KWS imewahamisha swara bongo 10 waliokomaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Shirika la huduma za Wanyamapori limewaachilia swara bongo kumi waliokomaa na kuwahamishia katika hifadhi ya wanyamapori ya Mawingu ili kuwakinga dhidi ya uwindaji haramu.

ความคิดเห็น • 1

  • @lochilihapeter6095
    @lochilihapeter6095 5 หลายเดือนก่อน

    Niliona 2 in kakongu turkana county