ONE MISTAKE - SIMULIZI MPYA - PART 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • “Nakumbuka namna nilivyokutana na wewe, Nakumbuka namna ulivyonifanya niamini kuwa kuna mapenzi ya dhati, Nakumbuka namna ulivyonipenda na kunijari mithili ya mtoto mdogo.

ความคิดเห็น •

  • @primmaria
    @primmaria 21 วันที่ผ่านมา +24

    hi wadau nimekuwa wa kwanza leo nakupenda anko j na wanasimuulz wot comment jmn ❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 21 วันที่ผ่านมา +9

    ❤❤❤🎉🎉 nipo ndan jamani munaoangalia au kuisikliliza mukiwa mechelewa km mimi like bas tujuane ee tupo wachelewaj hatukosag🤣💪 Ankojy asante vitu 🔥🔥🔥👏🪑🎧🏃

  • @SophiaSteven-d9m
    @SophiaSteven-d9m 21 วันที่ผ่านมา +20

    Jmniiii wa kwanz leo mnip like zanguuu alaf uncle j malizia bas simuliz ya halim naisubir sanaaa

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 20 วันที่ผ่านมา +8

    wale Wazee bandika bandua tujuane maana kuanzia asubui tupo you tube simulizi moja mbk nyengine yani nalala na kuamka umuu❤❤❤

    • @ManisaboSifa
      @ManisaboSifa 17 วันที่ผ่านมา +1

      Ni uvivuuo atamimi na ipenda ilasioivyo🎉🎉🎉

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 21 วันที่ผ่านมา +12

    Asante anko jay 🪑🪑🪑🎧🪑🪑🎧🪑 naona badika baduwa hakuna kulala Hadi raha ❤🪑🪑🪑🎧🎧

  • @RitaannyManegabe
    @RitaannyManegabe 21 วันที่ผ่านมา +7

    Wow Anko jay wetu weee iyii masiku unatuleteya vitu vipya kila siku 🎉🎉🎉❤❤❤ Asante sana Anko jay kutukubuka saa yote nipe ata like juu nakufwatlia kumi kwa kumi ❤❤❤ simulizi zuri sana

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 20 วันที่ผ่านมา +6

    mfalme wa simulizi ni anko J ❤❤❤ kukupenda tuu ndio kitu ninachoo juaga 😊

  • @violethezekiel251
    @violethezekiel251 17 วันที่ผ่านมา +5

    Waooo! Tupo pamoja

  • @OmanOmz-qg5lj
    @OmanOmz-qg5lj 21 วันที่ผ่านมา +11

    Kwa kila mtu anae sikiliza simulizi za ankojay mapesa MUNGU afanyie kila jambo kwako liwe la heri na mafanikio kwenye maisha yako 🤲🤲🤲🤲

  • @loyc6306
    @loyc6306 21 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi ipo kumbe, kosa hilo jamani Acha nisikilize mie ❤❤

  • @JulianaYusto
    @JulianaYusto 21 วันที่ผ่านมา +9

    Haaaaaa rahatu akuna upweke kwaankojj❤❤❤🎉

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 21 วันที่ผ่านมา +4

    Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 17 วันที่ผ่านมา +2

    Nita maayamke wake🎉🎉🎉ila jakline ni mtu mzuri

  • @SalamaMwaga-co3st
    @SalamaMwaga-co3st 21 วันที่ผ่านมา +5

    @anko wee looooh utatua please njoo taratibu duuuh 😂😂😂 uku mr love 🔥🔥🔥sumaiya mwendo utatuua na mwendo huu

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 21 วันที่ผ่านมา +16

    ❤❤Anko J wew noma King 👑 wetu asubuhi Mr love jion KOSA LANGU had rahaa kujeni wanafamilia wa Anko J like hap kwa Anko J 😂😂❤❤🎉🎉

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 21 วันที่ผ่านมา +10

    Leo nmewahi Sana,kazi nzuri kaka ❤❤❤.

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 21 วันที่ผ่านมา +30

    YAAANI ANKOOO ANASIMULIA MBK ROHO INARUKARUKA KAMA NDAMA CHANGA AISEEE POKEA MAUA YAKO🌹🌹🌹🌷⚘ NIPEENI LIKE ZA LASTBORN 2KIZONGA MBELE

  • @MarimGodifrey
    @MarimGodifrey 18 วันที่ผ่านมา +4

    Kutangulia sio kufika ❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana mashabiki wa wenzangu

  • @HappyBeltod
    @HappyBeltod 21 วันที่ผ่านมา +8

    Pongezi zako anko kweli upo makini na mashabiki zako kuwapatia furaha sijui kosa gan zakalia imekuja nalo🪑🎧

