ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wangapi tumevuka mwaka tukiwa na mimba mikono juu niwanunulie pampers jamani😂😂😂❤
Sema vaito kafa kizembe sana😂😂😂
Vaito 🔥🔥 wanao mkubali kijan vaito WA kuswekelea mbali mpo
Jaman na mimi naombenLike zenu 😇😇 kama una mkubal vaitoHalima tanu😍
Waaah apa Vito amekua cartoon wakuchorwa muhina ana ndevu zilizokosa mwelekeo halima ana mdomo wa mbuzi😢😂😂😂😂😂😂
Afazali ivo nindoto jamani Vaito asife anacangamusha sana kwenyeimove❤❤❤ Vaito kaka Tano kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉
Mwanzo kabisa wa tamthilia hii sikuwa nampenda kaka Ntandu lakini kadri inavyosonga mbele ndo anavyo zidi kunikosha. Big brother. From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Waito wsngu nilisema haezi kufaaa🎉🎉❤❤❤❤
Vaito apoe haraka awapunguze hao wabaya mana huruma ya wengine inawaponza hamtafanikiwa mana wabaya mnawaleya
Vaito.jamani.asife.mwamba.wetu😅😅
Tunafurahia sana Kuona Tamthilia ya Mkoba Wa Mama Ikiendelea vyema Gonga Like Kama Unaikubali Hii Tamthilia.
Kawimbo haka kanakoimba ameimba Nani
Nilikua mbali madukani ju ya bundle na nimekimbia sana Hadi madukani juu ya hii series naipenda sana hiii ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤Naaarabuk🎉❤🎉❤
Uaminifu kama ufutio wa penseli unapungua kadri ya vile unavyozidi kufanya makosa❤❤ mov tuma sana
😂😂🎉🎉🎉Asante sana narabukuuuuu
Nimecheka Sana😂😂😂 Mganga Vava ndiye ambaye kawa kimbia mama na mwanae kijijini balaa...
Tanu jamani apewe mauwa yakeeeee❤❤❤❤❤🎉🎉
Na wamefanana kwel vava na mwanae 😂😂hizo pua kwanza na hiyo midomo ❤
Mama tanu eti mhina ana mdomo wa mbuzi😂😂😂😂😂😂
Kilenilichofikiria kumbe imekua kweli mganga vava kiapo kimemkuta nimecheka sana nakupenda msela chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nalo
Mapombe na mhina chombo kimoja,wasaliti wote
❤❤🎉🎉nakupenda kaka#mganga Ntandu❤❤❤🎉🎉🎉
daaah kule kijijini nd kuna utamu mrudi wote kule tokeni mjini😂😂
This is one of the best bongo movie I always enjoy each and everytime. #kaboii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
vava nooma sana sema ameatimba kwa wahuni sjui itakuwaje
Halima ananikwaza sana
Safi sana Tanu Gang kwa kutuletea hii bila kukawia🔥🔥
Leo dk uhakika Asante kaka tanu
Nafurahia sana hii movie.inasisimua
Vava kimemrambaaa haya sasa jizibe mnya mwenyewe😂😂
😂,😂😂😂😂❤❤❤ nakupenda sana mwalimu n zakayo kwa kuzaidia vaito
🙏🙏💪💪🥰🥰🥰🫶🫶
Twakupenda pia🎉🎉❤❤
Mama tofa mungu anakuona yani alima.mdomo kama mbuz kwer😂😂
Vava hatar sana Tena sana
Nilichokua nawaza ndio kimetokea mganga alikua mtt😂😂😂
Mgaga kajikaaga mwenyewe😂😂😂😂
Muhuni wangu kalia 😢😢
Kazi nzuri sana kaka Tanu Mungu akubariki sana
Ati ndevu za Muina zimekosa ushirikiano, afuHalima mdomo kama mbuzi yani hili mama
Zakayo anajua kuigiza sana jaman
🙏🫶💪🥰🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana
Balidi mganga tawile 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mdomo ka mbuzi dah😅😅😅😅
