Aaaah starling akif na movie imeishaaa yaan Kam amekuf kwel itaboa maan kauli ni moja tu nakufyyyyy...vaito nakukubal San umeplay paty vzur so mwaaaa👌♥️🥰🥰😍 uyo mwamb anawachor apoo tunasubir kuon Nan anfat kufyyy...🙅
Mbon afe vaito koz kaingia kipindi kifupi ila amenogesha series n km kaingia tok mwnzo kweli mgala muuwe ila mm nampa haki yake...saluuuuuti kaka vaito
Jamani 😢
Asife kweli jaman akifa mtaipoozesha hii movie director pls fanya jambo asife vaito ktk
Vaito nadhani hajafa ila anaigiza ili ajue mbaya wake ndio akiamka amfyeke😅😅😅
Kama wajua vile😂😂😂😂😂
@@MonahAbdullhili jamaa linawezekana
Mh kwa shuzi lile😂
😂😂😂😂😅ila hio kweli nayo
Kabisa
Vaito amekufa aaaaa sio kwel fanyeni yote episode inayo Kuja Vaito aamke 😂😂nampenda huyo mm nko hoi huku ❤from Kenya nawapenda sana
Wow nimekuwa wa kwanza moto unazidi kuwaka mashabiki wa vaito tujuwane❤🎉
Nirogumu vaito amekufa kweli
Mimi hapa
Vaito vaito amka
❤vaito msimtoe jamani mpaka mwisho
Shedafa upo kama cheusi media🤣🤣
Acha tyuu halaz dam na chumv ya kutosha ten ya mawe yaan cheuc yule ndo too much
Vaitoo alichelewa sana kwenye script ila anakubalika sana❤❤waswekelee mbali mbaka muhina 😂
Hakun kuacha takatak nyuma
@KhadiyjahMrope kweli ili tuendelee kufurahia
Ila shedafa una umbeya😂😂😂😂
Anaesoma like hii mungu amjaalie mke mwema na mume alie bora
Amen
Amen
Aaaah starling akif na movie imeishaaa yaan Kam amekuf kwel itaboa maan kauli ni moja tu nakufyyyyy...vaito nakukubal San umeplay paty vzur so mwaaaa👌♥️🥰🥰😍 uyo mwamb anawachor apoo tunasubir kuon Nan anfat kufyyy...🙅
Thanks 🙏🙏🙏
Vaito jeshi wangu amuka uwamfyete 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Vaito hapana usife bado una kazi ngumu ya kukinyoosha kijiji hadi kikae sawa😂😂😂
Kwanini afe yeye nasio muina jamani munatukosea jamani vaito wetu amke 😂😂😂😂 aikubali mpaka vaito wangu amke apo
Ika huyu Sadafa hatari kupitiliza lol 😆 😂 🤣 😄 umbea wako una ma bomu ya sumu
Hahahaha
Kipara akasome😂
Ila Tamika anarangi nzuri sana ya ngozi yake mashallah 🎉🎉🎉🎉
Saut je na vingn ninyamaze tyuu maan mashaallah
@KhadiyjahMrope kwakweli mashallah
Mkoba wa mama ni kali kama snake 🐍 boy.❤❤❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
VAITO asifeeee jaman. Kaka TANU please
Wa Burundi tumusaidie Mgagnga VAVA kuimba🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kayengayengeeeeeee🎉🎉
Nagira ngende kumuraba🎶🎶🎶🎶
Mbon afe vaito koz kaingia kipindi kifupi ila amenogesha series n km kaingia tok mwnzo kweli mgala muuwe ila mm nampa haki yake...saluuuuuti kaka vaito
👌🙏🙏🙏
Vaito asife jamaniiiiii😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Asilimia 95 ya comment ni kuhusu Vaitoo.... kweli huyo mwamba namkubali...msimtoe kwa script
Kabisa wasimtoe jaman
@@KhadiyjahMrope yep
Meflai sana kumuona lulu humu ndani unajua sana mdogo angu mungu akusaidie sana 🙏🙏🙏
Anakufaje vaito mapema cjapenda😢
Leo wakwanza mm like 10 jaman
Mimi nilitegea toka Jana hii na sijatoka you Tu hapa Leo nimekua wa Kwanza nipeni like na comments 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Vaito amekufaje wakati yeye ndiye mukombozi wa vijiji vyote iisiyo kweli
Haiti hatokufa,subirini aamkwe mfanywe,ffyyuuu
Mm leo ndo nimemaliza move hii kufa vaito
vaito amuka jaman we ndo unanogesha series yetu😂😂
Kabisaaa
Kabisa
Bwana we kumbe vaito amekufa😢😢😢
Hajakufa uyu mwamba anawaskuza kama niwSalitu aamke aanze na nyinyi awa fyriiii😂
Vaito huwa mjanja sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sasa Vaito anakufaje kabla ya kulipiza kisasi.. Hawezi kufa kizembe mwamba
Shabiki wa kwanza leo..kama wewe inekubamba mkoba wa mama basi tujuwane hapa wapendwa wenzangu❤❤❤
Ila shedafa nyie😅😅😅😅
Watajuta
Msambaa kanishida tabia huyu 😂
Vaito anakufaje sasa haitanoga jamani
Ya leo imechangamka ya leo iko 🔥🔥🔥washiriki wote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉chukueni
Ila Vaito 😭😭😭 usife jamani 😢
Vaido😢😢😢😢jamani mungu minutes vaito wetu mkombozi
Tanu umepoaaaa... Umepoaaaa.... ❤❤❤❤
Nimefulah Lulu Unajua 👏👏👏✌️
😂😂😂Shedafa. Ha umenizidi baba. Kwaumbe uko vizuri wanogesha muvie hongera sana
😂😂😂😂😂
6:06 😂😂😂 shedafa hukomi ww! Kulia kunyamaza na kuendelea na umbea,au sio😊
Vaito usife bhana 😢
Leo.vaito.nae.kapatikana.ndege.mjanja.kanasa.kwenye.tundu.bovu
Sitaki kusia vaito amekufa jamn
Shedafa umbea nomaaaaaaaa 🇧🇮
Anataka certificate ya umbea huyu 😂😂😂😂😂
Shedafa avalishwe dera😂😂😂😂😂😂😂😂amezidi
Vaito ajafa ataamuka tu🎉🎉🎉 vaito amuka
Naona mkoba wamama wumezidi kupamba moto nipo Zambia 🇿🇲
Kuti Kusaid
Mzee wa kufyeka kashafyekwa daaaah vitooo😂😂😂😂
Shedafa kauponza tena nyieee, 😂😂😂😂😂😂 alikuwa kashaanza kutubu kheee sijui kasahau vp
😂😂😂😂😂😂
Tumepata siri yake kumbe aliugua degege tumuache tu😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hila kaka Tanu vaito anaingiza vizuri sana naomba abaki kwenye movie
Vaito asife jaman nawaombaaa😅😅😅
Mgaga vava anawez ni murundi w kwet 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
uyo kigoma moja wew
Vaito ubichi wake umempoza 😭😭😭😭😭😭🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏
Jaman shadafaa mbona utawamaliza wote 😮😂😂😂😂😂
Hapana hao ni bahat mbaya tu😂😂😂
shed afande kiboko
Wanaume kuambiana nakupenda imekaa vibaya lakini😂😂😂😂
😂😂😂vaito hajafa..
