Mkataba Mc - Twende Beach(Lets go to the beach) ( Official Singeli Audio )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2022
- Produced by Azo wa kitaa
Twende Beach meaning lets go to the beach as the artist states that we should go to the beach
connect with Mkataba Mc on social media
/ mkataba_mc
/ mkataba_mc - เพลง
thanks for support
Mkataba katisha Ila kama unamkubalie aliegonga beat asilimia 98 nipe like huyu Alie gonga beat katisha pia
😊q😊q😊q😊1😊😊q
Mkataba MC fundi wa muziki wa michano Tz nzimaaa 🙆🙆🙆🙆🙆
Mkataba Yuko vizuri xaaan anajua
Wanangu wa bichi like apa ✊✊✊
Oya dam yangu mkataba utalogwa
Aisee hii ngoma nmeitafuta sana leoo kudadek
Safari ya beach bonge moja la ngoma ambalo limefanya singeli tuipende
Waannanguu twendenii beach tukaenjooyiii leoo
😂😂😂😂😂 Oya Umetisha sana hii ngoma 🔥
Ngoma ya taifa umetisha Sana kitaa wote oyoooooo haya twende Beach
Aibu kwa ambao bado hawajasikiliza hili goma.
Mkataba njia hio mungu kakupatia sasa usilewe madaraka but tumia boya kukuokoa na sio kulichezia linaweza ishiwa upepo muda wowote ukiwa ndani ya maji 🙏🙏 mungu akutangulie katika njia yako ya mafanikio
@@Mkn_tv tunataka kuona sura yako, nakumbuka kandoro amesema wimbo mkubwa ila msanii hajulikani!!!
Noma mkal mm harmo master tz
Uganda approves this hit
Chalii anajua Sana Ile mbaya
Kiwili wili ndani ya gari kiuno ka waachia masela😂😂😂😂🙌🙌
Let's wait pasaka na Eid inshallah mambo ya beach yaanze Ngoma lazima tutambe nayooo
Goma Kali sema mungu aku bless
Hii ngoma mkataba umetishaa sana yaaani salute sana hii ngoma Zanzibar ita hit sana mana huku mitoko ya beach ndo sana halfu kwenye gari ndo inakua vuguru kinomaa 🙌🙌🙌
Umeona ee
Mnaendaga bichi yapi au kiwengwa au nungwi
@@user-hn3xt2us6u Bwejuu, paje, michamvi ,kendwa , Yaani kote
Bado pow hapo yenyewe
Oya mkataba umetisha sana hii ngoma😂😂😂😂
Mambo
Dabud kmalfia
😊😢❤
mkataba ndio king of singer 🤴🤴
Kushotoo Kuna habiba kulia zaii kama woteee
Usikewe sifa mwanangu ukajiona star kaza mzee piga kitu juu ya kitu mpaka masinichi waseme hichi Nn ila ngoma kali sana wanangu tunaenjoy😂😂😂😂
Nakubali mkataba Man
Ikowaz
Nimekuja japo nimechelewa leo ndio nipata muda wa kusikiliza huu wimbo hongera nikweli kabisa na ya nayo tokea
Hii ngoma ni kali kinoma yaniih 🔥🔥🔥
Ngoja nichukue Kali nikifikia nitoe kitu ( Kuna Suma jkt )
Mziki mzuri kipaji 🙌🙌
kaka hii ngoma hii utanikumbuka itavo hit
ubunifu mkubwa sanaa🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Gvhvcjcb
Unyama sanaa aseee✌✌
Jamani eeeeh we unajuaaaa
Twendeni beach babaaaaaaaaaaaa
Hussein Poches 🤝🤙
oyaaa sio poa ngoma Kali sana
Mhh hiii ngoma tamuuu🔥🔥🔥
Hii ngoma nikali sana salut kwak br!!!!
Daaaaah ngoma Kali hyo
kitu na box hii apa ni bonge la song tuliza kichwa usilewe sifa tupe kaz utapata like za kutoshaa kitaa uku wahuni wamepitisha jitu bad mkataba...😍😘
Nyimbo tamu sana naikubali hatar
Hahhhhhh Kwenye safari ya bichi kikinuka tunakuwa masoja 😆😆😆😆💥💥💥💥💥
🔥🔥🔥🔥
kiruuuuu ni kamzozo
Nipo tayari
Unyama Mwingi Yaaan🥰🥰
Nimesikiliza Mara kumi
Unajua kuandaa magoma hit
Mwandiko mzee👏👏👏
Brother unajua kuimba sana
moto sana, waiting for challenge!!!
Saluti mzee baba
mood song not bad
Kiuno kawaachia masera
.ngoma kaliiiiiiiiii
🔥🔥🔥🔥 I was hear on daladala for the first time
andika kiswahili tu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 kingeee
hahahaha icho kingereza cha form 1
😂😂😂😂
You heard
kaziiii
Nyimbo kali xana
This song made my kili marathon easier
❤❤ umeuwa
Goma la kwenda
Hii Ngoma aiwezi pita sik sijaipray
Jaman mbn me siipati boomplay 😔😔
Kweli boomplay haipo
💥💥💥💥💥
💣🔥🔥🔥
Hatareeeeeee🤣🤣🤣🤣
Ckupingi kbisa yaaanii
2023 umeianza vizury
Umetisha mwana
Kubwa mdogo wangu
Kitamu ikooo 😂😂😂
Oya Mkamatie kwa Nyuma 😂🤣
😁😁😁😁
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma
Atar were🇬🇧🇹🇿
Mkataba umetisha ila Nina Jambo langu kwako
Sipend singeli ila hii 😂😂😂😂umenikosha
Nice mwamba
ngom kall
Tam
🎧🎧🎤💃💃
#hili goma mauwaji
,jmn nasikiliza kilasaa
Tupo
Poa achia video yake tuone vyula siee😳😳😳😳😋😋😋😋
Hapo kwenye aftatu sas 😅😅😅
Kaka umepita mulemule
Fanyeni harakati mshoot video .hii no hit song wazee amken
Hapao kwenye Habiba 🎉🎉🎉❤❤
Bichi
Daaah ambao bado awajasikia safari ya beach pole yao maana kila kitu alichosema ni cha Kweli kwenye safari
#yani ameuwa zaidi
😂😂😂🙌
nakubl
Tuletee video na isitoke nje ya mada
Kila nikiiiwaza video yake 😂😂😂😂😂 nawaona basata hawaa haapaaa, hawapendi ubunifu kabisa
Hii ngoma nimeisikia uwanja wa taifa nje kwenye bar nimekuja kuitafuta huku. Bonge la dude mwanangu
Djs
Mn
Mwenye number yake mkataba anipatie tufanye kazi IDD