SIMBA HAWATAMBUI UJIO WA SHABIKI ALIETEMBEA KWA MIGUU ? "Nikurogana tu, narudi Kigoma kwa miguu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว +1

    Wenzako walitembea kwa miguu hadi dar na hawakuwahi kuangalia mpira lakini walilipiwa pesa kwa tiketi ya ndege ya kurudia

  • @michaelcharles7139
    @michaelcharles7139 3 ปีที่แล้ว

    Pastor mgogo

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 3 ปีที่แล้ว

    Bora umesema ukweli na ninani alikuambia utembee kwa miguu arafu upewe msaada. Yanga tunathamini wachezaji,uongozi na mashabiki. Mwenzio nenda Rudi ni pipa tuuuuu. Yanga oyeeeeeeee

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 ปีที่แล้ว

    Si uliiga kwa yule jamaa wa Yanga alietoka kigoma bas mwambie mo akulipie tiket ya ndege Kam walivyo fanya GSM

  • @athumanmfangavu7320
    @athumanmfangavu7320 3 ปีที่แล้ว

    Kikoko ni tambwe hhhhh

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 3 ปีที่แล้ว

    Mamae zako hautarudiaaaaa, IGA IGA fc wambie wakupe nauli ya tren walahu

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe umeitia gundu simba

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 3 ปีที่แล้ว

    Wanga wakubwa nyie