Asante sana BBC kwa kutujuza yanayo jiri ulimwenguni. Pole sana kwa jamaa zilizo hasirika katika ajali ya maji huko DRC. Lakini nataka niwaombe hili, munatujuza katika luga yetu tukufu ya kiswahili, iweni mkitofautisha BOAT na MELI mnapo tujuza tarafa za matukio ya maji. Maana katika kiswahili vitu hivyo vinatofautiana japo vinatembea juu ya maji. Asante sana na kazi njema. 26:49
Asante sana BBC kwa kutujuza yanayo jiri ulimwenguni. Pole sana kwa jamaa zilizo hasirika katika ajali ya maji huko DRC.
Lakini nataka niwaombe hili, munatujuza katika luga yetu tukufu ya kiswahili, iweni mkitofautisha BOAT na MELI mnapo tujuza tarafa za matukio ya maji. Maana katika kiswahili vitu hivyo vinatofautiana japo vinatembea juu ya maji.
Asante sana na kazi njema. 26:49
Asante sana dada Eliza😁👏💯
Pole sana Nduguzangu wa congo.
Congo hakuna serekali
Tunisia,kama Tz tu
Serikali ya Congo inatakiwa kujitadhimini juu ya raia wake na namna ya kuzipunguza
Umesema abari za ukweli?
BBC hamutoi habar za ukweli munawatetea saaana Israel kwa sbbu na nyinyi munaunga mkono mashambulizi ya Israel nchini Palestine na Lebanon
Jamen kwann waskae wakazunguma na sio Kwa kumwaga damu
Apa ni shughuri nimefurah sana kwa kusema hivyo kutafuta shughuri sio kwa awa wengine wanafurahi kuona damu zinamwagika cha msingi ni suluhisho
Biden mbna waogopa israel kushambulia maeneo ya nuclear ya iran😂
Wajinga nchi za ki magharib