ETI PETE ZINAKULINDA NA KUKUPA PESA, UNAUZA PETE MILION, SIMBA & YANGA HAZILETI MVUA HIZO NI SHIRKI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- • ETI PETE ZINAKULINDA N... #KHIDMATV #sheikhnurdeenkishki #drsulepete #ukwelijuuyapete #petezabahati
=
Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
TH-cam: / @khidmaonlinetv350
Mashallah mashallah nurdin kishik mtaalam wetuu wa dunia Allah akulinde na watuu wenye fitina juu yako,,
Watalam wetu nurdin kishik Muhammad nasoro bachu mzebahero dr islam ali aboubakar nawengin weng Allah awalipe pepo amin nyie ndovigogo wetu
Sule sio mnafiki...sio kama hawa wanaopinga wakiwa kwenye media ili hali ukweli wanaujua.
Baarakallah fiyka wajazaakallahu khayran
Asante sana Sheikh Kishk kwa kutoa elimu,Allah akulipe kheri
Masha'Allah..Allah akulinde na akuhifadh Sheikh Nurdeen
Sahihi shekh ushirikina umekuwa mwingi
mashallah mashallah allah akujalie kila kher Katika maisha yako shekhe wetu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Alhamdulillah sheikh umetoa ukweli maana watu wame Anza kuamini Pete inalete mafanikio Subhana Allah tusome dini yetu tusiburuzwe tu kama wanyama
Niaheri kufana na Imani na ALLAH TU kuliko kuburuzwa na mashena zinduka nawewe acha kuwakumbati maadui wa UISLMU na MTUME wa ALLAH
Maadui wapi alowakumbatia Sasa ??
Marazi ni ibada ila wengin wakiumwa san wanaend kumkufur allaah wakat hata mitum wamung waliumwa walikufa walikuw wanafanyiyan hasadi ila sisi weny mizamb kibao mung atuongoz tukumbuk kam mung njo analet nayy njo anatow
Mashallah hakika
Sheikh wetu Mimi huwa najiuliza. Mbona masheikh wazito wazito huvaa mapete Makubwa Makubwa na mara nyingine huvaa zaidi ya Pete moja?
Lakini kwa kawaida ya Mira za ki islam mwanaume haruhusiwi kuvaa Pete , hata wakati wa kuoa !
❤ shukurn shekh kwadaras zur allah akulid
Huyu sheikh huwa namkubali sana huwa hazungumzii vibaya imani zingine za kikiristo yeye huwa anahubiria waislamu waujue uislamu na Allah mtume wao Mhammad S.a.w full stop sijawai kuona anakashifu ukiristo kama masheikh wengine kina mazinge, mwaipopo, shafii
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤barakallah shkh kipenz changu
Nilikuw nasubir uongeley ilo jambo mara majin nisawa kuishi nayo subhanallaah awa masheh wengin wanapotoza zikri inamajib wallaah
vizuri.
Mi kwanz mngum wakutow pesa sjw ju napat nimechok ila ngomini nimpe shehe hella anisomey dua wala ngo nikanunuw madaw kweny mduj ya kisun kwakwel siwez naamk zang sa7:8:9 nasal raka zang mbil nafany zikr ishaallaah mung atanip nikitakac awa wengin masheh nimatapel
Bismillah
MASHEIKH TUNAWAOMBA KUTOMTAJA MTU AU KUWEKA PICHA ZA MTU TOA MAWAIDHA TU UKITAKA KUMKOSOWA MTU MVUATE BORA .
WAISLAMU TUMEWATEGEMEA .
MUSIWEKE PICHA ZA MTU
Wewe siulikua unawakumbatia hao watu?
Saivi naona kaamua kuwachana kama alivyofanya Shafii
Uislamu hautaki ujinga rafiki yako akikengeuka katika kamba ya dini tunamkumbusha!
Ni kuongozana Na kukumbushana Na ndio uislam kumnusuru ndugu yako Alie dhulumu au kudhulumiwa@@Hamis-ks1sy
Iyo Hadith ina mapungufu bila Nuru bila jua siku na majina yake zili patikanaje
Sheikh kishki hapo Kashafanya Uadilifu na kasema wazi kabisa kuwa Wanawachuoni Wameikhtilafiana juu hadithi hiyo
Ume simama msikiti gani apo?
Waislam mpo?😂
Vitu Bado vipo hapo
Umeona shari Yao haoee Bado unaMZIWANDA hata wewe una tutia shaka
Wewe Mpuuzi unataka Sheikh kishki amtenge Sheikh Mziwanda??