CODE IS CONCENTRATE (1) GOAL AFTER 9 MINUTES TO TR AL 10 GOALS IN 90 MINUTES. THIS MEANS: 1. TOP LEVEL SPEED 2. ACCURATE PASSES 3. NO OFF TARGETS 4. TOUCH, LEASE ATTACK 5. ALMIGHT, GOD BLESS YANGA
Wanachama na Mashabiki wa Yanga tuwaombee Wachezaji wetu na Banchi la ufundi awajaalie Afya nguncu awake uwelewa kwenye mafundisho yao na awaondoshee Khofu na uwoga Inshaallah
Kanuni za CAF hazimruhusu Mchezaji kucheza kwenye timu mbili kwa msimu mmoja. Huyu Ikanga alichezea Vita Fc ya Congo ktk hatua za awali za michuano hiyo. Kwahiyo hatakuwemo kwenye mchezo na Waarabu.
Mungu ibariki yanga yetu ipate ushind mnono Jumamos Inshaallah kher 🙏🤲
Mungu awe pamoja na nyinyi na atubariki tupate kusonga mbele
Nimefurahi kumuona maxi nzengeli..
Dah, nimefarijika kuona jezi namba 11 imetendewa haki. Imenikumbusha enzi za Donald Ngoma.❤❤❤
Asante timu yetu mungu wetu tunaemtumainia akawe msaada kwetu
Mungu azidi kumtia nguvu bodaboda wetu Bocca,kuondokewa na mzazi si chezo
Mungu awalinde ninyi nyote mkaamke vema hiyo siku na awape uwezo na nguvu🎉🎉
Natokea mkoa wa songwe,mungu awabariki wote wachezaji wetu Dua na sala zitawale katika mioyoni jambo liwe moja tu point 3 tupate jumamos.
Amina 🙏🙏
Karibu
Allahumma amen
@@MawazoWilliam-g9l ikiwa auna sehemu yakufikia niambie tuweze kuwaslian
Mwarabu atapasuka vibaya sanaa
Mwamba sana huyu🎉🎉🎉🎉
CODE IS CONCENTRATE (1) GOAL AFTER 9 MINUTES TO TR AL 10 GOALS IN 90 MINUTES. THIS MEANS:
1. TOP LEVEL SPEED
2. ACCURATE PASSES
3. NO OFF TARGETS
4. TOUCH, LEASE ATTACK
5. ALMIGHT, GOD BLESS YANGA
Natokea kilosa kijiji cha Ulaya, MUNGU muaminifu yupo pamoja nasi wananchi ubingwa wa CAF champion league 25 kuendelea ni wetu
Sahihi 😂kaka tuko pamoja sana wananchi uhakika mkubwa sana
Wananchiiiiii✌️🇹🇿
Jamani pacome simuoni hapo vp wenyetalifa zake prz
Ikhangalombo welcome under 20 +2 aloo jitume tunaitaka ligi ya mabingwa
ALLY KAMWE; TAYARISHA KIKUNDI KITAKACHOKUWA KINATAMKA "GUSA ACHIA TWENDE KWAO" "GUSA ACHIA TWENDE FINALI" NON STOP.
Mm mjeshi wa cheua beua karume nikwa na mkuchika tunawatakia yanga mandalizi mema
Hongera sana
Unasemaj kocha wakat huyu kasha cheza mechi mbili kule kwao awez cheza Tena
Pakome Jan yuwap
BWANA YESU NAOMBA UAMBATANE NA WATOTO WAKO HAWA
Aminaa
mung ajalie ksho aweke 5
Wanachama na Mashabiki wa Yanga tuwaombee Wachezaji wetu na Banchi la ufundi awajaalie Afya nguncu awake uwelewa kwenye mafundisho yao na awaondoshee Khofu na uwoga Inshaallah
Kumbe Boka yupo nilijua kaenda Congo
Labda alienda kuzika na akarudi kwa ajili ya maandalizi
Ina mana , Boka hajaenda kumzika baba yake?
Daaah kamera man anatutendea haki anamfuatilia hd raha
Mungu tujalie tushinde
Mbona simuoni professor Pacomme
Hongera jeshi letu
Max max
1:15
Sijamuona zizo jamani
Isaya toka mbeya pakome
1️⃣
Paccome jamani
Wapi pacome
Naomba kuulizia ikangalombo j ms atakuwepo dimbani jmn naomba jibu
Kanuni za CAF hazimruhusu Mchezaji kucheza kwenye timu mbili kwa msimu mmoja. Huyu Ikanga alichezea Vita Fc ya Congo ktk hatua za awali za michuano hiyo. Kwahiyo hatakuwemo kwenye mchezo na Waarabu.
ila tukiingia robo fainali ataruhusiwa kucheza?@@songombingo108
@songombingo108 ok poa nilijua kwamba atacheza
Pacome yu wap?