NILIKOSEA WAPI? (SHORT FILM)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @enosbruno729
    @enosbruno729 ปีที่แล้ว +4

    I need to see this lady please she is an African Beauty Queen

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 ปีที่แล้ว +4

    Najikuta nadondosha chozi!! Hajra you so smart!

  • @hiddenbway_
    @hiddenbway_ 2 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @georgemzuli3422
    @georgemzuli3422 ปีที่แล้ว +3

    Uko vzr hajra ndaro aniachie mm na huyo abdul ajitulize kwanza

  • @eshakithomaly1013
    @eshakithomaly1013 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah kipenz iko gud🔥🔥🔥

  • @salmamwishwa9287
    @salmamwishwa9287 2 ปีที่แล้ว +4

    Aiseee so sad
    And hongereni wotee mmefanya vizuriii

  • @bitangaabwe3441
    @bitangaabwe3441 ปีที่แล้ว +3

    Siwezi kosa kuku support hajra

  • @musqbafana3573
    @musqbafana3573 ปีที่แล้ว +3

    Hajra Ma sha Allah

  • @nasraramadhan1981
    @nasraramadhan1981 2 ปีที่แล้ว +4

    umeweza bidada

  • @KhalidAshjaie-cz7vg
    @KhalidAshjaie-cz7vg ปีที่แล้ว +2

    hajra❤❤❤❤❤

  • @zuhuracassim2830
    @zuhuracassim2830 2 ปีที่แล้ว +4

    Dahh so sady by Mr Alvin

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna ulipo kosea mamy Hajrah Kidoti, but Siku zote tambua hakuna Urafiki wa Wanawake , maana urafiki wa Wanawake ni Unafiki tu,kama unataka kufanza urafiki Na Mwana mke basi mfanze Mama yako Mzazi awe Rafiki yako ni hayo tu, kwasabu Mama yako Mzazi kamwe hawezi kukusaliti au kukufanza utoe machozi kwenye maisha yako yoote,Much Love ♥️ Ni likosea Wapi💋💐🌷.

  • @vickyizacky4709
    @vickyizacky4709 2 ปีที่แล้ว +4

    Mmeua🔥🔥🔥🔥🔥

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 ปีที่แล้ว +2

    Hajra sikuwahi kuujua uwezo wako, wooooooow 🔥

  • @rajabkayella9488
    @rajabkayella9488 2 ปีที่แล้ว +2

    daaah hadi nimekuonea huruma wallah daaah big up Hajra keep working hard my dear

  • @mwajabumbuguni1986
    @mwajabumbuguni1986 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥

  • @eshakithomaly1013
    @eshakithomaly1013 2 ปีที่แล้ว +3

    Aweee lilivyomshuka sasa 🙌😅

  • @anuarychuma5252
    @anuarychuma5252 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ndaro anakupenda wew na bwana ako mkubalie ila umeupiga mwingi🔥🔥🔥

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  2 ปีที่แล้ว +1

      Anipumzishe kwanza😂😂

  • @altaphonebypassofficial
    @altaphonebypassofficial 2 ปีที่แล้ว +4

    Hajra kama hajra na ndaro, yuko wapi, hongera bi dada 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wazeermousa4386
    @wazeermousa4386 2 ปีที่แล้ว +1

    Very nice!! Kaz nzurr #Hajra

  • @4hestatecompany20
    @4hestatecompany20 2 ปีที่แล้ว +3

    Umeugusa moyo kwakwel kaz nzr sn

  • @Goodmorning-k1g
    @Goodmorning-k1g 2 ปีที่แล้ว +2

    Go go dear

  • @Shamte_tz
    @Shamte_tz 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi mzuri sana🔥🔥🔥

  • @nuruali7859
    @nuruali7859 2 ปีที่แล้ว +2

    Marafiki daaaaah! Ndo maana sipendy urafiki wa kike mabestie zngu wote n ndume muko poa sana nawapenda bureee!

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  2 ปีที่แล้ว +2

      Yanii ndio maana tunashauriwa kua wasiri 😢

  • @malimadtv
    @malimadtv 2 ปีที่แล้ว +2

    Naamini kwa unachokifanya omba mungu kila jambo ukimtegemea mungu linawezekana

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  2 ปีที่แล้ว

      Amiin. Nashukuru sana 🙏

  • @HanafiMohammed-p3i
    @HanafiMohammed-p3i 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubari mavazi yako Dada hajir

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  3 หลายเดือนก่อน

      🥰

  • @msafirisaidbakar6488
    @msafirisaidbakar6488 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubal dada hajra

  • @Nadyahassan5273
    @Nadyahassan5273 8 หลายเดือนก่อน

    Penda sana dada hajra ❤❤

  • @abdelkarimhassan77
    @abdelkarimhassan77 ปีที่แล้ว +2

    Sijui Kama umenifanya nini mimi 🥺🥺🥺

  • @KhadijaMohamedyabadlahabdala
    @KhadijaMohamedyabadlahabdala 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤❤❤

  • @ElieNyaluganda
    @ElieNyaluganda 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi ajra umesha muacha boss wako styven... Kwasababu nakuona sana kwenye dubu TZ naomba unijibu

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  4 หลายเดือนก่อน

      Hapana 🤝

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 18 วันที่ผ่านมา

    Ndo maana cjui kupenda mm huigiza tu coz ctaki shobo za kuumizwa roho na mtoto wa mtu maybe pesaaaa

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 ปีที่แล้ว +3

    Hajra mi nishabiki yako kindakindaki wtsp no. Yak pls

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @husnalipemba3754
    @husnalipemba3754 2 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥🔥🔥🔥