Kama muumba wako akakukubalia nyimbo zako, kwa Nini hawezi kukubali uriti wako katika ufalme wake? Aksanti Sana dada nyimbo zako zime gusa kila mara moyo wangu. Mungu abariki maisha zako. Mangili KALONDA David , Kolwezi RDC.
Wah...marafiki kweli ndio wauaji wako wa kesho..tazama dada anavyokaribishwa hila yeye lengo lake ni mbovu kabisa juu ya wivu...hata hivo mungu akiwa upande wako ni salama...
Aki mwenyezi azidi kukulinda na kuipanua mipaka yako ya uimbaji Dada,ujumbe huu mzito mia bin mia. Na abarikiwe yeyote yule atakayepata kukiskiza kibao hiki pia.
To everyone watching this song, may THE LORD frustrate every wicked expectations against your life. You will live to declare the goodness of THE LORD in the land of the living. Shame is not your portion.
Kama unaskia tokea Kenya gonga like
Nitalia kidogo nitanyamaza ata kama wameniumiza
mungu amenibeba nakuniweka juu saidi mawingu.
Kama muumba wako akakukubalia nyimbo zako, kwa Nini hawezi kukubali uriti wako katika ufalme wake? Aksanti Sana dada nyimbo zako zime gusa kila mara moyo wangu. Mungu abariki maisha zako. Mangili KALONDA David , Kolwezi RDC.
Waliosubiri aibu yangu watasubiri saaana 😊
Dada nabarikiwa na nyimbo zako barkiwa sana
yesu.ni.mwema.maadui.wamesha.feli
Kweli kabisa. Blessings ❤
Sauti nyororo inayo mtoa nyoka pangoni
Nyimbo nzuri yanibariki sana
Wah...marafiki kweli ndio wauaji wako wa kesho..tazama dada anavyokaribishwa hila yeye lengo lake ni mbovu kabisa juu ya wivu...hata hivo mungu akiwa upande wako ni salama...
Aki mwenyezi azidi kukulinda na kuipanua mipaka yako ya uimbaji Dada,ujumbe huu mzito mia bin mia. Na abarikiwe yeyote yule atakayepata kukiskiza kibao hiki pia.
Utukufu mmoja Hadi mwingine
Kazi safy mamy
from Kenya kakamega following you ilike the songs🔥🔥🔥🔥
Tito from Kenya, mimi sijafa bado naishi, wewe ni wa baraka kweli.......
Watasubuiri sana
My head just dancing in the car
Waliosuburi nife. Watasubiri sana
Those waiting for my downfall will only witness my success that is when they'll realise that God is no one else village mate
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kz yako ni njema
To everyone watching this song, may THE LORD frustrate every wicked expectations against your life. You will live to declare the goodness of THE LORD in the land of the living. Shame is not your portion.
Wanaosubiri aibu yangu watasubiri sana Na bado Mungu ananipenda sana
Amina....Mungu wa Ushindi yupo Nasi
MUNGU AKUTUNZE MTUMISHI WA MUNGU.WIMBO NZURI SANA
Nyimbo za Sarah magesa huwa zinanibariki 🇰🇪🇰🇪
Sarah Ubarikiwe nyimbo iko vzr Yesu akutunze zaidi
Mimi sijafa,watasubiri sana nipo na Yesu
Amen,,,watangoja sana maadui
Nyc one Sarah would like to meet you,,, really love your songs
Bado watasubiri saaaana
Very powerful 💪
Amina. 🇰🇪
My dear I love you so much God bless you so much that's true
Watasubiri sanaaaaa.....hadi kiwarambeeee
nyimbo nzuri sana
Watasubiri sana amina ❤❤
Waoh.....🎉 Hiii song inanijenga kiimani
Barikiwa sana my sister❤❤❤❤
Kupigwa vita ni kawaida hainisumbui, mimi ni mti wenye matunda lazima nipigwe mawe❤️❤️❤️I love this line
Have 😢no words, so inspiring,,let God take chance in our daily battles ❤
Nakuelewa sana rafiki nyimbo zako zinaniinia
Nyimbo hiii aichosh
Amina amina thus my song mimi cjafaa oooh after kupata accident last month mungu aliniona niliamka bila kujaruhiwa
Wanaosubiri aibu yangu watasubiri sana, kwa jina la Yesu
Powerful
Asante sana dada Kwa ujumbe ambao una2pa kupitia nyimbo, akika ninafarijika sana ninapo sikiliza nyimbo zako, Mungu azidi kukupigania siku zote,❤
Wata subiri sana!
