Jamani Jackson wa Kizazi kipyia mbona unakawiza kutupa comedy jamani usifanye hivo tunakupenda sana zoweya ku post mara kwa mara tuna ku ❤❤❤❤❤❤ sana from Burundi 🇧🇮 Bujumbura na kaluta zezeta tunampenda sana uyo jamaa anajuwa alafu anajuwa tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi wakwanza nipeni like zangu 😅😅😅😅😂😂❤❤
Watu wa fizi tupane like apa🎉🎉
Nipeni likes zangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa❤❤🎉
Wakwanza kutoka baraka DRC 🇨🇩
Nimepata kbs kitu moto moto
Kazi njema, ubarikiwe sana 🇨🇩🇨🇩💪
Naipenda
Vibaya iyo
Baba full
Maraha
Kweli 🇨🇩🇨🇩
Hiii mmehuwa
Kaluta alikuwa na besoin ya kumbaka lakini akaona amtongize zuuh😂😂😂siojaribu ni mapenzi tu na mlengwa anasababu yakupenda kaluta umetupa raha
Kaluta alitaka Ku kubaka akahona akutongoze je una mupenda???😅😅😅😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri wazee naipenda
Big up sn kaka , nipeni like zangu
Kazi nzuri san
Kazi nzuri sana
Big up saana vijana wa nyumbani ❤🎉
Nice❤❤
Hii ni shiiiiiida kweli Kabisa duuuh
Wakwanza jamani like zangu
Nikulume meno 😂😂😂
Nice🎉🎉🎉 by FAMOUS
Big UP sana fizi is home❤💪💪💪
Iyi ndo yangu the best movie in camp 😂😂😂😂😂kaluta nimekubali sana nilikuwa na bezwe nikubake 😂😂😂😂
Qaliii mnoo 👍👍
Uwalisiha alisi kbs Mungu leta Amani ktk nchi yetu 🇨🇩 🎉🎉🎉🎉 Ongereni saaan Jackson and kaluta🤝🫂
Asante sana ndugu yangu 👏👏👏
Napenda sana❤❤❤
😂😂jamani wanaokubali nafasiyakaluta zezeta alivyoifanyiya haki anipe like zangu uyumwamba nafasiyake ameifanya inavyotakiwa kuwa ❤❤
Asante sana ndugu
Hatari sana hiyo 😂😂😂😂😂😂
King 🎉😂 sana 😂😂Jackson
Egwe😂😂😂wakizazi kipya
Egwe😊
KALI NA NUSU ❤
Mkimbizi Good movie ❤ aujawai amjawai kutuangusha nyinyi wawili mungu awabariki sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Wa dogo zangu courage vraiment 😂😂😂
Jamani telvo apa shabiki mkubwa wa Jackson nipeni link zangu
Nakubali 🔥🔥🔥
See by KALUTA ZEZETA comédien
See by director El mika
Namba ya kaluta pliz
Kazi Mzuri sana brother ❤❤❤
Hongereni sana, safari moja huanzisha nyingine, wenu KILAMBAMAWE YANGA-ZEZO From Cedar Rapids Iowa state USA
Dah mhavu zangu jmn kaluta Dah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiukweli sina nyongo na haya mapishi... nasubr namba2 big up sna bro
Ongereni
Anybody watching this from USA?🇺🇸 one love
🔥
Nzuri lakini fupi
Kweli mkimbizi nimtu anaye nyanya sika kila wakati duuuuh ila poleni sana kwaiyo history 😢😢😢 12:08 call zaga boy🎉🎉
Kazi Nzuri sana nimependa sana hacha na kuimba nyimbo kuhingiza ndo vinzuri sana niko nyuma yako sawa kijana
Nikulume meno ? Nikulume menoooh ?😂😂😂😂
Sb clever brand seen 🎉🎉
Good job bro
Kali kweli 🎉🎉🎉🎉
Jac na kaluta na msazi espoir wabazimu kitu tulichokuwa nakingoja kutoka kwenu tumekiona Asante sana
Kazi nzuri part 2 sasa
Safi sana watu wengi wameyapitia hayoo😂😂😂😂 unanikumbusha bali sana kweli daaaah
NYARUGUSU CAMP REFUGE HAPO NJO Nyumbani kabisaa naipenda sana NYARUGUSU
Good job guys
Big up sana wana Fizi nawakubali sana.
