DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 27, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024
- DW Kiswahili Habari za Ulimwengu| Septemba 27, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW |
Umoja wa Mataifa umesema kuongezeka kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya kundi la Hezbollah kumeifanya Lebanon kukabiliwa na kipindi kibaya zaidi.
-Rais William Ruto wa Kenya amesema mfumo unaosimamia usalama wa ulimwengu chini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa unahujumu jitihada za kuimarisha amani kimataifa.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Ewe mola tunusuru 10min bomu likepigwa hapa beirut😢 vita vinaya🇰🇪🇱🇧
Dw TV
Irani aina uwezo wa kuzilinda wafilisiti na wa Yemeni anawafundisha ugaidi lakini anashindwa kuilinda nchi nzima yeye kwake ameweka mitambo ya kulinda anga lake lawenzake like uchi izilaeli inapiga inapopataka niujinga
Irani haha upuhuzi kila kiongozi anaechaguliwa katika amasi au ezibula anauliwa uogopi??akisha uwawa irani afyatua makombora kulipiza kisasi lakini awaui hata mtu mmoja wa kiyaudi na wezakusema kuwa mwarabu muyaudi kawazidi mahalifa sana jitasimini
Wawaruhusu makasisi kuowa swala la ulawiti litapungua
Kaliyaya niko dsm Tanzania, kwanini makundi lebanoni yana. Iandama. Israel
Lebanon adana shida shida ni irani inayo wadanganya alafu watu wanauliwa inchi ikitakakuanguka itahangukia mikononi mwa irani pamoja na palesitina kama awatahangukia mikononi mwa irani basi wayaudi watazichukua nchi hizo na wataweka na sheria za kiyaudi kwa wafilisiti
Hungera netanyahu washikishe adabu
waliyataka wewnyewe wametoka wpi nataifa lamungu
Lazima isiraeli ikimbiane
Israel hoyeeeee
Israel 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 taifa la mungu
Safi sana benjamen ❤❤❤🇮🇱🇮🇱🇮🇱💯
We ni mtumwa kweli wew ivii basi unawaabusu wazungu tu jinga sanaa ilii shiii😡😡😡
@@EmanuelMkongwi usungu ni rangi tuu mpendwa wote ni watu wa kawaida ila israel ni taifa teule la MUNGU wangu Biblia inasema Dunia yote ni Yangu ila nimekuchagua wewe uwe taifa ngangu teule🇮🇱🇮🇱🇮🇱👏GOD bless israel👏
😂😂😂,lukashenko.rais wa belarus.
Ukashenko anajiami
🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱
🇮🇱
Dw TV