Kisiis Burning Witches CitizenTv Story teller Witch who later Turned Pastor Thomas Nyakundi Responds
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
- Kisiis Burning Witches CitizenTv Story teller Witch who later Turned Pastor Thomas Nyakundi Responds
#KisiiWoodEmpire
Vid: Thomas Nyakundi Facebook
#KisiiWitchcraft @KISIIWOODEMPIRE #CitizenTv Live
Call a sin by its right name nyakundi I support you abarogi genda ritaya
Mara miaka mitano, mara miaka kumi!, which is which?
He should clarify the same
Pastor endelea na kazi nzuriii,ABAROGI mshidwe kabsaa
Manabii wa uongo hata hana adhabu masomo kidogo 💔💔💔💔💔🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇 mashetani uoooooongooooooooooo
AMEN I SUPPORT YOU
Bwana asifiwe
Ukweli pastor mwaka 2000 ni nyumba gani ilichomwa hapa kwetu bonchari riana Kwa sababu ya uchawi, na mamako tulimpata asubuhi amekufa Kwa maieraha ya upanga mbona unasema mamako alichomwa umelaaniwa nyakundi
@@erickamrose322 ukweli usemwe hajawai suhudia mchawi akichomwa area yetu
Mimi Sikujui ,lakini kulingana na vile watu wa kwenu wanasema it seems kuna uongo kidogo uko nayo
His area chief of that time also echoed this words 😤
When Jesus sets you free you are free indeed, keep it up man of God, he who begun the good work in you shall accomplish it.
Wanaokupinga ni wachawi.hawatakuweza in Jesus Christ name
Usijali pastor,wachawi ndio wengi na wanakupinga..
Sure
Getembe TV imefanya utafiti wa kutosha kuhusu Mambo yako na uchawi. Niliona Chief wa Riana akiongea kuwa mamako hakuchomwa bali alipatikana akikufa njiani kwa majeraha ya panga.
Husitake kutumia uchawi ndio uwe famous na utajirike. Jinga sana
You're mad pastor Nyakundi.
You're not a witch and your mom hakuwa mchawi.
Mungu akusamehe uokoke uhubiri ukweli
Endelea kufanya kazi ya mungu
Nimesikilisha testimony zako na ninaamini ulikuwa mchawi ukaokoka problem is your contradiction words (mara mamako alichomwa na watu wenu wakasema alikatwa kwa upanga) that's the only problem ndio maana wengine hawakuelewi
Uko sawa kwana obomaene uchawi uko toboa siri
Wacha matuzi plis wachawi ndio hawataki kusikia ushuhuda
Nice one
Thanks for watching
Maybe God bless you
Wachawi washindwe kwa jina la yesu
Omorogi bosa, shindwe😢
I'm torn in between truth and looking for clout.
Very ashamed kutumia mamako ety alichomwa juu ya uchawi while watu wa kijiji hata chief alikataa mamako alikuwa mlevi na aliuawa kwa panga ujinga uko nauo
Obojinga obwo obwate otige
Utapingaje ushuhuda wa mtu,yeye anajijua na anajua mamake..Ndio maana munaangamizwa juu hamjui hata wachawi ni akina nani
This man needs to be admitted ndo tuone akili yake kaa iko sawa juu he is giving different information in different TV stations
Yaaa lakini aye nomoriri. Kwenu ilichange siku gani from Nyamare to Itierio.ni siku gani Baba yako alikufa and in real sense he is alive. Anyway false prophets and preachers exist
Someni bibilia kwa munarusha matusi
Yaa nyakundi tiga obomabi
A madman in clothes
Shida Yako ni kutapatapa, ushuhuda wako hauna msimamo mara mamangu hakuchomwa aliwawa mara alichomwa which is which danganya wenye akili tahiri
😳
Amabi
Nyakundi unaeza ombea mwenye alirogwa apone
Pastor this is whether your particular story is true or not. It's not about whether there's witchcraft in Kisii or not. We know kuna wachawi wengi. You've lied against your mother repent.
Huyu ni mkora. Wewe ulikuwa possessed na kukimbia uchi usiku. You didn't have any magic as you are claiming, you could be a rich man.
🤣😂🤣🤣enseye nensensi pii 😂😂🤣
Uchawi hupo sio kwa wakisii pekee. If you say there is no witchcraft read deuteronomy. Kama wewe sio mchawi inakuwasha kwanini?
What is important is that no one is supposed to take the law on his hands. Thats a spiritual war in Christ jesus. #jostogsm
Kwenda hko.uongo mtupu