Kuna mahitaji matano kama ifuatavyo - 1. Awe na ufaulu wa angalau masomo ma 4 ikijumuisha English na mingine yasijumuishe masomo ya dini 2. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30 3. Awe na urefu usiopungua centimetre 160 4. Awe na body mass 18.5 hadi 24.9 kg 5. Awe nauwezo wa kuongea na kuandika kiingereza kwa.
@@dorothyjoseph9807 Sifa za Kusoma Uhudum kwenye Ndege Chuo cha Taifa NIT/ Cabin crew NIT / Airhost Study cabin crew. 👇 th-cam.com/video/IzTo80-MQQw/w-d-xo.html
Anaweza course ipo ya Mechanical Engineering kwa level ya Diploma na Degree kwasasa Dirisha la maombo limengwa kwani wapo kwenye masomo kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
Uwe na Alama angalau D nne angalizo yasiwe masomo ya Dini hapo utaweza kujiunga kwa level ya Diploma utasoma miaka mitatu na Ada wastani Million moja kwa mwaka.
Unaweza kujiunga Dirisha la usajiri lipo wazi sasa kwa level zote Diploma hadi Degree apply online kupitia website ya chuo Www.nit.ac.tz karibu sana Tanzania NIT ni chuo bora na Kikongwe kwa course mbali mbali mazingira bora pia.
Habari kaka nimekusikiliza vizuri ira naomba msaada wa majibu ili nijiandae katika hili mimi ni dereva tayari nataka kusomea daraja class E nataka kujua ada yake nikiasigani asanye
Kuna masomo yanaangaliwa kwa level amboyo upo mfano umemaliza form 4 utaenda diploma kama ni form Six utaenda Degree kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo.
ICT ipo kwa level ya Diploma Ada Million 1 kwa mwaka, Mhula umeanza labda Mwakani utume maombi mapema kwa maelezo zaidi Tembelea website ya chuo www.nit.co.tz
Hapana kwasababu kozi ya edereva inayotolewa pale ni kwa wale ambao ni madereva teyal na hutolewa ili kupandisha leseni za na kuongeza ujuzi zaidi lakini kama lengo lako kuwa na leseni kubwa basi kuna mwanzo uende kwenye vituo vya kujifunzia baada ya muda kuja kuomba kupandisha leseni yako.
@@Jmmediaonline je unaweza ukanishauri niende veta wapi maana nipo dar half kingine veta lazima uende na cheti cha form four nakuomba unisaidie maana bado sijui
@@muhamedimdoe Kama ishu nikutaka mafunzo ya udereva na lesen haina ulazima veta au cheti cha kidato cha nne naweza kukuunganisha na mmoja ya walimu wa chuo cha NIT ambaye ana shule inayotoa mafunzi ya udereva utakapo maliza utakuoatia pia maelekezo namna utaweza kufanikiwa kuendeleza lesen yako kwenye chuo cha Taifa cha usafirishaji.
1. Kuhusu udereva, Una Lesen ya udereva teyal ama unataka kuanza maana kozi ya udereva inayotolewa ni kuongeza madaraja kama ulikuwa na leseni ndogo unaipandisha nasio dereva mpya. 2. Kuhusu Ufundi Kuna kozi ndefu za Diploma na Degree kwenye ufundi wa magari na mitambo Automobile na Mechanical na ada zake ni za kawaida lakini huwa kuna kozi za muda mfupi huwa zinatolewa kwa maelekezo zaidi tembelea chuoni.
@@Jmmediaonline inalipwaje maana nakijana wangu ananiambia wki ijayo wanaanza mitihani asipomalizia ada hataruhusiwa na mm nadaiwa lk tatu na sabini tu ktk hiyo million na nusuuu kwani hichuo mtoto akiingia tu lzm amalize ada?hali ni ngumu jaman
Unaweza kwenda directy intery kwa level ya Diploma ambapo ada inaweza kuwa million 1 au 1 na laki 2 ukiingia kwenye website ya chuo download prospector au muongozo wa chuo unavitu vyote ada na mahitaji ya kila kozi.
@@sekundarajab-2434 inategemea hicho chuo alichsoma kama kinatambulika na serikali na kimesajiliwa anaweza kuendelea na Diploma kwa ukkka zaidi tembelea website ya chuo au fika chuoni Dar es salaam mabibo kwa maelezo zaidi
Cha zaidi chuo kina course mpya nyingi ambazo hazipo kwenye vyuo vingi na mahitaji yake ni makubwa kwenye soko la ajira nchini hivyo hautajutia kusoma NIT
Course nyingi sifa unazo kqa level ya diploma ambayo utasoma miaka mitatu ada isiyopungua millioni 1 Tembelea website ya chuo kwa maelezo zaidi lakini pia itakuwa kwa maandaliza ya mwaka ujao wa masomo kwamaana maombi yalishafungwa
mm nataka udereva nina leseni iambayo inaklas ambazo gari zake sina uwozo wakuendesha izoo garii nataka kuzisomea niwe na uwezo nazo km leseni yangu inavosema😅
na taka traveta na magari makubwa ya mizigoo niseidie kujua gara zake nataka niazee kbla ya mwezi wanane au w9 km karama nitaweza kuimudu na inakua kwa muda gani...kila kozi
@TonCroos Dirisha la Maombi limefunguliwa unaweza kuapply kuhusu matawi Hapana Hakuna hakuna matawi sehem yoyote kwasasa kwa maelekezo zaidi Tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
NIT hawatoe mafunzo ya udereva kwa watu ambao wanaanza, mafunzo yanayotolewa pale ni kupandisha madaraja ya madereva ambao teyali wanaujuzi huo lakini wapo waalimu wachuoni hapo ambao wanazo shule za udereva kwa wale wanaohitaji na gharama zao ni nafuu sana.
