ABEL KULOLA ASHUHUDIA KIFO CHA MOSES KULOLA KILIVYOTOKEA ATAJA MPAKA SEKUNDE ALIYO KATA ROHO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Abel Kulola alisema hakuna mtu anajua siri hii wakati Abel anampeleka mzee wake hospital,- maana yeye alikuwa kama dereva wake, Mzee Kulola alimwambia kwa kiluga ''NGOSHA UNENE NATUSHOKA'' tafsiri yake ni kwamba '' mwanaume mimi sitarudi'' maana alisema naona mlango umefunguliwa na malaika wanashangilia kunipokea kwa hivyo mimi sitarudi, mkewake ELIZABETH KULOLA Akamuuliza siuliomba uishi miaka mia moja? inakuwaje unaondoka haijatimia akamjibu Bwana amesema muda wangu umekwisha niwaachie na wengine wafanye kazi.

ความคิดเห็น •