Je suis ravie de joie quand je coûte tès chansons je suis au Cameroun je veux contre sa en français merci beaucoup de m'écouter
Aminaaa injilisiti wa Mungu
So nice from Kenya ilove ur music 🎶
Nkweli watasubrisana❤❤
Waauuhh
I love ❤️ all your songs my dear
Especially this one ❤
Nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi wa mungu uzidi kuinuliwa kwa viwango vya juu❤
Amen Amen watasubiri sana, nabarikiwa nikiwa saudi
Tumsifu bwana daima na milele
Magesa umebarikiwa sana mamaaa keep it up...nyimbo zako zinaniinua sana kiroho na kinitia nguvu
Ubarikiwe sana
❤Kazi nzuri sana
Hallelujah glory to God hautakufa utaishi kuona ukuu ya mungu wetu God bless you mummy
Baraka tele Mungu akuzidishie 🇰🇪🇰🇪 we love you
Amena Magesa good vibes
Wow very nice good song
Utukufu Kwake Mola
Barikiwa sana mama
A new subscriber 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ujumbe wa wimbo huu umenihudumia kwa kiwango kikubwa sana, nimeinuliwa tena
Oooh yes my testimony 🔥🔥🔥 nipo bado
Asante sana waliosubiri nifewatasubiri sana. Baraka ❤️❤️❤️❤️
From Nairobi,kazisafi❤❤
Watasubiri sna,. Amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Heard hii ngoma,
for the first time, on the morning of 13/9/2023 on Citizen na nikaipenda immediately. Even the name of her was for the first time.
Amen watasubiri sana🙏🙏
Amen dada be blessed 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Be blessed mtumishi
A very encouraging song, that is reality music
Wimbo wangu pendwa sana watasubiri Barikiwa dia ujumbe mzuri sana
Oooh yes ,Mimi sijafa ,,madui zangu mtasubiri sana ,,YESU 🔥🔥🔥🔥🇧🇭🔥🇧🇭 Ako upande wangu wow be blessed my sister
Barikiwa my dear.....
Mungu akuinue viwango vya juu mnoo..ujumbe umenivusha dadangu!
Watasubiri sana...😂😂😂
Nyimbo imenigusa xna asante sana Dada kwa hii nyimbo yako yenye ujumbe mzito ,barikiwa
Dada Sarah the song reflect me directly...be blessed
watusubiri sana tena sana💃💃💃💃💃💃💃
Wimbo mtamu
Sarah you are the best
Powerful. Hii moto sana
Wonderful song be blessed mtumishi
Ameen 💃🙋♀️
I'm blessed
Powerful one ❤❤🎉🎉
Am blessed with this song kazi nzuri dadangu
Amina ...it is powerful Song
What a prophecy...my sister in addition I say ....waliosubiri aibu yangu watasubiri sana
Amen amen amen Mimi bando naishi Kwa jina la YESU th-cam.com/video/pHKSmL2mQuQ/w-d-xo.html
God bless 🙏 Sarah
Barkiwa zaid Dada Sarah !!!!!!!🙏🙏🙏
Very powerful message, waliosubiri aibu yangu watasubiri sana. Hongera dada Magesa
Wonderful 💯
Kindly plan some.out door meetings warship workshops in kenya
Love song 🇹🇿 hongera my sister ❤️ 💕
Powerful massage 🔥🔥🔥🔥 Sarah
Powerful song 🎉🎉🎉more blessings
Powerful song watasubiri sana ,sana tena sana