@@rizikothman169 Uwe na Principal Pass za Masomo mawili yenye point 4 yasiyojumuisha masomo ya dini utasoma Bachelor miaka mitatu, Hostel na madarasa hapanashaka ni high quality mazingira tulivu.
Kwenye kozi gan na Kozi gani ? maana kila kozi inamahitaji yake lakin kikubwa lazima uwe na pass 4 kwenye masomo ukiacha Dini lakini inategemea na kozi, kama hapo hizo B zako uwe na angalau D mbili tena hapo utakuwa unauwezo wa kusoma Diploma miaka mitatu ambapo ada yake haizidi Million na ikiongezeka labda na laki 2 ambayo hulipwa kwa mihula miwili ukiweza kwa pamoja yote karibu sana NIT naamini hautajutia kisoma hapa.
@@BeatherGustapha Ordinary Diploma in Freight Clearing and Forwarding Entry Requirements 1. Form IV with At least Four 4 passes excluding Religious Subjects. Or 2. Form VI with one principal pass and one subdidiary pass in the combination subjects. Or 3. Basic Technician NTA LEVEL 4 certificate in related field. Duration 3 Years.
@@princesssaly Kozi ndefu miaka mitatu, fupi kuanzia mwezi hadi miezi minne Ada inategemea na level diploma, degree au masters so kila level ina ada yake diploma Million moja, degree 1.5m lakini pia kuna Aviation mambo ya ndege ni zaidi ya hizo kwa usahihi zaidi tembekea website ya chuo
Habari mwanangu anataka kujiunga mambo ya uhudumu wa ndege vigezo vyake ni vipi,
Kuna mahitaji matano kama ifuatavyo -
1. Awe na ufaulu wa angalau masomo ma 4 ikijumuisha English na mingine yasijumuishe masomo ya dini
2. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30
3. Awe na urefu usiopungua centimetre 160
4. Awe na body mass 18.5 hadi 24.9 kg
5. Awe nauwezo wa kuongea na kuandika kiingereza kwa.
@@Jmmediaonlinendugu mwanangu anataka kusoma hio course ya uhudumu wa ndege amemaliza form six
@@Jmmediaonline mwaka huu naomba mawasiliano jinsi ya kuomba
@@dorothyjoseph9807 Sifa za Kusoma Uhudum kwenye Ndege Chuo cha Taifa NIT/ Cabin crew NIT / Airhost Study cabin crew.
👇
th-cam.com/video/IzTo80-MQQw/w-d-xo.html
@@Jmmediaonline na muda wa kusomea hiyo kozi Ni muda gani??
habar naitaji koz ya udereva kuanzia lesen ndogo adi kubwa itakost kiasigani kwa ujumla mimi nipo zanzibar asante
good sana kaka nataka nije kusoma coz iyo it nimeikubali kinoma ila nimeishia 4
m four nimepata chet je vp inakubalika
Asante kaka nahitaji nafas
Chuo hiki cha usafirishaji kinapatikana wapi ktk mikoa hii kaskazini. Mimi niko Hai mkoani Kilimanjaro
Nielekez jins ya kuapply
Mimi nipo kagera nataka kusomea kuhusu driving,mnimeitimu form four,
Asante kutufahamisha
Karibu sana
Je, kama nimesoma hgk naweza kusoma koz ya usaforishaji
Nilikuwa naitaji kufahamu course ya udereva wa magari makubwa inaptikana
Ipo tembelea tovuti ya chuo upate maelezo kamili www.nit.ac.tz
Ni kozi gani nzuri ya art inayopatikana apo NIT
Sijui jinsi ya kujisajili online
Naomba nijue jinsi ya kujiunga
Mwanangu anataka ufundi wa magari na udereva naomba nijue jinsi ya kujiunga
Anaweza course ipo ya Mechanical Engineering kwa level ya Diploma na Degree kwasasa Dirisha la maombo limengwa kwani wapo kwenye masomo kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
Kaka nahitaji kusoma nursing nimemaliza form four
Unaongea sana bro , unatakiwa kwenda kweny point direct😣
Nimehitimu kidato cha nne nataka kujiunga na chuo hicho muongozo upoje?
Uwe na Alama angalau D nne angalizo yasiwe masomo ya Dini hapo utaweza kujiunga kwa level ya Diploma utasoma miaka mitatu na Ada wastani Million moja kwa mwaka.
