Kweli kabsa tanzania n yetu sote tuwe kitu kimoja sio wachache wanafaidi n wengi wanasononeka hata mungu hapendi hivyo tuzungumze lugha moja ss n taifa moja mungu ibariki tz nchi yangu aminy
Kitendo Cha kuwaita maasikofu.mashehe.kutangaza uchaguzi uwe wahaki nasalama niagano mbele ya mwenyezi mungu kuvunja agano ndilo limesababisha magu afe.alivunja agano mungu mulimudhihaki mungu hajalibiwi kwa vyovyote vile.someni wafalume mungu aliwaondowa duniani kiaponihatari tuliapa tuliapa sote mukawa wadanganyifu adhabu nikumwondowa duniani.hata hivyo musiwe munamtanguliza mungu mtaendelea kufa mukilipa.adhabu ya udanganyifu hakika mutakufa na uongozi mtauwacha
Huyu mheshimiwa kimsingi anajua kwamba alishindwa kwenye kura. Influence ya Magufuli ilikuwa nikubwa mno. Aliigeuza Tz kwa muda mfupi na kuwapa watu matumaini makubwa. Hapakuwa na mbadala, huo ndio ukweli.
Wewe odemba unaonea sana wapinzani lakini alikuwa hapo mkuu wa polisi hata kumuuliza swali ulishindwa kwanini watu wa ccm wakija hapo huuliIzi maswali ya msingi ila wapinzani unaliza kama unalipwa

Mbatia mwaka huu amekuwa murua Sana katika kuntu zake
Mimi nipo ccm ila kwahili la mbowe mama hafai kabisa natumemchoka tenasana tu
Very nice mbatia and co-host odemba, mtafute spika wa bunge maanake anakiburi sana
Chadema mna chuki kubwa dhidi ya Spika... Acheni chuki zenu binafsi, hazina afya kwa Nchi... Kuna mambo ya msingi ya kuzungumza...
@@j.c.maxima816 hamna alichoisaidia nchi hyo
Mbatia uko vizuri wa madini
Mimi ni mwananchi wa kawaida, sina Chama chochote... Lakini huyu Bwana namkubali...
Kitendo Cha kuwaita maasikofu.mashehe.kutangaza uchaguzi uwe wahaki nasalama niagano mbele ya mwenyezi mungu kuvunja agano ndilo limesababisha magu afe.alivunja agano mungu mulimudhihaki mungu hajalibiwi kwa vyovyote vile.someni wafalume mungu aliwaondowa duniani kiaponihatari tuliapa tuliapa sote mukawa wadanganyifu adhabu nikumwondowa duniani.hata hivyo musiwe munamtanguliza mungu mtaendelea kufa mukilipa.adhabu ya udanganyifu hakika mutakufa na uongozi mtauwacha
Haikuwa Siri uchaguzi waliiba kuvuruga kiapo Cha magufuri
Hakuna nchi yenye watu wenye furaha kama Tanzania
Hakuna kitu kibaya kama kua watu wapuuzi Tz kama wewe
Hujitambui ww
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Watanzania tulinyimwa akili tukabakiziwa nywele
Huyu mheshimiwa kimsingi anajua kwamba alishindwa kwenye kura. Influence ya Magufuli ilikuwa nikubwa mno. Aliigeuza Tz kwa muda mfupi na kuwapa watu matumaini makubwa. Hapakuwa na mbadala, huo ndio ukweli.
Toa uongo hapa, uchaguzi ulipolwa
Una ufinyu wakufikiria
Magufuli alikuwa na influence kwa wenye akili za kipumbavu kama zako wanaoami huo ujinga wako, hilo jiz LA kura nani alilipigia kura au unajidanganya
Peter sailas mawazo yako nifinyu finyu Sana .Mimi .sipendi kuwa.upande wowote
@@johnsinyinza7450 acha kupotosha wewe
Acha usenge wwe umempima nani mbona mmi xjapimwa psychologia
Wee unafikiria kama mtoto wa chekechea