yan ndo hata mm nashangaa yan anajua anataka kufanyiw kitu kibaya lakin hakuwa na umakin kabsa yan alikuwa mzubavu sana sijui alikuwa hayuko saw huyu, ivi unakaaa kunywa soda wakat unajua unataka kuliwa? ushamba wake ulikuw unampoonza hata ile ya kuachia wadada wa mwanz duka et wauze kisa tu et kaandka barua nilion huyu hakuwa siliasi na maisha kabsa
Pole Sasa hiki kipande kimeniumiza sana ,,Hawa ndungu hawafai walikutendea vibaya sana ,,
Mama yenu nimesha wasili karibu wanangu.... ❤️❤️❤️❤️💐
Msiwe mnahusisha ndugu kwenye mambo ya maendeleo wana wivu ni wabaya sana
yan ukienda kwenu usifikir kila mtu anafurahi ulivo wengi huwa na chuki tena mbaya sana
People are so cruel sometimes we need to keep our mouth closed
Stor nzur sanaaaaa inatufundishaaa meng xanaaaaa
Duh ameteseka jaman, na ni dada yake tu ndiyo anamfanyia hivyo?!🥲😭😭 kweli binadamu hatuna utu sikuizi
ck zote ndugu yako ndo anakuuwa asee
kila ck tunaambiwa anaekumaliza ni mtu wa karbu yako au ndugu yako, ila binadamu tunaroho mbaya sana sana aseee
Nipeni hongera
Twende Kazi Mr........
Pole Sana Layton Mtafya kwa mitihani uliyopitia, Allah akufanyie wepesi ndugu yangu
Pole sana kaka binadam ni watu hatari sana
Umetisha mkuu niliisi huiweki tena
Hutakiwi kufanya maendeleo na ndugu zako wakajua
Duh watu wanapito kweli....pole sana bingwa
Kusema ukwer Mungu anakupenda mno,
Leo wa saba nimewahi sana
Kwer ndugu ndo mtu wakwanza kukwamisha maisha
Pole Sana ndugu yangu laito inaumiza sana
Mh,,,,,,haya bhn tuendelee kuskliza Siku ziende😁😁😁
Kumbe akina mama walikua wawili hapo kazi kweli kweli
Pole kwa sana
ungetembea kwa miguu yako uwache waende na gari lao
Wa 8 leo
Ubinaadam kazi sana inasikitisha sana ndugu wanakuangusha kabisa hv hv
Wakwanza
duuu...!!!
Yan ingekuwa mm nixnge acha hata mtu mmoja aishi inauma san yan
Mishe atari sana
good Mr
No 29
.hapo nikwelikabisa wachawi husukuma visaga badae vikifanyika kwaboma yamtu wanabakiwakichekelea nakusukuma sana kumbe wako kinyume nahayo mambo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Loooh Mtafya kayapitia kweli
Yaan kutoka chimala mpaka njiapanda mlangali kwerii ndugu sio watu
Kuna ndg wana roho ngumu dah!!
Pamoja 🤝
Hata mie imeniumaa mnoo, ila siku zote uongo unakubalika haraka ila ukweli unachukua muda kueleweka. Sijui kwa nini?
Atii mgonjwa, unaskia😂😂😂😂😂 du yaan nimecheka kama mazur
Together 💪 Mr everything
Ninavyo jijua nngemfanya mtu kitu kbaya sana
Pesa ya freemason
Mtafya nimekuita × 3
Here we gooooo!!!
12
Story taamu
Duuh
🤔
Huo ni uzembe! Unashindwaje kukimbilia polisi kwa msaada zaidi? We unaenda kunywa soda!
yan ndo hata mm nashangaa yan anajua anataka kufanyiw kitu kibaya lakin hakuwa na umakin kabsa yan alikuwa mzubavu sana sijui alikuwa hayuko saw huyu, ivi unakaaa kunywa soda wakat unajua unataka kuliwa? ushamba wake ulikuw unampoonza hata ile ya kuachia wadada wa mwanz duka et wauze kisa tu et kaandka barua nilion huyu hakuwa siliasi na maisha kabsa
Labda hukukuwa na police karbu
Nimecheka sana..eti you tube ni kitu gani🤣🤣
Hii kali
Jamani hili liwe funzo ukiwa na mke jifunze kuandamana nae kokote uendako jamani wewe mwenyewe ni mwembamba Sasa walikuketia wapi
Kwenye hatari hampaswi kwenda wote
MTAFYA TAJIRI ALIEUA WATOTO WAKE 2
Hata kama hauna nia ya kutoa watu kafara nawatoa wote walionikamata🤣🤣🤣
😂😂😂
@@gracewelschemeyer665 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂
Hao wanakijiji wanachekesha, eti "sisi sio wajinga". Yaani wanaijua TH-cam zaidi.
🤣😂
Kabisa🤣🤣🤣🤣
@@shantellemwanakombo3703 hii episode inaumiza.
Pole sana