua anasajiliwa mapema kabla ya dirisha kufunguliwa

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 หลายเดือนก่อน

      Ndio anaruhusuwa kusajiliwa kabla ya dirisha kufunguliwa duniani Kote ipo pre contrant

  • @godfreykarigo6404
    @godfreykarigo6404 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo tarehe 27 mwez wa nne dirisha gan la usajiri maan dirisha lilikuw bado halijafunguliwa

    • @issaisandeko6217
      @issaisandeko6217 หลายเดือนก่อน

      Contract inaweza kufanyika wakati wowote, lakini uhamisho utasubiri hadi dirisha lifunguliwe

    • @Heniryahaz
      @Heniryahaz หลายเดือนก่อน

      Tunataka hela zetu msijizime data

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 หลายเดือนก่อน

      Itakuwa Dirisha Lilikuwa Limefungwa Sawa Ila Kwanakhti Mbaya Mlango Ulikuwa Wazi. Walisahau Kuufunga.

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 หลายเดือนก่อน

      Wewe dunduka duniani Kote unaruhusiwa kusaini mkataba na mchezaji baada ya club mbili kukubaliana hata dirisha halijafunguliwa sheria ipo mchezaji husajili pre contract

    • @RashidSadala-f2q
      @RashidSadala-f2q หลายเดือนก่อน

      Yanga wagonjwa wanataka pointing mezani fanyeni kazi

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 หลายเดือนก่อน

    Huyu God ni mkundu tu, biashara ya kagoma ni yanga na fountain gate Simba hahusiki, kamtombe mama yako mzazi upate akili

    • @lucasmadalala741
      @lucasmadalala741 หลายเดือนก่อน

      Ungechangia bila matusi unahisi usingeeleweka? Vipi wewe mtu akikwambia ukamlale mamayako utaichukuliaje? Plz jifunze kuheshimu wazazi .

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 หลายเดือนก่อน

      @@lucasmadalala741 nmekuelewa kiongozi ila Kuna watu Kama God ni mbumbumbuu, kagoma shida ipo kwa fountain gate na yanga ndo wahusika Wala sio Simba, ukienda dukani ukauziwa nguo Kama mwenye duka alichukua hela ya mteja mwingine wewe unahusikaje??

    • @janejoel2465
      @janejoel2465 หลายเดือนก่อน

      ​@@lucasmadalala741 hana mama huyo katokea tu dunian

    • @philiminamlosa
      @philiminamlosa หลายเดือนก่อน

      @@laninjeje8290 tene ww inaonekana unafilwa msenge wewe na mama ako nae anatombwa na kufilwa kengenge wew chiz usiye jitambua kamtombe na kufila mama yako Leo uck shetan wewe

    • @macmugan
      @macmugan หลายเดือนก่อน

      @laninjeje8290 huo ushenzi uliozoea wewe kumfanyia mama yako ndio unadhani wananchi tutakuelewa kweli aaa hapana. Wewe ni Ubaya Ubwela maanayake Ushenzi Umerudi.