DOSA AITIBUA STESHENI MBELE YA MASATU KISA SANDA YA SIMBA SC | TAMASHA NI MOJA TU MWANANCHI DAY.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Afu huyo dosa ni choko kewl,sijamuelewa kaambiwa sanda ndo vaz Bora litakalovaliwa na yeyote hata awe nan

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    LILE JENGO LA UTOPOLO PALE JANGWANI PESA ZA WAPEMBA ZA KARAFUU 😂😂😂😂😂😂 RUDISHENI FUNGUWO HIZO NYUMBA SIO YENU 😂😂😂😂😂 MZEE MAGOMA OYEEEEE

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    TUKAULIZE UINGEREZA KAMA YANGA NDIO MLIOENDA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 😂😂😂😂😂 KWELI NYIE MACHOGO 😂😂😂

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mpira ni kumsikiliza dosa naacha kufuatilia na hii tv sijui niiache kuingalia maana dosa ni mbishi siyo mtu wa mpira kabsa

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dosa anaupungu wa afya ya akili

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 3 หลายเดือนก่อน +1

    VINUKA MKOJO 😂😂😂😂😂😂

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga na mpira wapi bhana kazi kubisha tu vijiweni na kweny makahawa kupiga kelele Simba Hadi 29 ni sold out

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usitake kujitetea ujinga ,ww maneno yako yatakughalimu

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa mbishi huyu kanajifanya kanajua mpira lakin hajui chochote

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    WAKIMBIZI WENGI WAMESHAJUWA UKIENDA TZ SEMA WEWE NI UTOPOLO HALAFU JIFANYE UNAMKUMBUKA SANA MAGUFULI 😂😂😂😂 BASI UTAONEKAKANA WEWE NI RAIA WAKIMBIZI NYIE. 😂😂😂😂😂

  • @kamuogo
    @kamuogo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama wanaogopa kwa aziziki okay sawa niambie anaviatu vingapi cafu crabu bingwa

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    AZIZI KI NA BALEKE MNGEWAJUWA KAMA SIO SIMBA???? SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jafeth chagua watu wa kuwaita watu wanaojua kuongelea football km Masatu sio choko dosa

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    TULIYA AKSON NI SIMBA KINDAKI NDAKI MLIWAHI KUMUALIKA MKATAKA KUMPA KIGWANDA CHENU AKAWAGOMEA PALE PALE KAMA HUJUWI ULIZA

  • @JumaSalimin
    @JumaSalimin 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dosa akapimwe akili. Nimental wakutosha.

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno kumala kumlomo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FredricktheonestShayo
    @FredricktheonestShayo 3 หลายเดือนก่อน

    Ukimaliza sema taja yanga yangapi africa

  • @mpurusaleh1994
    @mpurusaleh1994 3 หลายเดือนก่อน +1

    DOSA NI M GONJWA WA HAKILI APELEKWE MILEMBE.

  • @fadhilalex7340
    @fadhilalex7340 3 หลายเดือนก่อน

    Dah huyo Mzee Masatu anajua kusoma na kuandika kweli!?

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 3 หลายเดือนก่อน

    Dosa katumia akili sana, wasikilizaji wamekurupuka na kujaa povu bila kujua ana maanisha kuwa Timu ya Yanga ilianzishwa kwanza ndio timu ya Simba ikaanzishwa. Kaifananisha na Adam na hawa.

  • @sangaelly8548
    @sangaelly8548 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa, maana yake mtu mke aliye toka kwa mwanaume

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน

    TUONYESHE KADI ZAO KARUME NA NYERERE ZA UANA CHAMA WA YANGA KAMA MNAZO 😂😂😂😂😂 MATOPOLOOOOOO

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    DOSA MSHAMBA WA MUHEZA HUYO 😂😂😂😂😂

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 3 หลายเดือนก่อน

    Muamko kwa mashabiki wa yanga ni mdogo kwa sababu ya hamsha hamsha haipo ally kamwe angebaki kufanya hamasa kama alivyofanya ahmed ally hiyo ndo tofauti ya haji manara na ally kamwe

  • @HamisiUliza
    @HamisiUliza 3 หลายเดือนก่อน

    Dosa kz unayo unawez baba

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 3 หลายเดือนก่อน

    Makolo wengi naona wakiteseka na hoja za dosa

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dosa anaupungu wa afya ya akili

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Afu huyo dosa ni choko kewl,sijamuelewa kaambiwa sanda ndo vaz Bora litakalovaliwa na yeyote hata awe nan