MAAZIMIO YA MATAIFA YA KIARABU NA KIISLAMU YATAINUSURU PALESTINA AU NI HADAA? PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 21 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran sana sheikh wetu.
    M.mungu atawafanyia wepesi Palestine 🇵🇸 ishaallah

  • @KatemboJeremica
    @KatemboJeremica 21 วันที่ผ่านมา

    Waalaykum Salamu warahmatullahi wabarakatuh Naam sheikh

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 22 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @frolianhulubano6358
    @frolianhulubano6358 21 วันที่ผ่านมา

    Yesu anakupenda shehe... anakupenda mno

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 21 วันที่ผ่านมา

    Naam sheikh wangu M.mungu akubariki huwo ndio ukweli wenyewe.
    Waislam wana gombanishwa

  • @lbrasanchoo5290
    @lbrasanchoo5290 22 วันที่ผ่านมา

    💚

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 22 วันที่ผ่านมา +1

    Allaah awasubiri Hawa wanafiki kesho kiama watakua masuuliyya

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 21 วันที่ผ่านมา

    Usiwaamini sana hawa masaudi sheikh wangu. 😢

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 22 วันที่ผ่านมา

    Wazanzibari tunataka sana kujiunga o i c ila wazayuni watanganyika wanafanya kila namna tusifikie malengo hayo

  • @HurukaMwinyigogo
    @HurukaMwinyigogo 20 วันที่ผ่านมา

    Thanks to Iran trying their best to assist fellow muslims.

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 22 วันที่ผ่านมา +1

    Waislamu wametawaliwa na makafiri wa Amerika ndio wamekua wanafik wanauwezo huo Ila Dunia ndio muhimu Allaah awanusuru Ndugu zetu wapalestina 🙏

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm 22 วันที่ผ่านมา

    Sisi tuzidishe kusoma suratil fil tu na dua nyingine kwa sababu nchi za kiarabu/waislamu hawana cha maana ktk mapambano dhidi ya wazayuni.Waislam wa leo tuna mtihani mkubwa sana na hasa kuhusu mgogoro huu wa mashariki ya kati.Iran Allah aihifadhi.Hivi mpaka sasa mwaka mzima walikuwa wapi kuchukua hatua dhidi ya wazayuni?Tunakushukuru sheikh wetu kwa kutujuza habari kama hizi.Allah akuhifadhi.

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 21 วันที่ผ่านมา

    Hii hata sijui inakuwaje, sijui ni laana inawatafuna au unafiki umepindukia mipaka. Allah anayajua wanayoyasema na wanayoyaficha mioyoni mwao, adhabu kali itawafika wanafiki na wale marafiki wao, sisi hatuna nguvu ila tunao mdomo na akili timamu tuzidishe kuomba dua'a kila saa kila siku Nusra ya Allah ipo karibu na mwisho wa wanafiki, mazayuni na vibaraka wao watashindwa biidhini llah na haki itapatikana

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 22 วันที่ผ่านมา

    Hakuna lolote watafanya ndugu zetu wapalestina Allaah atawaletea nusra in shaallaah 🙏

  • @KhadijaOthaman
    @KhadijaOthaman 22 วันที่ผ่านมา

    Na jambo jingine hao viongozi wa nasema wasiyo yatenda ña Hali Allah amekata za kwa waumini kusema wasiyo yafanya pia hapa patakuwa na ugum kwa sababu wanakiuka mipaka ya Allah na mwenyezmungu yeye ndiye anae wajua madhwalim

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 22 วันที่ผ่านมา +2

    Kwanza apo hakuna nchi za kiislam hizo ni nchi za kiarabu na wafalme wao wengi ni mafreemason illuminates na mayahudi,nchi ya kiislam ni ile inayofuata KHILAFA sio democracy,sababu democracy yenyewe ni ukafiri,pili hakuna nchi itakayoikomboa PALESTINE,labda IRAN na washirika wake wa Lebanon,Syria,Iraq,Yemen na HAMAS

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 22 วันที่ผ่านมา

      Umenena sawa sawia.Hapo naona Kuna Iran TU chini ya Ayatollah ndio watu(waislamu ) waliojipanga vyema kujipigania na kuikomboa PALESTINA.Hao wengine ni manyahu nyahu TU.

  • @KhadijaOthaman
    @KhadijaOthaman 22 วันที่ผ่านมา

    Na jambo jingine hao viongozi wa nasema wasiyo yatenda ña Hali Allah amekata za kwa waumini kusema wasiyo yafanya pia hapa patakuwa na ugum kwa sababu wanakiuka mipaka ya Allah

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 22 วันที่ผ่านมา +1

    Muungu atasaidiya palesteina inshaallah

  • @KhadijaOthaman
    @KhadijaOthaman 22 วันที่ผ่านมา

    Hata imani ya mtu hudhibitishwa kwa matendo lakini hawa viongozi maneno yamekuwa mengi kuliko vitendo na hapo ndipo makafir wanapo tudharau

  • @HurukaMwinyigogo
    @HurukaMwinyigogo 20 วันที่ผ่านมา

    Asalaam aleykum.
    Ni ajabu sana kwamba baada ya mwaka kupita toka tukio la 7/10/23 ndio wanakutana 11/10/24?
    Waarabu ni makatili na ni wapuuzi sana hawana huruma. Msukaji ya kutisha yanafanywa dhidi ya wapalestina bado balozi zao zipo tel aviv? Kweli?
    Hayo maazinio ni kiini macho tu.