Numefurai sana kuona ivi jamani mana akifa vaito nani atatusaidia tena
Halima hana sirii jamaniii
Machibiya akilia anakua mzuri
Ety Ndevu hasina ushirika 😂😂😂😂😂 weuh huyu mama
Kasongo yeeeee
Halima umezidi umbea jaman
Vaito ndo suluhisho
😂😂😂😂vava kumbe ndo wewe baba nimecheka kwasauti
Educating story ever
Uchelewi yahani njo ninacho kupendeya🎉
Hii movie akifa vaito haitakua tena nzuri
@@shilingi-Ahmadi kwakweli akifa vaito utam umeisha
Wow nimekuwa wa kwanza kwenye movie yetu pendwa nakubali sana Tanu hucheleweshi❤🎉
Kumbe ndoto😂😂❤❤
Wakwanza Leo from 🇲🇿
Wakwanza kutoka burundi😊
Jamani ep 29 ndugu zangu
Mganga vava kayatimba yaan
Jamaan mm ndo wa kwanza sio nyie😂
Sidomana il love you 🥰 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥
Shedafa weee shedafaaa😂😂😂😂😂 kila umbea aliokwambia nani shedafa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉shedafa weeee shedafaaaa🎉🎉🎉🎉🎉😢
Nimecheka mno jifunge haja sasa mganga
Uhuni wote umewaisha
Mapombe chizi nini si alikataa kwenda kumsaidia vaito kuhusu anaumwa kufa yeye inamuhusu nini
Zakayo mshenzi sana fridge haigandishi
Nice movie 🎥❤
Sana mdogo etu tanu
😅😂😅😂😅😂😅😂😅 mganga kayakanyaga mwenyewe 😂 bila usaidizi wa mtu 😂
Mdomo km wa mbuzi hapa mmekosea
Huyu arozaa na Topha hanaga nguo nyingne 😅
Halima huna kabaa😏😏😏
Funga funga tuondoke leo mchawi hana huruma leoo
Na mmefanana kwl yan 😅😅
Shemeji yangu tanu mi wa kwanza leo bila kupinga🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila mama tofa jaman 😂😂😂 et mdomo kama mbuz nmecheka mpaka basi
Jamani muhina wangu😂😂
Huyu mama Tanu ananiudhi sana
Kumbe mume hajafaaaa😂😂😂😂😂
Mdomo kama wa mbuzi nyie🥱🥱🥱mama Tofa wewe unajiona kweli
Toba😮😮
Mhina heri afe,ila akipona hatima ya Halima ndio mwisho wake😢😢😢
Mganga ndio baba wa muuni namba 32😂😂😂😂
Tena amejichomea,hatoenda haja 😂😂😂😂
Vava😂😂😂😂mwezi mzima hamna kwenda haja,wewe ndo babake mhuni 32
Wakwanza kutoka burundi😊😅
Ndevu zimekosa ushilikiano na mdomo kama mbuzi❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Jamani tunakukubali tanu
Mganga kajikaanga😂😂😂 26:01
Harima.jiandae.muhina.hakipona.zam.yako.kufaa
Hakika tanu na watu wake wapewe maua yao hawacheleweshi vitu moto moto😂🎉🎉🎉
Nimecheka😂😢mganga
Namba mojaaaa
Ndevu zime kosa ushilikiano 😂mdomo kama wa mbuzi duuu
Wa kwanza leo
Mkoba wa mama🎉🎉🎉🎉
Nyie😂😂 sibomana hebu tutake radhi kwa kumuita jeshi letu vaito katuni wa kuchorwa😂na vava umeyakanyaga
😂😂😂Niko busy kutafuta mdomo kama WA mbuzi😂😂😂
Fanyeni murudi kijijini waja
Tatizo alima ajui kama wengine dima adui zao
Numéro 1
BONGE LA KAZI🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza Léo
Nimekuwa wa 100 duh
Wangapi tumevuka mwaka tukiwa na mimba mikono juu niwanunulie pampers jamani😂😂😂❤
Sema vaito kafa kizembe sana😂😂😂
Vaito 🔥🔥 wanao mkubali kijan vaito WA kuswekelea mbali mpo
Jaman na mimi naomben
Like zenu 😇😇 kama una mkubal vaito
Halima tanu
😍