Sara umeimba story ya maisha yangu,barikiwa dada lakini ninaye ushuhuda kwamba huyu Mungu alibadilisha story ya maisha yangu na akaningarisha akanipea jina jipya mbarikiwa,ndani ya yesu ninangaa,na sitachoka kumtaja huyu yesu mahali popote niendako,barikiwa dada
Asante dada..Mungu kweli anakutumia kubariki watu kwa nyimbo zako... Kweli nikisikiza nyimbo zako hunitia moyo sana kwa maisha ninayopitia..Mungu akubariki sana 🙏
Oooh my God that golden voice be blessed sister nikiwa Dubai. Wakenya gonga like tukienda ♥️🙏
Asante rafiki
@@sarahmagesa1052 I can't get enough of this song be blessed more🙏❤️❤️❤️
Nawapenda
Yesu alinipenda jinsi nilivyo....thankyou jesus. ...wenye tunatoa shukurani za kupendwa jinsi tulivyo gonga like tu...
Nmekupenda Sana dadanguu Sara mungu akujaalie
@@fatnesssmengi2435to 7😊u65
2years ago leo ndo nasikia hii nyimbo 😢,,Aki Yesu wangu 😭😭😭😭hivi nilivyo bado wanipenda ,,Yesuuuuuuuu nakupenda 😢🙏
From TikTok ❤❤❤
Am here from tiktok......i love the song
Nakupenda bure dear...lovely song 🎵♥🎶👌 inanibariki
Sara umeimba story ya maisha yangu,barikiwa dada lakini ninaye ushuhuda kwamba huyu Mungu alibadilisha story ya maisha yangu na akaningarisha akanipea jina jipya mbarikiwa,ndani ya yesu ninangaa,na sitachoka kumtaja huyu yesu mahali popote niendako,barikiwa dada
This song has become my national anthem.describing what I have gone through after loosing my husband
Same tu me girl
Huyu yesu ameniosha nikapendeza. Wapi wale wameoshwa hapa.
Asante rafiki yangu
@judithkalayi6942 niko hapa dear namshukuru huyu Mungu wetu🤲🤲🤲kwa mema yake
5:21 from TikTok direct express,yesu ananipenda Amen 💖💖💯🙏
Hivi nilivyo kanipenda.....hivi nilivyo kanikubali.......💖💖💖💖💖❤️❤️❤️❤️❤️💞💞💞💞💞💌💌💌💌💌🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀🍷🍷🍷🍷🍷🐾🐾🐾🐾🐾🐾🐾💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃... Ananipendaaaaaa!!!
Amen
🙏🏿🙏🏿AAAMEN, Asante yesu kwa upendo wako, umenipenda jinsi nilivyo, ubarikiwe Sana
MUNGU akuinue my siz ,napenda sana nyimbo zangu ,najua napendwq na BABA 👏
🙌🙌🙌 haki acha waende hawajui patano langu na mungu nmebarikiwa!
Am a Ugandan but I really love your message may the almighty God continue to use u dia
ASANTE
Wape link marafiki zako
Asante dada..Mungu kweli anakutumia kubariki watu kwa nyimbo zako... Kweli nikisikiza nyimbo zako hunitia moyo sana kwa maisha ninayopitia..Mungu akubariki sana 🙏
Asante rafiki yangu
Wow nice song my siz,,,mungu tu ndio anaye nitambua kwa maisha yangu yote,,,songa mbele my dear ,am watching yu in 973
Amen
I love you Sarah ❤️ always on point God bless you 🙏❤️🇰🇪
Thanks
You are anointed woman of God
sarah tunakupenda sana hapa Kenya, wanaokudarau waombe mungu. LA muhimu mungu baba yako akuachi ubarikiwe mpaka washangae Sana mam mwaaaaaaa
Amen my dear
😭😭😭alinipenda vile nilivyo yesu nakupenda 🙏🙏🙏
Oooh ushuhuda wangu huu...Ananipenda vile nilivyo 🙏🙏💞💞💞❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Asante Milly wangu
@@sarahmagesa1052 nakupenda zaidi ❤️❤️❤️❤️❤️
Hivi nilivyo anipenda
I love 💖 her songs
nice song 😍😍😍😍👍
Amen Mtumishi Barikiwa nyimbo zako ziko vzr sana zinanibariki sana by James Donald Nyantanero in Rockcity Mwanza
Asante rafiki yangu
Am blessed with the song I really love it thank you darling much appreciated
Kati ya zote hii imeniweza bwana Yesu akuinue
Hivi ulivyo nakupenda❣, keep blessing us🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Wow! Nimekubali upako iko kwa hii song!
