asalam alaykum maalim, sisi huku zanzibar tuna rais wetu, jeshu letu na polisi wetu na takriban kila sehemu ya serikalini ni sisi wazanzibari. lakini kila siku tunaona maonevu, dhulma na mauwaji juu ya wazanzibari yanazidi kuendelea, unyonge na umasikini unazidi kila siku. itakua nyie ndugu zetu na huyo governer, nawatakia kila la kheri na inshalah mufanikiwe, kwani kufanikiwa kwenu ndio kufanikiwa kwetu
Salam. I never voted in my life. Sasa jee sheikh tutaulizwa juu ya hilo ??? Mm ckuona u muhimu wakuchagua kiongozi nilidhani Allah ndo alishapanga nani awe kiongozi sasa jee nimekosea???
asalam alaykum maalim,
sisi huku zanzibar tuna rais wetu, jeshu letu na polisi wetu na takriban kila sehemu ya serikalini ni sisi wazanzibari. lakini kila siku tunaona maonevu, dhulma na mauwaji juu ya wazanzibari yanazidi kuendelea, unyonge na umasikini unazidi kila siku.
itakua nyie ndugu zetu na huyo governer, nawatakia kila la kheri na inshalah mufanikiwe, kwani kufanikiwa kwenu ndio kufanikiwa kwetu
Salam. I never voted in my life. Sasa jee sheikh tutaulizwa juu ya hilo ??? Mm ckuona u muhimu wakuchagua kiongozi nilidhani Allah ndo alishapanga nani awe kiongozi sasa jee nimekosea???