ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kwapamoja tukupashe
Amen
Jambo ndugu
Umeongea vizuri kaka tunaimba natunaweza
Ila tuna shidwa kusapotiana wabembe
Napenda iyo kbs natamani kuwa apo
Great job. Mubarikiwe
Umoja ndio uletao nguvuu na ❤upendo ndio uonyeahao mafanikio angazeni furaha ya kweli wabembe musiifanye furaha kuigeuza uchungu lindeni furaha yenu ili iwazalishie makubwa na mazito au mapana mbeleni
Hongereni sana
Jackson wa kizazi kipyaaaaa
Watoto wa bubembe ndo watakaosafisha bubembe lakini ikiwa mtawapokea watoto wenu kwa furaha na Amani na usalama pia kwa upendo thabiti
nice🎉🎉
Safi sana
❤❤❤❤❤amen
Tanganyika muko goos
Nime penda iyi editingi iko viema sana siyo kama wengine kabisa