Asante rafiki
Hivi nilivyo kanikubali.....wakati wengine waliona sifai.... awesome 👍 song
Hivi nilivyo ni wewe mungu tu, shukrani sana
Ananijua ndio mana ananipenda upendo ya ukweli
MUNGU AKUTUNZE
I listened to this song many times and got delivered from spirit of delay and stagnation. Glory to the most high God.
Sarah unaniinua kila wakati i listen to ur songs mama! I love u mtumishi
Yesu kanikubali jinsi nilivyo
My confidence is that He loves me, that's my faith and hope in Him that keeps me believing that He has my back no matter what happens
Si nakupenda saana 💘
Mungu azidi kukubariki saana
Asante mpenzi
kAribu My Love ❤️
Halleluhya
Indeed Jesus loves me the way I am...awesome song Sarah..barikiwa sanaa
Daaaaah nyimbo nzuri sana we dada nakupenda sana nyimbo zako
Thank you Jesus for loving me unconditionally the way I am . God bless you my big sister and God elevate you
Kenya we love you mama
Asante rafiki yangu
Asante
@@sarahmagesa1052 karibu
hujawahi kosea mtumishi wa mng,mng aendelee kuinua huduma yk.
Asante rafiki yangu Barikiwa sana
It reminds me my past, receive more blessings siz
Hi,i love your songs so much.God bls you it's great.
Amen
Woow so powerful ,Yesu tu ,barikiwa zaidi dada
MUNGU AKUTUMIE. ZAIDI I LOVE YO
Amen
My favourite song from you woman of God
Ameen barikiwa mtu wa mungu
I love your songs and May God bless you abundantly my sister
Loo Yesu wa ajabu,wimbo mzuri sana bigup mtumishi
Amen
ncy songs ubarikiwe sana
Huu wimbo umehit...sjui kwanini hauna likes nyingi
Watakuja
@@sarahmagesa1052 Amen ..God Bless You...
nakupenda sana sarah
So touching blessings to you mum
Wow such a blessing I like this song
I love your songs has amesage encourages me in my life for all am going through
Thanks
Sarah barikiwa
I love yours songs has a message encourages me in my life for all am going through
Nice 👌
Amen. Barikiwa sana mtumishi.
Amen
Nice song Sarah👍be blssd 🙏
Barikiwa sanaa dada yangu
Amen
Nice song
Yes Lord! Kanipenda bure tu ,Yesu wangu.
Ni mwema sana.
Amina amenipenda Yesu
Amen
Amen Amen nice song 🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana Mungu akubariki
Amen mtumishi
POWERFUL. GOD BLESSSS. YOU SARH
Amina 🙏.. barikiwa sna dadangu
AMen rafiki
Waoooh Golden voice, Golden song, be blessed , my sister,,,, mmmh!!!! mwanadam hajui thaman yangu.
Amen
Nice song tena inafariji xanaa.studio gani hii naeza penda niitembelee.
Karibu Sana nitafute
Niwekee namba hapa ntakupigia
@@sarahmagesa1052 0759707147
Nabarikiwa Sana🙏
Amina barikiwa dada
Amen
Amen amenipenda hivi tu nilivyo.
AMen
Nyimbo nzuri lakini haziko download karibu nyimbo nyingi za huyu mama ,,inasononesha kweli
Kali Sana
Auuuu so lovely sweet sister such a blessing song blessed indeed
Amen
God bless you sister waaaau
One of my best
Its true sister love the song
💯🔥🔥🔥🔥
AMEN AMEN AMEN POWERFUL BAAAZUKA
🔥🔥🔥🔥🔥💯
Wow touched song 👏👏👏
Thanks
Am so blessed
Nice song, God bless you
Kweli yesu nimwema pamoja nakuachwa yesu amekuwa mine wang
Be blessed Sarah..🙏
Good job
❤❤❤❤💥💥💥💯
Hallelujah
Wowww... Am blessed
Asante rafiki
blessing
Love this one greatly
Thanks
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Amen
🔥🔥🔥🔥
Machozi yabubujjka ,song la nguvu
Amen
Why not downloaded ?
Amen
Amen