Kayenga yenge kumuraba hahahahahah TANU kaanza style za warundi kam clam
Shadafa ww mmbea huto acha mm najua vaito anaigiza tu ajue kinacho endelea😂😂
Hahahahah😂😂 nitaacha
Jaman me ndo nachangisha rambirambi za vaito muanze kutuma tuko na msiba mzito
Shedafa unaua mmoja mmoja umbea utakuponza😅😅😅Ila shedafa akili zake anazijua mwenyewe 😂😂😂
😂😂😂😂😂so poa
Hapana ntandu
Vaito hajafa asee
Hata Kama amekufa fanya makaratee aamke vaito akifa picha na iishe kbx.... cuz tunahitaji kuendelea kumwona atakufa kufajeee wakati hajamaliza kaziii
Noooo Vaitooo
Amka
Hii movie naipenda sana juu iko na team yote yangu hapa ndani❤❤❤❤
Shadaafa kazi mzuri saaaana
Nimechelewa ila nimeipata, ngoma inazidi kuwa moto
Mwakyoma penzi penzini penzi liko hot🎉🎉🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉
Namuombea vaito aside ikiwezekana afufuke!
Ila shedafa 😂😂😂😂😂😂😂nakupenda bureee Yani ushasahau kma unataka kujuwa watu
Nakupenda pia
@@Shedafa96 wewe mtu na nusu shemeji yangu yani huwezi kukaaa na jambo😂😂😂😂😂😂
@@Shedafa96 unanifurahisha sana shemji yangu
Jamani msichelewshe hiyo mtaniuaa,naingojea❤
Vaito vaito vaito 😢😢😢😢 bado kazi hujaimaliza usife wewe ndo jembe la wachawi
Shedafa huku 🇰🇪 kenya hatukutaki 😂😂😂😂 kwanza Acha ubea kaka 😂😂 huku hakukaliki😅😅
Ndugu zangu nipokeeni
@@Shedafa96 haha tulia kwenyu 😅😅 tunakupeda sana kaki
Shadafa mbea ..nakupendaa😅😅
Nakupenda zaid
Shedafa mpuuzi ww😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu awajalie sana washilika
Jamani kuna penzi jipya huku kwenye mkoba wa mama Mwana na Mwakyoma❤️❤️mambo🔥🔥😂😂😂🎉🎉
Ila kasongo mbona WEWOO 🔥
Siamini km vaito kafa ki shujaa😢
MUNGU akuepushe na wates na kuzidi kutupa kazii nzuri zaidi🎉🎉usisahau Toba ndo nguzo yako ❤
Tanu wa moto sana
Hapana ntandu jamani vaitho hajafa bhana 😢😢😢😢😢😢😢😢
Mvaito😢 amka
Vaito asife jaman
Vaito usife bwana tunataka wale watu wabaya ukawarambe amka
Kaka ntandu seriously vaito kafaa😌😌😭😭😭
Haiti hawezi kufa nikiwa hai😂😂❤bby vaito sema hi wakuone😂😂😢🎉❤❤❤
Hii
@@vaitomasta😂😂😂
Shedafa unanivunja mbavu zangu walah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naipendassna hii movie
Vaitooo aamke
Chibya umetishaa sana muhun wa kwel
Jamani vaito amekufa haaaaaaa sas cinéma hayirudi kunoga vaito wng
Pole baby wangu vaito utakuwa sawa hyuu
Ila Shedafa🤣🤣🤣🤣 eti mimi nawambia taarifa za ukweli halafu wao wanaanguka😂😂😂
Wow filamu iko bomba mno
Shedafa Shedafa Shedafa nimekuita mara 3😂😂😂😂😂😂😂😂umezidi mdogo utakuja kuua kweli😂😂😂😂❤🎉
😂😂😂😂😂
😄😄😄
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩kasongo wewo
Kayengeyenge love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mganga vava
Hiki kijamaa sijui shedafi kinajua sana 😂😂😂
Kama vaito kafa du na
Shedafa miyetusho sana
Hahahaha