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 22 วันที่ผ่านมา +1

    tena iyo ni sawa esbolla waripue israel kokote plz tumechoka kuuliwa ndugu zetu

  • @KhadijaOthaman
    @KhadijaOthaman 22 วันที่ผ่านมา

    Bila shaka hicho ni kiini macho tu maana miongon mwa hizo nchi Tena zilzo kuwa nying Bado wamewakumbatia maadui wa uislam na kushirikiana nao Hali ya kuwa mwenyezmungu amekataa tusishirikiane na wale wanao ifanyia dini yetu mchezo

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 22 วันที่ผ่านมา

    Lazma msikiti wa alaksa kuvunjwa tu na mimi naomba hii sana

    • @SelemaniIssah-p2g
      @SelemaniIssah-p2g 22 วันที่ผ่านมา

      Najivunia kuwa mwislamu na hakika makafiri watashindwa tu na mafikio yao moto wa jahannam

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 22 วันที่ผ่านมา

      Umeiona sasa kauli zenu je kwa kauli yako hyo Nan gaidi au Nan mchokozi halafu mnawaonea waarabu na waislam wanaotafuta haki mnawaita magaidi yaan ww ni kafri kwelikweli

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 22 วันที่ผ่านมา

      Kama unawapenda sana wazayuni mashoga wenzio Waite kwenu halafu ukawakabidhi nyumba yenu ya ibada na uwape maeneo yenu yote usilete ukafr wako hapa Waite uwape kanisa la Babu yako huko kwenu mm. A eeee

    • @ShabaniRashidi-d2v
      @ShabaniRashidi-d2v 22 วันที่ผ่านมา

      Sasa msikiti wa Al aqsa sio ndio hekalu alojenga nabii suleiman na nabii issa (yesu?)aliingia kuswali apo,na issa na mussa waliswali ktk masinagogi (msikiti)au kuna andiko yesu aliingia kanisani? Au alisema ukristo ni dini ya mungu,wakati ukristo umeanzia antiokia uturuki matendo 11.26? Tatizo mmedanganywa na wazungu mifumo yote ya ukristo mmetunguwa na wazungu

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 22 วันที่ผ่านมา

      Sikuzote mwizi anaepola vtu vyamwenzie anakua nanguvu sana kuliko mwenye mali kwasabu alishajiandaa kuona kajua nikpoteza nishaumia kwaiyo wale jamaa niwapolaji wa ardhi za wapalestina halafu ww unawabark kama mavyosema huko ugalatiani kwenu

  • @SalamaBakari-eh1mz
    @SalamaBakari-eh1mz 21 วันที่ผ่านมา

    Hapa tumuombe Allah tu awape nusra wenzetu lakini Hawa sio wakweli mbona hatuoni huo msaada wanaoutowa wakati weuzetu wanasngamizwa

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 22 วันที่ผ่านมา

    Hawataweza na lazma magaidi ya kislamu wafe wote

    • @SelemaniIssah-p2g
      @SelemaniIssah-p2g 22 วันที่ผ่านมา

      Kafiri ni kafiri 2

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 22 วันที่ผ่านมา

      Hili ni kafiri halina Cha maana lilichobeba isipokuwa chuki dhidi ya uislamu TU.

    • @MwanahamisHussein-dp2if
      @MwanahamisHussein-dp2if 22 วันที่ผ่านมา

      Mashoga Duniani wafe wote waisrael na washilika wake

  • @MarcelMutsinzi-o8j
    @MarcelMutsinzi-o8j 22 วันที่ผ่านมา

    Waislam wa afrika zangumza matatizo ya nchi za afrika Sudan watu wanakufa sana,nyinyi manaonea huruma palestrina,akili zenu ni zero.

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 22 วันที่ผ่านมา

    Nikuipiga Israeli asiogopewe basi ni unafiki tuu tamaa ya kiduniya kuliko dini na hadhi Yao

  • @HazinaBaya
    @HazinaBaya 22 วันที่ผ่านมา

    Ki lniacho

  • @KhadijaOthaman
    @KhadijaOthaman 22 วันที่ผ่านมา

    Na jambo jingine hao viongozi wa nasema wasiyo yatenda ña Hali Allah amekata za kwa waumini kusema wasiyo yafanya pia hapa patakuwa na ugum kwa sababu wanakiuka mipaka ya Allah