Mwenyezi Mungu Mponye Rafiki Angu Aliepata Ajali Mbaya😑😰😰Naomba Ndoto Zake Zisife Muinue Tena Mwenyezi Mungu Nakuomba Baba🤲🏾🤲🏾 (This for You Sauly I love You Brother)
What a coincidence I was breaking down some few minutes and praying deeply because of life difficulty and the same words..shusho used them on a song...may God bless you 🇰🇪 we love you
Hard times are often blessings in disguise. Let go and let life strengthen you. No matter how much it hurts, Hold your head up and keep going. This is an important lesson to remember when you're having a rough day, a bad month or a crappy year. Truth be told, Sometimes the hardest lessons to learn are the ones your spirit needs most. Your past mistakes if you learned from it. So take all the crazy experiences and lessons and place them in a box labelled "Thank you."
NIPONYE ni moja ya nyimbo nnazozipenda mno kutoka katika Hararat the Album ! Sasa, Leo kashusha Its Video !! Ambayo nayo imekaa kwenye Mada kama jinsi Audio ilikaa kwenye Mada... Congratulations, Miss Shusho 🎉🎉
Such a vibe 👌 Thanks for the hit,,, really lifted my soul coz coincidentally am in a tight position but I hope God has received my prayer request and will work accordingly...Kenyans gongeni likes
Christina Shusho never disappoints❤team Kenya tuanguke na likes
Utakaye soma hii comment, Mungu asikie kilio cha moyo wako na akupe jibu. AMEN
Amen
@@esthermbitheke Ameen
Amen
Amen and Amen and Amen
Amen
Mungu abariki yeyote atakaye like hii comment 🙏❤️
WAKENYA MPOOOOOO???????
GOD HEAL OUR COUNTRY KENYA 🇰🇪 🇰🇪 🙏 piteni na likes team SHUSHO 🙏
Eeeeeeeeh nane-nane atupe kiongozi mpya Amina
@@Carol-Shukii a biiiiiiig 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@@AnnWaithera-k2g 🙏 🇰🇪 Naiwe Maombi Naiwe 🙇♀️
@@gracemwangi4880 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Kenya 🇰🇪 forever
Mwenyezi Mungu Mponye Rafiki Angu Aliepata Ajali Mbaya😑😰😰Naomba Ndoto Zake Zisife Muinue Tena Mwenyezi Mungu Nakuomba Baba🤲🏾🤲🏾
(This for You Sauly I love You Brother)
Mungu usikiye kiliyo cha wa kongomani tumeliya sana 🇨🇩♥️
Kongomani😂😂❤
20 ans je ne fais que t'appeller Abba Père 🥺 ! A qui irions nous d'autres. Nous t'attendons Pourvoyeur 🙏🤲🏻
What a coincidence I was breaking down some few minutes and praying deeply because of life difficulty and the same words..shusho used them on a song...may God bless you 🇰🇪 we love you
It shall be well in Jesus name.
Don't loose it
Trust in God and all shall be well
🙏🙏🙏
E mwenyezi mungu ,ponya Kila moyo ulio pondeka .kupia wimboo hu.Amin .
Hard times are often blessings in disguise. Let go and let life strengthen you. No matter how much it hurts, Hold your head up and keep going. This is an important lesson to remember when you're having a rough day, a bad month or a crappy year. Truth be told, Sometimes the hardest lessons to learn are the ones your spirit needs most. Your past mistakes if you learned from it. So take all the crazy experiences and lessons and place them in a box labelled "Thank you."
🎉🎉🎉
Was going through Alot then saw the song..... May God take me through😢😢😢may God bless you shusho
Amen Mungu aponye Kila kitu chetu,huduma, familia, Kazi na afya Zetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Call her woman King❤❤❤
Na mimi naomba Mungu akuinue zaidi Christina ili kazi na huduma aliyoweka Mungu ndani yako isife ,wala mtu asiue hiyo huduma
Amen ❤
NIPONYE ni moja ya nyimbo nnazozipenda mno kutoka katika Hararat the Album ! Sasa, Leo kashusha Its Video !! Ambayo nayo imekaa kwenye Mada kama jinsi Audio ilikaa kwenye Mada... Congratulations, Miss Shusho 🎉🎉
Team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉
Watanzania tunakuombea sana mtumishi wa Mungu, we love you so much❤
From KENYA 254 Christina the best in AFRICA always blessed with her gospel songs
Amen
This is my role model siiiiiiince...i love and always praying for you Mama...najua safari ya wokovu ni ngumu sana, but jikaze tu utafika salama..❤❤❤❤❤
Baba sikia kuomba kwangu,usifiche uso wako siku ya shida zangu Baba 🙏
Amen 🙏 Msaada wangu wa karibu ni wewe yesu usifiche uso wako uniponye🧎🏻♀️
I just love creativity in Shusho ❤❤❤❤❤❤
Amen 🎉
Tina hayo ni mapito tu katika huduma yako songa mbele vumili mawe ya wanaoipinga huduma y❤🎉
Shusho is just an inspiration,much love from kenya
Mom u are the best musician 100% we love all your songs
amena kama nawe umekubali wimbo ni hungana NAMI kusema amen
God please here me out have been through alot this year 😢😭😭😭😭
Kenyans pitieni hapa😅wabongo hawajui kusapoti wenzao!
