Wahudumu wa magari ya uchukuzi katika barabara ya Lamu-Garsen walalamika
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Kutokana na kuimarika kwa usalama katika barabara ya Lamu-Garsen Wahudumu wa magari ya abiria yanayotoka lamu kuelekea mombasa wameitaka serekali kuwaruhusu kusafiri nyakati za usiku