MZEE MASATU: MO ANYANG'ANG'WE BEGI LA HELA MPANZU NI HATARI NYINGINE | SIMBA HATUJITAFUTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +11

    HUYO UNAE MSEMA KAFUNGWA 7 NA SIMBA YUPO SINGIDA BIG STAR ANAITWA MOHAMEDI KAMARA HUYU ANAITWA MUSA CAMARA ALIDAKA HUKO KWAO SIMBA HAWAJAMFUNGA HUYU ANAITWA CAMARA INA ANZA NA C YULE KAMARA INA ANZA NA K ❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @bakarussi5428
      @bakarussi5428 3 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu mtangazaji inaonesha wazi hafuatilii mpira wala huyo mzee masatu hajui historia ya ile game ya goli saba alizofungwa horoya wakati golini alikuwepo MOHAMMED CAMARA na wala sio MOUSSA CAMARA huyu wa simba...moussa camara alikuwa kipa namba 1 wa horoya ila hakucheza game zote za simba kwasababu alikuwa na majeraha kwa hiyo golikipa namba 2 mohammed camara akakaa golini

    • @ForeverCaptain
      @ForeverCaptain 3 หลายเดือนก่อน

      🎁💯

    • @wispoti_tv
      @wispoti_tv  3 หลายเดือนก่อน +1

      Rudia kusikiliza swali halimtaji Kama golikipa aliyefungwa Ila wengi walidhani ndiye aliye fungwa na kuzungumza mengi rudia kusikiliza swali msihukumu familia kaujasikiliza vzr

    • @KangaMaluguru
      @KangaMaluguru 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna Mussa na Mohammed

    • @davidogallo6001
      @davidogallo6001 3 หลายเดือนก่อน

      Mousa pinpin alidaka mechi ya horoya na simba kule guinea.. mechi ilofata wakacheza na vipers alidaka.. mechi ilofata wakacheza na Raja akapigwa red card dk ya 25 hivi..mechi ilofata na simba hakuja akaja kudaka mohamed kamara yule alie singida akapigwa 3 akatolewa akaingia Sylla akala chuma 4..

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ HATA ILE MABULULU MENG'EWE MABENDA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน

    KATIKA 21 HIZO 19 KAZIPATIA AKIWA SIMBA ❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mkallyfromiringa695
    @mkallyfromiringa695 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shikamoo mzee hapo umeongea ukweli mtupu

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli ushindi ni raha kama wangefungwa Simba wangefuata Mangungu na kusema tuachie Simba yetu

    • @PaulSengo
      @PaulSengo 3 หลายเดือนก่อน

      we wakizamani

  • @TamaliSimeonMapuli-sy7bq
    @TamaliSimeonMapuli-sy7bq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya Simba kumfunga horoya goli 7 horoya wakasambalitisha timu nzima mpka bench la ufundi sasa huyu musa camara wa simba ulkuwa n usajili mpya wa horoya baada ya kupigwa chuma 7 ndo wakamsajili musa camara

    • @davidogallo6001
      @davidogallo6001 3 หลายเดือนก่อน

      Mousa pinpin alidaka mechi ya horoya na simba kule guinea.. mechi ilofata wakacheza na vipers alidaka.. mechi ilofata wakacheza na Raja akapigwa red card dk ya 25 hivi..mechi ilofata na simba hakuja akaja kudaka mohamed kamara yule alie singida akapigwa 3 akatolewa akaingia Sylla akala chuma 4..

  • @davidogallo6001
    @davidogallo6001 3 หลายเดือนก่อน +1