  • @HappyDabuya
    @HappyDabuya 21 วันที่ผ่านมา +3

    Tuko xambamba paka tamati king 👑 of voice unaitajilizi kwamana unatufurahixha sana kipenzi chetuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @مريمكينيا-ش8ح
    @مريمكينيا-ش8ح 21 วันที่ผ่านมา +4

    Asante anko j kwa simuliz nzur jaman

  • @samychance
    @samychance 21 วันที่ผ่านมา +4

    Yaani anko siku hzi unanifurahisha Hadi natamani nkubless something 😂❤🎉🎉

  • @RommyChuwa
    @RommyChuwa 21 วันที่ผ่านมา +4

    Nimewahii leoo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MariamPaschal-f5n
    @MariamPaschal-f5n 21 วันที่ผ่านมา +35

    Yule dada anaye omba like Kwa Kasi ndo naaingi like kwangu tafadhali 😂😂😂

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 18 วันที่ผ่านมา

      Dah maskini wanapitia magumu

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 21 วันที่ผ่านมา +14

    Wa mwishooo Like zangu Kaz nzur anko jay❤❤❤

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 21 วันที่ผ่านมา +3

    Oyoiiiiii Anko jay shukrani tunakupenda zaidi hatimae umeachia mzigo mpya wow acha tusikilize kosa langu kunanini🎉🎉🎉🎉🎉🎉nilikuwa nime boeka kwa kukosa mr love kumbe kuna kitu tena❤❤❤❤

  • @Shadia544
    @Shadia544 21 วันที่ผ่านมา +12

    Haya jamaniii hilo KOSA LANGU HAYA TUJUWE HILO KOSA LANGU 😢MUNGU NI MWEMA ❤

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 20 วันที่ผ่านมา

      Mpenzi naomba unikumbushe jina la hii simulizi ulioweka profile yako ..

    • @SofiaMchange
      @SofiaMchange 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@MwanatumuJumaa-rj4fgkarma😊😊😊😊

    • @Shadia544
      @Shadia544 20 วันที่ผ่านมา

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg karma kipenzi changu

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 20 วันที่ผ่านมา +3

    Anko J sema fulusu na sio furusi OK Mr voice 🔥🔥

  • @mozabayabanda4248
    @mozabayabanda4248 21 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana Anko jay wewe ni moto kabisa nakwaiyo sauti utatuhuwa mungu akulinde Anko❤❤❤❤❤❤

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 21 วันที่ผ่านมา +3

    Leo hakuna kulala shukran kaka Ankojay ubarikiwe ❤❤❤

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 21 วันที่ผ่านมา +4

    Ahsante ancojay siko mbali na wewe

  • @ndikumanaannaa5259
    @ndikumanaannaa5259 21 วันที่ผ่านมา +7

    leo mimi ni wamwisho naomba like zenu❤❤❤

  • @ScholasticaShadrack
    @ScholasticaShadrack 17 วันที่ผ่านมา +3

    Tunakupend san anko j❤❤

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 21 วันที่ผ่านมา +3

    Asante saana Anko Jay mungu akubariki akupe ngumvu

  • @Mwanamisi-ir3ii
    @Mwanamisi-ir3ii 21 วันที่ผ่านมา +4

    🎉🎉🎉 Leo chukuwa ❤❤❤ yako ankojay

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 21 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana Ankoo J unavyotujali tukimaliza Moja unatuletea nyengine mungu akubari sana,but tumalizie Halima ama ahadi yko mpaka tarehe 20

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 19 วันที่ผ่านมา +2

    Sijuw kosa langu

  • @JujuShabani
    @JujuShabani 21 วันที่ผ่านมา +8

    Wa 8 😂😂😂 wapendwa wa ankojay kigongo kipya hicho wapo kosa langu limefanyaje twendeni nayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @usterbae
    @usterbae 21 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi nzuri sana❤

  • @emmychesco5771
    @emmychesco5771 21 วันที่ผ่านมา +6

    ❤me wa kwanza

  • @CathyPeter-ln3pw
    @CathyPeter-ln3pw 21 วันที่ผ่านมา +3

    ♥♥ anko j nakupenda san .

  • @AishaBundara
    @AishaBundara 21 วันที่ผ่านมา +18

    Wao like zenu.jamani

    • @MuzznaMo12
      @MuzznaMo12 21 วันที่ผ่านมา +1

      anko j❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 21 วันที่ผ่านมา +5

    Asante sana ankojy kwa kutuletea simulizi ya koso langu🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🎉 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 21 วันที่ผ่านมา +1

      Yaani mimi nilivyo upata uchungu leba eti nimwache mwanangu ntakua chizi 😚😚😚

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 21 วันที่ผ่านมา +1

      Esta amekula Wa chuya ngoja aje uku ulaya alafu afanywe changudoa 🤣🤣🤣🤣

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@zenaathumani8144😂😂au atatolewa figo na maini na kisha kufanywa ndafu 😂😂shenzi zake sana😂

