BUNJU SDA YOUTH CHOIR - SABATO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @dorahemmanuelmpanga9850
    @dorahemmanuelmpanga9850 2 ปีที่แล้ว +3

    Siku ya pekee sana, Sabato takatifu ya Bwana, siku ya furaha,
    Sabato njema

  • @eliasmaingu4576
    @eliasmaingu4576 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe mno kwa kazi nzuri, kwa kukukumbusha kuitunza Sabato ya Bwana

  • @daviddominick5274
    @daviddominick5274 2 ปีที่แล้ว +4

    Ndoto yangu imetimia...haikua rahisi..Hongera bunju youth choir..keep on pushing

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Kaka mkubwa , MUNGU akubariki Sana Kwa njozi, Wala hatujasahau njia zako , MUNGU anaendelea kutupa nguvu kuhakikisha jumbe zake Kwa watu wake zinawafikia , Huko uliko tunakuombea, endelea kutupeleka mbali zaidi na zaidi ili MUNGU aendelee kuinuliwa

    • @daviddominick5274
      @daviddominick5274 ปีที่แล้ว

      Mbarikiwe sana siku si nyingi ntaungana nanyi pia msife moyo

  • @nemesyfredrick2663
    @nemesyfredrick2663 2 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU awabariki na kuwatunza, mkazidi kumtumikia daima

    • @bernthedr
      @bernthedr 2 ปีที่แล้ว

      Amina, barikiwa mjoli 🙏

  • @mathiasduduru628
    @mathiasduduru628 2 ปีที่แล้ว +3

    Natokwa na machozi ya furaha

  • @magrethanthony2560
    @magrethanthony2560 2 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe mzuri
    Madhari
    Hakika ni utukufu zaidi ya utukufu
    Kwa Muumbaji
    Mungu mkuu
    Hakika Sabato ni siku ya pekee
    Mbarikiwe the golden melodies bunju youth choir

  • @enockmalegesi6358
    @enockmalegesi6358 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe saaana @bunju sda youth choir... Mzidi kusonga mbele zaidi

  • @fredachayo7035
    @fredachayo7035 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana vijana Kwa Kazi nzuri 👏

    • @bernthedr
      @bernthedr 2 ปีที่แล้ว

      Amina 🙏

  • @benjaminpaskali6166
    @benjaminpaskali6166 ปีที่แล้ว

    Wimbo umenibariki sana.Mungu adum kusimama nanyi siku zote ktk kumtumikia

  • @amontukiko2600
    @amontukiko2600 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana wapendwa...
    Mnanibariki sana

  • @josephbundala1830
    @josephbundala1830 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana GMB. Songeni mbele daima

  • @charliesmussa9240
    @charliesmussa9240 2 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo unaujumbe mzuri mubarikiwe muende mbali sana

  • @lahelmichael4173
    @lahelmichael4173 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana vijana. Endeleeni kumtumikia yeye pekee.

  • @nancygosso4669
    @nancygosso4669 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe vijana bunju

  • @sebastianroswe1649
    @sebastianroswe1649 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen .. wimbo umenibariki sana

    • @alphoncemathias3348
      @alphoncemathias3348 2 ปีที่แล้ว

      Ameni twaomba pia utusaidie kushare

    • @bernthedr
      @bernthedr 2 ปีที่แล้ว

      Amina, barikiwa sana mjoli,,

  • @dastanjacob8355
    @dastanjacob8355 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni Mwema Barikiweni sana

  • @bahaticosmasi2665
    @bahaticosmasi2665 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbarkiwe sana Vijana kwa ujumbe na kaz njema ya kumtumikia Mungu

  • @productuzur7585
    @productuzur7585 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbariikiwe salam wote

  • @tambukwakudra550
    @tambukwakudra550 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina. Nimefurahi kumwona rafiki yangu Mengi

  • @ngambiinvestment6521
    @ngambiinvestment6521 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana Mungu awabariki sana

  • @babuu_tzy8525
    @babuu_tzy8525 2 ปีที่แล้ว +2

    mungu awajaze nguvu mzid kutupa ujumbe kwa njia ya uimbaji

  • @gracepeter3391
    @gracepeter3391 2 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri sana mbarikiwe Sana vijana bunju

  • @DaudJK
    @DaudJK ปีที่แล้ว

    BWANA awabariki " na Lau Kama BWANA akiwabariki awabariki kweli kweli na awazidishie hozi yenu"

  • @magrethmbwambo4807
    @magrethmbwambo4807 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana na wimbo big up

  • @charlesgaye4098
    @charlesgaye4098 ปีที่แล้ว

    Bwana akawe tumie katika viwango vya juu

  • @pessachalube9286
    @pessachalube9286 ปีที่แล้ว

    Nzuri nimeipenda mbalikiwe sana

  • @nauratmwanja4024
    @nauratmwanja4024 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongeren Sanaa watu wa Mungu 0:39

  • @josephmganga4580
    @josephmganga4580 ปีที่แล้ว

    Siku ya 7 ya pekee, A big amen

  • @emmanuelmnkeni1939
    @emmanuelmnkeni1939 ปีที่แล้ว +1

    Amen marafiki mko vizuri sana

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      AMINA PASTOR, TUNASHUKURU SANA KWA KUENDELEA KUTUTIA MOYO KATIKA KUIPELEKA KAZI YA MUNGU MAHALI MAHALI

  • @cellynnzunda3379
    @cellynnzunda3379 2 ปีที่แล้ว

    waooo gud job❤❤❤❤❤

  • @mussauziely
    @mussauziely 2 ปีที่แล้ว

    Niwimbo bora sana umenibariki

  • @mndalimndali8978
    @mndalimndali8978 2 ปีที่แล้ว

    Kazi njema sana, wimbo ni mzuri sana

  • @bernthedr
    @bernthedr 2 ปีที่แล้ว +2

    "When God Said Remember.." Kuna siku moja ndani ya wiki moja, nayo ni Sabato yake Bwana Mungu, kaitakasa na kutoa agizo kwa mwanadamu yeyote aitunze, naam Asema Bwana wa Sabato, Sabato ilifanyika kwa ajili ya Mwanadamu, mbarikiwe vijana kwa doctrine hii muhimu 🙏🙏

  • @DeusMudo
    @DeusMudo ปีที่แล้ว

    Barikiweni nabarikiwa nikiwa kibada kigambon

  • @didasmarko7227
    @didasmarko7227 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzur hongereni

  • @rehemadadi6842
    @rehemadadi6842 2 ปีที่แล้ว +3

    the hard work you put into singing this is so inspirational 👌👌...you guys always sounded good but I think this was your best of the best🥰,May our almighty God's mercy surrounding you and all your efforts to reach the word by singing.

  • @samsonbusia3245
    @samsonbusia3245 ปีที่แล้ว

    God bless you 💯

  • @rosemsuka6476
    @rosemsuka6476 ปีที่แล้ว

    Great job.

  • @babuu_tzy8525
    @babuu_tzy8525 2 ปีที่แล้ว +1

    woooow nice job 0:27

  • @Any-hw6yi
    @Any-hw6yi ปีที่แล้ว

    I love this song

  • @Francemau_01
    @Francemau_01 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @productuzur7585
    @productuzur7585 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbariikiwe salam wote

  • @EdsonimsubichachaChacha
    @EdsonimsubichachaChacha 5 หลายเดือนก่อน

    Amina