❤❤❤❤😊🎉
Such a vibe 👌 Thanks for the hit,,, really lifted my soul coz coincidentally am in a tight position but I hope God has received my prayer request and will work accordingly...Kenyans gongeni likes
Siku ya kwanza kusikiliza huu wimbo nilipata mood ya kuomba hadi nikashangaa,namshukuru Mungu kwa ajili yako Christina
This is shusho 🎉🎉
This is exactly shusho
Powerful
Thank you for coming back to authenticity of Christina shusho
Dadangu mwenyezi Mungu azidi kukuongoza
🙏👑🎼Amen
Asante Mungu maana umesikia kilio changu
Usifiche USO wako siku ya shida zangu,...niponye Bwana naomba, Kila siku nalia, UNIKUMBUKE 😢😢😢😢
Nice one mama I love you plus the song dear❤❤❤God bless you mama lots of love from Kenya by lourine lmelda 🇰🇪
Wow I love it May God continue lifting you my sister ❤️
Huu wimbo audio ulivotoka mwaka jna uliniangazia mwanga mpya wimbo una maombi bdam yake karibu kuusikiliza katika roho❤
Bwana uliye Jehova Rapha utuponye!
Much love from Kenya. This is my prayer today.
My favorite gospel artist 🙏🙏🙏
Jehova Rapha nakuhitaji mponyaji
nice one inagusa roho
Eeeh Bwana sikia kuomba kwangu,sikia kilio changu🙏
Mungu kutana na maitaji ya moyo wangu 🙏
👍 song from 🇰🇪 🇰🇪
You never disappoint. Waoh, very touching 🎉to the soul and heart. Bless you @ShushoChristine
niombi langu dadangu uzidi kutubariki na nyimbo kama hizi zenye upako
🎉🎉🎉❤ she never disappoints ,,, a role model
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu....❤
Mwenyezi Mungu atutahisishie magumu moyoni mwetu. Kuna mengi magumu tunayapitia.
Mungu aonekane msaada kwa wote wanaopitia kipindi nzito
Ubarikiwe Dada.
Germain all the way from Johannesburg
Malkia katika ubora wake 🇰🇪
Amen 🇰🇪 🇰🇪 Amen
Bwana sikia kilio changu,usiniache usinipigie kisogo,usifiche uso wako kwangu maana wewe ni msaada wangu.😢
Psalms 102:1-2
Much love and admiration from Kenya🇰🇪❤❤
Kama hili ni ombi lako acha Mungu akukumbuke.
Ndio kudonjo uku...this is so glorious 🎉..am blessed
Mastyle ni deadly deadly
Niponye mungu wangu😢🙏
God bless you Christina you done mama
Oh hallelujah God remember me 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Old cute on it again 💕napenda huyu mama🎧🎧🎧
Amen bwana sikia kuomba kwangu kilio changu baba kikufikie mungu wangu❤❤
Muimbaji wangu Bora wa muda wote.
We believe in you, you never disappoint us. To God be the Glory
Zambia 🇿🇲🇿🇲🙏 approves...
Fresh annointing from the high
Amen!
Blessed one shusho more love from kenya
Congratulations mum ❤❤
whe n comes time of singing ZABURI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen🙏🙏sikia kilio changu
Amina Mungu nimwema atasikia kuomba kwako mtumishi
God bless you sister shusho
Ameen, Ahsante madam wimbo mzuri sana
Blessings ❤❤ keep connecting us to God mummy ❤
Huu wimbo kama umeniimbia mm nalia nao tu asee.. 😢😢😢
Mungu ponya roho yangu 😭😭😭
BEST OF THE BEST 🦅🦅🦅🦅🦅
Kali
MUNGU NI PONYE 😢😢😢😢
Bado nasikiliza na kutazama sichoki kabisa😊
❤❤amen
😭 😭 Dunia yote BABA WA MBINGUNI inatanda kilio.Ponya mioyo yetu BABA WA MBINGUNI TUREHEMU 🙏 😭 HATUWEZI BILA WEWE YESU 🙇♀️ MACHOZI YANGU NAYAKUFIKIE. 😭 🇺🇸 KILIO 🇰🇪 KILIO 🇵🇸 KILIO 🇪🇹 KILIO 🇹🇿 KILIO 🇭🇹 KILIO 🇺🇬 KILIO WEE BABA WA MBINGUNI TUSAIDIE 🙇♀️ HATUJIWEZI BILA WEWE.DUNIA YOTE 🌎 😭 KILIO KIMETANDA..
.EEEE WE BABA WA MBINGUNI TUSAIDIE.
❤CHRISTINA SHUSHO NI MAOMBI YANGU MOYO WANGU UNABUBUJIKA MAJONZI 🇺🇸 🇰🇪 🇹🇿 NAIWE MAOMBI NAIWE❤ 🙏
🇺🇸 TWAKUPENDA ❤ 🙏 AMINA
Utukufu kwa Mungu wetu juu mbinguni amen
NIPONYEE NIPONYEE NIPONYEE YESU PONYA FAMILIA YANGU, PONYA MUME WANGU PONYA KILA KITU CHANGU ❤❤❤❤AMEN AMEN
Eeee Bwana sikia kuomba kwangu....🤲
Hakika Mungu atusikiye Nasi ambao tunao lia mchana kucha
Great song siz. Keep inspiring and giving hope to this generation
Kenya loves shusho❤🎉🎉
Mungu akubariki sana mama mtumishi wa Bwana tumebarikiwa sana 🙏🙏🙏🙏
Yesu naomba niponye maumivu ninayoyapitia,Nipe uzima
Another masterpiece, 👏