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 18 วันที่ผ่านมา +1

      Maskini naye ni mtu😃😃.Ngoja nipitie Italy nikafanye mahitaji Milano.Nawaambia maskini watafute hela.Bila hivyo maskini ikija vita watakua Wa kwanza kufa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 18 วันที่ผ่านมา +1

      Zena Italy pande zipi nataka nipitie Maranello nikaagize ferrari

  • @SuuJaphary
    @SuuJaphary 21 วันที่ผ่านมา +4

    Aya kosa la mtu huku❤❤🎉🎉

  • @fatumamberwa1968
    @fatumamberwa1968 21 วันที่ผ่านมา +3

    Siamini leo nimewahiii🎉🎉

  • @SabrinaBon-pu8st
    @SabrinaBon-pu8st 18 วันที่ผ่านมา +4

    Wakwanza mmmm

  • @MeshackHelson
    @MeshackHelson 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka upo kabisa naomba part 2 ya kosa langu

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ankojay kosa lako hutaki kutupa halima last episode sasa mbon nisipige kelele asnte sana kwa hii acha nisikilize huku najobika mimi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ mashabiki wa Ankojay mungu awabariki nyote popote mlipo in shaa Allah ❤❤❤❤❤

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 21 วันที่ผ่านมา +4

    Cjachelewa sana nmejarbu ❤

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 21 วันที่ผ่านมา +4

    Dah Asante sana Ankojay kwakutujali❤❤❤❤ hakika unajitahidi hatakama uko mwenyewe unabidii sana❤❤uzidi kubarikiwa❤❤❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 20 วันที่ผ่านมา +3

      ❤❤ nikua spo Ewan wa ha niwape hai niikwa sasiklz moja baada yangine wadau wangu🤝

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 20 วันที่ผ่านมา +3

      @@TeklaNdekeja salama kabisa🥰🥰🥰yani simulizi za Ankojay zote nilizimaliza hadi nabaki nikitafuta yenye sijasikiliza🤣🤣🤣🤣

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 20 วันที่ผ่านมา

      @@lilianeerica3318 ukikosa siku moja unaona km mwaka janakwa kwangu ilikua ngum sijapata kuona tangu niishi kw familia ya ankojy ujuwe hiisjui imetoka mda ganii

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 21 วันที่ผ่านมา +22

    Wtu wna roho mbay humu jmn hamjanipa ata like moja bc na mm kuazia leo stow like zng😥😡😡😡

  • @mmnimshindi
    @mmnimshindi 21 วันที่ผ่านมา +8

    Jamani ss waviporo tulio imisi binti halima tujuane pengine anko jy katusahau

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 21 วันที่ผ่านมา +5

    KOSA LANGU , kunanini kwenye hii simulizi ya KOSA LANGU😢 wacha nisikilize kwanza 🎉🎉

  • @DianeKaneza-u7o
    @DianeKaneza-u7o 21 วันที่ผ่านมา +3

    Asante mfalme wetu jay❤

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 21 วันที่ผ่านมา +17

    WA 30 JAMANI LIKE TAFATHALI KISHA NAMI NA DONDOSHA LIKE KWA WOOOOTEEE❤❤❤❤

  • @LilianMunyuku
    @LilianMunyuku 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri 🎉🎉

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 21 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤❤ kuwahi raha san

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 21 วันที่ผ่านมา +4

    One hour a go na sina habari duuu😮😮😮

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 21 วันที่ผ่านมา +3

    Asante tuko gardo kusikiliza ❤

  • @MagegeSwaumu
    @MagegeSwaumu 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika nimewawahi❤❤❤❤

  • @suzanajonas3548
    @suzanajonas3548 21 วันที่ผ่านมา +4

    Wow Anko ❤❤❤❤

  • @Sakina-m2r
    @Sakina-m2r 14 วันที่ผ่านมา +3

    Eti fulusi nime cheka🤣🤣🤣

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mtu anaweza kufanya popote au kusoma yaani vyovyote vile akawa kahaba,kila eneo analoishi mtu iwe kanisani au msikitini kuna tabia zote mbaya na nzuri zinazomhusu binadamu,kutafuta mwenza wa maisha inahitajika msaada wa Mungu,

  • @nelly-r6v
    @nelly-r6v 20 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana ❤❤❤

  • @MajiburaAlly
    @MajiburaAlly 20 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂jay unajua adi fulusi duh😊

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wamwishoo Leo jaman 😂🇴🇲🇴🇲♥️

  • @Madameochu
    @Madameochu 21 วันที่ผ่านมา +8

    Anko jay 🎉🎉🎉asante ila twaomba halima jamni 😢

    • @SalamaMwaga-co3st
      @SalamaMwaga-co3st 21 วันที่ผ่านมา +2

      Tarehe 20 mbona sie tumetulia tunasubir unanini lakn au apeleke mbele tarahe

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 21 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@SalamaMwaga-co3st🤣🤣🤣❤️❤️👍

