Nisawa..lakini unajua kwamba. Matumizi yoyote yale ya kitu chochote yanaweza kuwa hatari kwa afya yako.... Hapo inayofanya mtu kuwa na kitambi sio sukari ila ni matumizi ya kuzidi ya sukari.. Maana pia sukari ikipungua kwenye mwili wa mwanadamu inakuwa ni tatizo lingine.. So tunatakiwa kuwa na kiasi kwenye kila jambo..
Kwa maana hata wakati mwingine ukila matunda tu bila ya mlo mwingine means ya wali au ugali n.k ni hatari pia kwa afya...walau ule mlo mmoja kwa siku😊😊
Nimependa asante
Asanteee
Inasaidia ndio tena sana tu
Asante 🤲🏽🙏🏽
Baarakallah fiish
Vp kwa wenye vidonda vya tumbo inafaa?
Je naweza kuongeza na majani ya mnanaa
Sawa munatuelimisha dada yetu lakini mbona hamjibu munapo ulizwa ili tusiulize ambayo tayari yameisha ulizwa?
Jamn kuna alotumia akaona matokeo?
Asante sana
Sukari
Je naeza ongeza carrot?
Ndio kipenzi unaweza ungeza carrot
❤❤
Kabich nasikia pia linapunguza maziwa ni kweli Kama kweli unafa vipi yapungue bila madhara
Kiukweli sifahamu kuhusu kupunguza maziwa na kabichi
Mimi skubali kwamba dawa hii inapimguxa tumbo kwasababu umeweka sukali
Nisawa..lakini unajua kwamba.
Matumizi yoyote yale ya kitu chochote yanaweza kuwa hatari kwa afya yako....
Hapo inayofanya mtu kuwa na kitambi sio sukari ila ni matumizi ya kuzidi ya sukari..
Maana pia sukari ikipungua kwenye mwili wa mwanadamu inakuwa ni tatizo lingine..
So tunatakiwa kuwa na kiasi kwenye kila jambo..
Kwa maana hata wakati mwingine ukila matunda tu bila ya mlo mwingine means ya wali au ugali n.k ni hatari pia kwa afya...walau ule mlo mmoja kwa siku😊😊
Sawa unaweza kunipa namba yako kwa ushauli zaidi
Mbona wengine wanasema sukari ni mbaya, nainywaje tena kwa Tango?
Mh hiyo sukari naiyogopa
Tango sawa ila hapo kwenye SUKARI!!!
Tango inaondoa kiungulia?
Hapana inasaidia kupunguza gesi tumboni
Asante je nikwel dadayangu
Kila kitu kina wezekana ukiweka iman
Tangawiz kiasi gan na ndim au limau ziwe ngap
Ni kiasi upendacho tu kutokana na wingi wa juice yako unavyotaka iwe
Shukran,ukisagia ndimu na maganda yake haileti moshi??
Ndo vizur ila unaweza kuweka ndimu ambazo umetoa maganda
Iyo uliyotia kwenye gras alafu ndio umemimina juis ni kitu gani? Bado sijaelewa
Naisi ni barafu
Ni barafu na maji ya ndimu nilikamua pembeni dear😊♥️
Katia barafu
@@IlhaamMarshedhuajibu mesej vip sukar kwa kupunguza tumbo inafaaje jamn
Kuweka sukari hapo ndoumeharibu kw Afya yakuondoa kitambi
Kabisaaaa😂😂
Hii juice nimetengeneza sio kwa ajili ya kupungua ni yakunywa tu kawaida ndo mana nimeweka sukari kidogo ili hata mtoto aweze kunywa pia 😊
Na Kama una bilenda ufanyeje dada
Tumia kikwangulio Cha karoti
Mimi tumbo langu natumia Kila kinacho semwa lakini bado
Pole sana usikate tamaa na vile vile jitahidi kuacha sukari kwa mda hata wiki 2
Hyo uliyotia kijiko kimoja kimoja ni nn
Maji ya ndimu
Ivi inasaidia kwel? Na unakunya kwa cku ngp
Muda wa mwezi 1 mpka mitatu utaona mabadiliko
Toba miez m 3 🙄
Ukikosa tangawiz je?
Sio lazima kuweka tangawiz
Na ukinywa bila sukari haina madhara
Haina madhara ni nzuri zaidi bila sukari kwa ajili ya kupunguza uzito ila km huwezi bila sukari unaweza weka asali
Asali na tango wanasema ni sumu mtu anaweza kufa je ni kweli?
Kwanini unaweka Skari
Nimapendekezo yangu tu kuweka dear
Nawale ambao hawatumii sukari
Kama hutumii sukari usiweke ila unaweza tumia asali mbadala wake kupata utamu kidogo kama huwezi kunywa
Iv naweza kupungua kweli?
Ndio
VIP ulipunguA baada ya kutumia
Unahitumiya bahada yasikungapi
Mpk utakapoona matokeo kwenye mwili wako madam
Mbona hujasema tango ni ngapi limau ngapi
Unaweka kwa vile upandavyo dear
Nilazima kuweka sukari
Sio lazima au unaweza kuweka asali kwa afya zaidi
Mbona wewe umeweka sukari?
Ukipendelea unaweza weka sukari kwa wasio weza uchungu kabisa