Congratulations, really I fancy it.
Nawapa kila la heri katika kazi zenu za uigizaji
Niko pale naumimina mtima rahaa kutoka kwa Jacskon na kaluta tafhazali mauwayenu haya apa🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂👌👌✌✌✌
Big up sana les gars from🇰🇾
Bien sana courage
Mkimbizi imekaa poa kbs
Mr rama❤❤❤
Good job 😂😂
Shukrani sana kwa kazi nzuri ndugu yang 😂😂😂
Good job
O.B: Hongera San Kak ❤🎉 Hata Mimi Ni Mkimbizi pia ❤
Nisiwe mnafki bhana 💐
Kazi nzuri san myamba
Leta nyingine 😂iyi moja ni tamu ❤😂😂 nilikuwa na besoin nikubake ila nikaona Siyo sawa nikahona nikutongoze 😂😂
Kazi nzuri kbs pamoja sana
🇨🇩🇨🇩 Goma ma ville
Wabembe siyo wenzenu😊😊😊mBondo 🌟
Imenigusa saana kweli ila kilicho n'a mwanzo kina mwisho kama unakubali msemwa huuu nipe lake Zang jamani
Yes
😂🔥🔥🔥🤝
Courage sana kabisa wakizazi kipya
Jamani Jackson wa Kizazi kipyia mbona unakawiza kutupa comedy jamani usifanye hivo tunakupenda sana zoweya ku post mara kwa mara tuna ku ❤❤❤❤❤❤ sana from Burundi 🇧🇮 Bujumbura na kaluta zezeta tunampenda sana uyo jamaa anajuwa alafu anajuwa tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asante sana tunakupenda Pia 🎉🎉 Ndugu ❤❤
Kazi kubwa sana kaka
Hongera Sana kukazi Mzuri iyi Vipaji vyetu ❤
Asante sana kihogozi wangu
Safi sana jackson mkimbizi tupo nayo atuwa kwa atuwa mpaka mwisho ❤
Asante sana ndugu yangu 👏👏
Yani kaluta sijuwi sehem Hipi awezikucheza❤
Uwakika Sana kaka kwakutowa filamu ilio naujumba ulionauwalisia kuhusu wakimbizi pround of you my bother🎉🎉🎉🙌🙌🙌🙌
Asante sana
Asante sana 🎉
Noma sana tuna chunga Mwendelezo
Ramady seen
Nice 👌 👍 👏 👌 👍 mwamba mtata
Nakubal sana ndugu zangu mungu awe nanyi ❤ nawakubal sana ✊
Good job ,from 🇺🇸
Nakumbali movie 🎬 🎞 king Jackson 🤴 👑 🦁 🤴 👑
Asante sana 🎉🎉🎉
Sema mki kutana mna fanya kazi nzuri sana ❤
Nikweli 😂😂
😂😂😂 Jackson kazi nzuri sana wetù mwana
Asante sana ndugu yangu 👏
Namimi na washukuru sana na mungu hawe nanyi
See by dj AlingoVumah🎉🎉🎉
Yani nimecheka sn kweli nitakuluma meno 😂😂😂
Kazi njema imetukosha moyo kweli! Tafadhali hiendelee
Ndio mwendolezo ipo 😊😊
Let’s Go Kazi Kubwa Xana
Mukimbizi zamani ulisha kuwa na panneau ?
By cha music nice job 🎉🎉🎉
Eti nilikuwa napenda niku bake😂😂😂kaluta🤣🤣🤣🤣
Zuli san
Tunangoja Kwa makini part 2 Janani mtatuhuwa na kungojea
Kazi Kubwa ☝️ message 🖊️📋
Nakukubali sn ❤
Nimependa sana❤🎉