  • @MarieNgabo
    @MarieNgabo 21 วันที่ผ่านมา +2

    Naipeda sana sauti yako anko jey

  • @TumainOmar
    @TumainOmar 20 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi anko j unalalaga saa ngapi? 😮😮

  • @TawhidaMohamed-b2u
    @TawhidaMohamed-b2u 21 วันที่ผ่านมา +3

    Anko tushamis lissa mwala bwana hawa wengne hatuwaelew kbs

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 15 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @HajranasMwatajiri
    @HajranasMwatajiri 21 วันที่ผ่านมา +3

    Wa kwanzaa😂😂😂

  • @EvaJohn-t1d
    @EvaJohn-t1d 18 วันที่ผ่านมา +2

    Astee ankjay

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k 20 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani acha nimechewaaaaaa😢

  • @wahidaali4494
    @wahidaali4494 21 วันที่ผ่านมา +4

    wa kwanza 😂

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 21 วันที่ผ่านมา +3

    Thanks Ankojay wetu ❤️

  • @nelly-r6v
    @nelly-r6v 17 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤

  • @AngellaNdambuki
    @AngellaNdambuki 21 วันที่ผ่านมา +3

    Hadi uruma aivan pole😢😢😢

  • @nashwaaabdullah3412
    @nashwaaabdullah3412 21 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤

  • @Rayfortunatus_0
    @Rayfortunatus_0 17 วันที่ผ่านมา +2

    Ila sifa anazopewa Anko j duuh so poah😅🙌

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wow ♥️♥️🌹🌹🌹🌹👋💃 thanks Ankojay

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z 20 วันที่ผ่านมา +2

    Tuko sambaba mpaka tamati kiny of voice anko familia

  • @Nawmi-p9b
    @Nawmi-p9b 21 วันที่ผ่านมา +3

    Nakuaminia Anko😂😂😂😂

  • @AyshaTanzania-b2s
    @AyshaTanzania-b2s 20 วันที่ผ่านมา +2

    Asante ankojay ❤

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 21 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤🎉

  • @aminah9557
    @aminah9557 21 วันที่ผ่านมา +3

    Haya mm wamwisho ila msisite ku like comment yangu😢😢

  • @Lucy-vp8pm
    @Lucy-vp8pm 21 วันที่ผ่านมา +5

    Aivan usililie wembe huyo mwana mke sio sahihi kwako kama ameweza kuacha mtoto wake ww n nani kwake 😢😢😢inaumiza ndiyo ila pambana na hali yako

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 20 วันที่ผ่านมา +3

      Ni kweli apambane tu,Mungu atamfungulia mlango,hayo ni mapito tu atamnyoshea huko mbele ya safari😢😢inaumiza na mchozi ya mwenza ktk ndoa ni hatari kwa anaeliliwa Mungu hapendi kabisa wanandoa kutengana😢

  • @SofiaJackson-q3b
    @SofiaJackson-q3b 21 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤ like bs

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 21 วันที่ผ่านมา +23

    Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwakweli hapa Esta ni mwanamke tu,hana sifa yakuitwa mama,hakuna mama anayeweza kuacha mtoto wake kiurahisi hivyo kwa sababu yoyote ile😢😢😢

  • @mleciWakati
    @mleciWakati 18 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 17 วันที่ผ่านมา +2

    Sio kila mufanyaaa bar ameendaa kujiuzaa wengine wanazifanya tuuu kukimu mahitaji ya familia hawa wanawake wananichefua yani mwanamke mwezenu mnamsema nikama hamjazaa jamani 😢😢

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 18 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Khijratkhijrat-eq1px
    @Khijratkhijrat-eq1px 21 วันที่ผ่านมา +3

    Roho yangu kwatu

  • @MariaMa-n5b
    @MariaMa-n5b 21 วันที่ผ่านมา +2

    Vyuma juu ya vyuma

  • @CathyPeter-ln3pw
    @CathyPeter-ln3pw 21 วันที่ผ่านมา +2

    Vipi halima jmn tarehe 20 mbali kumbe duuuh 🙆🏿

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 21 วันที่ผ่านมา +12

    Hatimae nimekua wakwanza like zang tafazali

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 21 วันที่ผ่านมา +6

    Nimekuw wa 84 leo nipen like zenu jmn japo nimechelew ila cyo sana wtu wamelala naona mpka saiv nafas hazja jaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SalamaMwaga-co3st
    @SalamaMwaga-co3st 21 วันที่ผ่านมา +2

    Binti Emmy inakuja lini anko

  • @PendoSamson-w2l
    @PendoSamson-w2l 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwann kuna kuwahi lakin 😂aya mkuje