Mtunzi wa wimbo, walimu wa Kwaya, waimbaji, walimu wa steps, viongozi wa sare, wasikilizaji na wote waliohusika na wanaoendelea kuhusika katika wimbo huu MUNGU awabariki sana. There is still hope through this song🙏🏾
One among my best playlist. Ukitoa ni Yesu pekee basi nitakuomba uniwekee #Yusufu. Hakika Mungu hana upendelo na tuzidi kujifunza vile anajiinua kupitia watu wasiodhaniwa na wale wanaopitia magumu na vikwazo. Mbarikiwe Sana watu taifa la Mungu
Nimebarikiwa na nazidi kubarikiwa na nyimbo zote toka katika familia hii kubwa ya MHC hakika Mungu azidi kutubariki sote kwa pendo lake kuu. huu ni wimbo wa maombi na maono ambayo kila mwanadamu mwenye pumzi anastahili kusikiliza. ASANTENI KWA KUTUBARIKI HASA SISI EX MABIBO

Hakika tumefunikwa kwa damu Yesu mengi tunapita magumu na mazito lakini damu yake inatupa nguvu. Oh utukufu kwa Mungu aliyejuu kwaajili ya mabibo hostel choir na Mungu abariki vipawa ndani yenu🔥🔥
SUBSCRIBE, WATCH & SHARE
Wooow mbarikiwe USCF mabibo choir kwa wimbo mzuri Sana ❤❤❤❤
Ee mwenyezi MUNGU hakika kazi hii ni njema sanaaa bariki huduma hii ikue na kuinua vipawa vya watoto wako
Kazi yenu ni njema Sanaa. Mungu awabariki🙏
Mtunzi wa wimbo, walimu wa Kwaya, waimbaji, walimu wa steps, viongozi wa sare, wasikilizaji na wote waliohusika na wanaoendelea kuhusika katika wimbo huu MUNGU awabariki sana. There is still hope through this song🙏🏾
International choir @mabibo hostel choir your unique and mervolous see you at the Top
Amen
Amen Mungu akubariki sana 🙏❤️
MUNGU awabariki sana watumishi wa MUNGU 👏👏
One among my best playlist.
Ukitoa ni Yesu pekee basi nitakuomba uniwekee #Yusufu.
Hakika Mungu hana upendelo na tuzidi kujifunza vile anajiinua kupitia watu wasiodhaniwa na wale wanaopitia magumu na vikwazo.
Mbarikiwe Sana watu taifa la Mungu
Amen 🙌 Glory to him
Biblical song🔥
Mungu awabariki kazi nzuri na ina pumzi ya uzima.
There's hope
Nimebarikiwa na nazidi kubarikiwa na nyimbo zote toka katika familia hii kubwa ya MHC hakika Mungu azidi kutubariki sote kwa pendo lake kuu. huu ni wimbo wa maombi na maono ambayo kila mwanadamu mwenye pumzi anastahili kusikiliza. ASANTENI KWA KUTUBARIKI HASA SISI EX MABIBO
Hatupoiiiiiiiiii❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe Kwa kazi njema yenye baraka
Amen sana Mtumishi, Utukufu kwa Mungu
Vikwazo Ni vya muda tuu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika Bwana amefanya utukufu ni kwake❤❤🔥🔥
Wimbo unaujumbe mkubwa sana
I see man of God shepherd shunashu vocalizing😁😍.. congratulations MHC
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌 Anointed choir God bless you
Amen
Mbarikiwe sana USCF mabibo Kwaya kwa wimbozuri sana.
Safiii Sana big up may God still with you❤❤❤❤
Mbarikiwe MHC kwa wimbo mzuriii na wenye upako
Mungu Awazidishe mnooo✋✋
Amen
Congratulations much MHC for the good song💗
Am blessed with this🥳🥳🥰🥰🥰
😍❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Yusufu 🎉
🔥🔥🙌
Utukufu kwa Bwana ,mm nipungue yeye aongezeke
The song is inspiring 🥺 it gives hope ,whenever I listen to this I tell myself "you will one day become great ✊" lots of love from this side
Glory to God
Nimewamiss sana watumishi wa Mungu
Mungu azidi kuwabariki
I feel blessed,,happy and peace when I watch MHC works I real love this choir GOD bless you in advance❤️
Amen 🙏
mbarikiwe sana Kwa wimbo mzuri🔥🔥🔥
Amen sana
Authour @Mwl Amos
MHC4❤
HAKIKA ALIPATA MAONO
tena msichoke katika kutenda mema, maana mtavuna kwa wakati wake msipozimia roho, Kazi yenu ni njema sana. Mbarikiwe🙏
Amen 🙏 Barikiwa sana
Hiii kwaya naipenda buree.
Mungu azidi kuwainua viwango vingine
Amen mtumishi ubarikiwe saana 🙏
AMINA
Nimebalikiwa na wimbo mzur
Nice,,Mungu ni mwaaminifu
Amen
🤎MHC
Mbarikiwe sana
One among my best playlist.
Ukitoa ni Yesu pekee basi nitakuomba uniwekee #Yusufu.
Hakika Mungu hana upendelo na tuzidi kujifunza vile anajiinua kupitia watu wasiodhaniwa na wale wanaopitia magumu na vikwazo.
Mbarikiwe Sana watu taifa la Mungu
Amen brother uko mahalisahihi
Hakika tumefunikwa kwa damu Yesu mengi tunapita magumu na mazito lakini damu yake inatupa nguvu. Oh utukufu kwa Mungu aliyejuu kwaajili ya mabibo hostel choir na Mungu abariki vipawa ndani yenu🔥🔥
Mtumishi salaam