Kaaka unawez Ila Kaka ebu washaul mashabik wa Yanga Namm nikiwemo TUBADILIK WANAINCHI tuige uraya kwni kumtimua Eng Hersi tunafel wap Tim n yet mashabik Ila wao wanaiongoz watakav,.... mashabik tuandaman wanataka kutuzoea uongoz wa Yanga Wanafukuz makoch Bila Sabab
Uwezo wa kumtimua engineer tunao. Lakini tukimtimua nani atabaki kuwa kiongozi wetu? Je una uhakika kuwa shida iko kwa Engineer? Mbona Simba wamekandwa jana na tuko kimya hatuongei
Mi naona uongozi wanawalemaza sana wachezaji kuwachekea chekea engineer abadilike jamani naona sifa zimemlevya ndio mwaka huu kasajili utumbo wachezaji wamechokeana tu keshokutwa kuna tp nae anatusubiri niaibu unatolewa haya makundi bila goli lolote daaah 😢
Mimi ndo wakwanza nipeni like zangu
wakwanza wanini au kwa ushauri gani kuhusu hii video video nzuri au mbaya
Unmakin muhimu wangapi wanesikia action 😂😂
😂😂😂😂 bado hujasema
Kumbuka madridi ya mbape na vini ulisema mtaipiga 10
😅😅😅😅😅😅😅Yanga Unaifungaje
😂😂😂😂
Nikajua nyimbo😂😂😂
❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤❤🎉🎉🎉
Wakwanja mimi😂
Kaaka unawez Ila Kaka ebu washaul mashabik wa Yanga Namm nikiwemo TUBADILIK WANAINCHI tuige uraya kwni kumtimua Eng Hersi tunafel wap Tim n yet mashabik Ila wao wanaiongoz watakav,.... mashabik tuandaman wanataka kutuzoea uongoz wa Yanga
Wanafukuz makoch Bila Sabab
Uwezo wa kumtimua engineer tunao. Lakini tukimtimua nani atabaki kuwa kiongozi wetu? Je una uhakika kuwa shida iko kwa Engineer? Mbona Simba wamekandwa jana na tuko kimya hatuongei
Mi naona uongozi wanawalemaza sana wachezaji kuwachekea chekea engineer abadilike jamani naona sifa zimemlevya ndio mwaka huu kasajili utumbo wachezaji wamechokeana tu keshokutwa kuna tp nae anatusubiri niaibu unatolewa haya makundi bila goli lolote daaah 😢
hahaaaaa😅😅
Wew mwanya wape hai kwa toma uko😂😂😂😂😂
Toa na Simba🤣😂😂😂
😂😂😂
WAHUNI WA KIARABU WAMEKUKAMIA NA KUKUSHENYENTA...KWA KWENDA MBELE..
Mi ata usingizi sipati 😢 kufungwa kunauma
Njoo nikuhalalishe ulalie kwang usngz utaupata
Hahaahahahaha
WEEEEE MJINGA WASHA DATA UONE YANGA KALIWA UKO TP MAZEMBE 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