Isingelikuwa hakika damu ya Yesu nisingelikuwa hai kweli. Ibaada ya kweli kwa wasaa huu 😭😭😭😭. Tafadhali wekeni ibaada nzima sababu yainua mioyo yetu kwa jina la Yesu Kristo🙏🙏
Ningelikuwaje mimi kama sio damu ya yesu, mimi nilinikuwa msherati na kutoa mimba 😭😭😭😭😭😭 lakini Mungu akamtoa mwanawe wa kipekee amwage damu yake kwa akili yangu, hakika Mungu ni mwema🙏
Lord forgive me,surely if there is a sinner it is me I committed all form sin and Lord stil give me a chance again.what love,this time change me completely I'm tire of sin Lord.
Tungelikuwa wapi jamani kama sio damu yake Yesu😭😭
Tungekua pabaya sana
Isingelikuwa hakika damu ya Yesu nisingelikuwa hai kweli. Ibaada ya kweli kwa wasaa huu 😭😭😭😭.
Tafadhali wekeni ibaada nzima sababu yainua mioyo yetu kwa jina la Yesu Kristo🙏🙏
Ningelikuwaje mimi kama sio damu ya yesu, mimi nilinikuwa msherati na kutoa mimba 😭😭😭😭😭😭 lakini Mungu akamtoa mwanawe wa kipekee amwage damu yake kwa akili yangu, hakika Mungu ni mwema🙏
Lord forgive me,surely if there is a sinner it is me I committed all form sin and Lord stil give me a chance again.what love,this time change me completely I'm tire of sin Lord.
Such a touching song, thank you JESUS for the BLOOD OF CALVARY CROSS.
This song is really touching,that the Lord chose you and welcomed you to the wedding supper of the Lamb
ningelikuaje mimim Yesu wangu ,usherati ulinijaa nikalala hata na ngombe 😭😭😭 lakini Huyu Yesu akaniokoa
OOH WHERE THE LORD REMOVED US IS SO SERIOUS
1:44
Asante sana kwa damu yako yesu iliyo tupa patanisho na Mungu Muumbaji wetu baba Yetu
ningelikuwaje ,,nimekuwa mwenye dhambi ,,mungu Asante kwa damu ya mwanao msalabani,,,,,,dhambi ingeshaniua😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Thankyou God for your favour for remembering me once small....hakika ingekua aje kama sio mpigo wako... hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏
We thanks the Holy spirit
Isingekuwa Damu ya Yesu kwa hakika ningekuwa nimeangamia..A very powerful worship i Thank The Lord for The blood at the cross
The song that touch my heart so much
Isingelikuwa jina la yesu ningelikuwaje😌🙌
Mungu wangu ni samehe Jehova ningelikuwaje singelikuwa ni wewe Mungu wangu 😭😭😭😭🤲🤲
I could have long forgotten but thanks for the blood of Jesus and the old rugged cross...
Asante sana Yesu kwa damu Yako Calvari
WOI THANK YOU JESUS FOR THE BLOOD
If it was not fo the blood i will be long forgotten
very powerful worship ,,hakika kama Sio damu ya YESU tungekua tumeangamia...may the LORD help us to walk in HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS untill we enter
Powerful kwa akika kama sio Damu ningeangamia kitabo Asante MUNGU wa MANABII
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu nisamehe. Uliona nini kwangu
😭😭I THANK YOU LORD FOR YOUR BLOOD
Indeed this is a very powerfull worship song that brings someone closer to the Lord
Asante YESU kwa DAMU YAKO YA DHAMANA
Powerful 🎉
Repentance it's the lny church who have the worship
Ngekuwa wapi kama sio DAMU YA YESU!😢😢😢😢😢
ASANTE BABA KWA MWANAO YESU KWA KUNIOKOA
Very powerful song
Kweli ningekuaje,umenihurumia😢
Thank you JESUS CHRIST FOR YOUR PRECIOUS BLOOD. Surely if it wasn't for the blood where could I be
Woi Asante Yesu ningelikuwaje kweli 😭😭
Waja mungu anisamee
Very true, if it were not for the Blood of Jesus how would my life be????
If it wasn't for sure how would we be
That is great My good friend of many years Bishop Ogutu.
Where could I be thank Jesus for Calverley
😢 indeed if it was not for the Lord to send his beloved son where could we be 😢😢
Kwa kweli tungekuwa tumeisha kama sio DAMU YA YESU, lakini kwa rehema za Mungu tumealikwa kwenye harusi ya Mwanakondoo.
Asante YESU🙌🙌
This is very powerful.
ningekuwa wapi mimi na barikiwa sana nikiwa dubai😭😭😭
Amazing song , for sure if is not his on Calvary how would we be?
Kama sio damu ya kalivari ningekua wapi😢..ahsante kwa damu yako yesu
Ningekuwa nimesahaulika,Asante kwa kuniokoa yesu
For sure, were it not for the blood of Jesus, I bet I could be no more today.
Thank you Jesus for your blood.
Ningelikuwaje kweli😢😢
Thank you Jesus for your blood
Very true
Ningelikuaje kweli
Asante Yesu kwa damu yako
Kweli isingekuwa ni damu yako ningelikuwa wapi.?very powerful.
Oh Lord save me😢😢😭😭
Asante YESU
Where could I be surely if not the blood of calvary.
Mungu uliona Nini Kwangu 😢😢😢
😢😢😢the love of God 🙏 ningelikuaje
Kweli kama sio Damu ya Yesu ningekuwa nishapotea
😭😭😭😭😭 woi ningelikuaje surely if its not the blood of Jesus l could have been forgotten long time ago.
Only the hope of this world is JESUS CHRIST
Kweli ni mungu tu.
Thank you so much for this Worship song from heaven.
Surely!
😭😭😭😭😭😭😭🙌🏻🙌🏻
Ningelikua wapi jamani
Thank you God for saving my life
😭😭 don't know how it could really be
Thank you Jesus for the blood 🎉
I like the song
Powerfu worship
Powerful ❤
Kama sia wewe ningelikua aje humenitoa matopeni NI Mimi nimekuwa msherati NI Mimi nimeavya mimba
Just being blessed with the song
Is DAB Ogutu currently in Rongai?
No alialikwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asante sana YESU kwa Damu yako calvary
Asante
Yesu