Invaded Systems-Part II | Pastor Tony Kapola | 7th March 2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
- Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
Facebook: / pastortonyka. .
Instagram: / pastortonyk. .
Contacts (Mawasiliano): +255 659 085 731 or +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)
Mungu akutunze, akujali na akupe mahitaji yako kama unavotutunza kwa kutuonesha mahubiri online, unavotujali kwa kutupa ufunuo na kutupa mahitaji yetu kwa kutuelimisha. Nakupenda sana Pastor Tony. God bless you abundantly
Holy God, Holy Jesus, Holy Spirit, Holy Angels, Holy Forever, Amen 🙏🏼
Asante sana Pastor Tony, UMENIPA MASTER KEY TAKATIFU, na MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE 24HRS, Amen 🙏🏼. Asante Familia na Team nzima , GREETINGS FROM EUROPE, Amen 🙏🏼 ❤
Glory to God😇🙏👼
Amen! Am going to the next level my pastor
Pastor Tony Kapola mungu akutunze kwa ajili ya wengi wa watu dunia kote kwa jina la yesu kristo amen 🙏
Katika kuokoka kwangu kutoa kulikuw Ni kugumu nilihis naibiwaa na muda mwingne nikiona posti za mtumishi anasisitiza kutoa niliona Kama tapeli lakin kutoka moyon kupitia series hii ya invaded system na maneuvering nimeelew na natoa kwa uaminifu nimeyaona matokeo MUNGU kanitendea kupitia hizi series nimeamua kuwa narudiarudia kuyaaikilizaaa ,,, ubarikiwe Sanaa Pastor you change me alot
Amen
May the Lord Bless you.
May the Lord Keep you.
May He Make His Face Shine towards you and be Gracious unto you.
Amen favor
Amen👏👏👏
Hakika somo la zaka umelielezea vizuri ubarikiwe Sana mtumishi
GOD bless you sir💯
Napokea Napokea Napokea kibali kutoka kwa mungu, amen and Amen 🙏
Be blessed
Barikiwa sana pastor tonny ww ni hazina yw nchii
God bless you
Hakika Mungu anakusudi nawewe kwaajili yetu nabarikiwa na ibada zako zimenisaidia kuacha baadhi ya vitu
Amen Amen
Kuna nguvu katika shuhuda Mungu atukuzwe na ainuliwe juuu
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
True pastor hapo kwa Saudi Arabia ukweli Asante Kwa mafunzo mazuri 🙌🙌 nabarikiwa sana 🙏🙏
Kweli tumtake mungu n nguvu zake
Ubarikiwe Mchungaji kwamafundisho mazuri sana
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu ❤
Mm nko huku saudia tayari
Ameni
Sauti hakuna
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