Napataje kujiunga au form napataje au mawasiliano
Nataka form yakujiunga katika chuo cha nit
@@MohammedKatete Ingia kwenye website ya chuo
@@Jmmediaonline website
Nataka kujua jinsi ya ku apply nit
mm nina C ya geography na english na D ya kiswahil vp naweza kupata koz ya usafishaji bandarin?
Ingia kwenye website ya chuo utapa maelekezo ya kila course inamahitaji gan www.nit.ac.tz
Kuna koz ya record
Computer and information technology inaitaji vigezo gani kwa aliye maliza 4m4
@@SamwelJimmy-q5m minmun D 4 on mathematic, English and other subjects religion excluded
Nsaidie kwa form 4 wanaitaji ufaulu gani kujifunza udereva
Nimeipende chuo chenu niko mombasa nchini Kenya naweza kujoin and I need how can I apply
Unaweza kujiunga Dirisha la usajiri lipo wazi sasa kwa level zote Diploma hadi Degree apply online kupitia website ya chuo Www.nit.ac.tz karibu sana Tanzania NIT ni chuo bora na Kikongwe kwa course mbali mbali mazingira bora pia.
Nishaur plz jmni kam una 4ya 30 apo naweza soma nini sasa plz nisaidie mdog wako ett
Kama utakuwa na Alama D kwenye masomo ma 4 utapata course ya kusoma.
Namba yenu naomba
pia nataka kujua ada shi ngapi
Habari kaka nimekusikiliza vizuri ira naomba msaada wa majibu ili nijiandae katika hili mimi ni dereva tayari nataka kusomea daraja class E nataka kujua ada yake nikiasigani asanye
Naomba kuuliza no muhitimu wa kozi ya udereva nimesoma hapo chuo naitaji kurenweu leseni yangu imeisha muda miaka5 nifanyeje naomba msaada nisaidiwe.
Mimi shida yang kujifunz udereva wa magali lesen ndog adi kubwa nipe maelekez bac
@@KasimuChilindima Bonyeza link inamaelekezo yote 👉👉 th-cam.com/video/YUfgI1iI-gA/w-d-xo.htmlsi=S8MMzBLbArS0Z32Z
Ongeren san
Shukran kwa kuwa nasi 🙌
Kwa mimi form four Nina chenye Alama D tatu je nikozi ipi nawez kijiunganayo!?
D za masomo gano?
Naomba mnirekeze adaya chuo hicho ni shigapi?
Ada kwa level gan ? Diplom 1,000,000/= Degree 1.5 M million na laki 5
Hivi. Koz ya information technology inawataka walee tuu wenye ujuz was computer au wanfundixha happy hapo hapo chuon matumiz akee
Kuna masomo yanaangaliwa kwa level amboyo upo mfano umemaliza form 4 utaenda diploma kama ni form Six utaenda Degree kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo.
Bro nataka kuapply ila website yao sijaijua bad
Www.nit.ac.tz
Naitajia kusomea udereva wa magari makubwa kuna course inayo husianana na uderava wa magari makubwa
Ipo kozi lakini uwe teyal dereva mwenye lesen zaidi yq mwaka
Hello
Ukiwa una D4 unawez kucha guliwa kwe mambo y railway eng
Yes D nne utapata nafasi lakini hakikisha masomo ya dini hayahusiki
Naitwa shamsu naomba kupata maelekezo ya kupat form nataka kujiunga na chuo nimemaliza form four
Muda wa maombi umeisha
Muda wa maombi ni lini
@@MercyNdeya-uk9vd Muda wa maombi umeisha hadi mwakani
Bro nahitaji kujua ada ya course ya logistic and transportation kwa level ya cheti
Millioni Moja
Naomba namba zenu
@@CHRiSTiNAPascal-ld1hg Maelezo haya hapa th-cam.com/video/YUfgI1iI-gA/w-d-xo.htmlsi=gx24y6oClLsx-eRf
Samahani ningepend kuuliza kwamba eti community development Kiko miongoni mwa vyuo vya ufundi?
Samani kamanitapata majibu now
@@JuniorPastory-z8d Hapana vyo vya Ufundi ni kama Veta, DIT, MUST navinginevyo
Ada ni sh. Ngpi..
Kwa level gani ?
Ada level ya cheti course ya logistic and transportation
@RichardPenford-ow5cs Million moja
Mwasiliano ya hapo chuoni je nawezaje kuwasiliana nao
Tembelea website ya chuo utapata contact www.nit.ac.tz
Mimi ninataka kuwa dreva wa gari kubwa aina ya scania ninataka kukuuliza kwamba mimi nina elimu
Hujaeleweka swali lako
Nina commerceC,economics E,naweza kupata kozi?
Course gani hapo itaendana na ufaulu wangu tafadhali
Waoh nataka kusoma Ict hapo Ada yao ikoje na ratiba ya muhura wa 2024 unaanza lini
ICT ipo kwa level ya Diploma Ada Million 1 kwa mwaka, Mhula umeanza labda Mwakani utume maombi mapema kwa maelezo zaidi Tembelea website ya chuo www.nit.co.tz
OK sawa
Habari nahitaji kusomea uderev kwanzia lesen ndog hadi kubw ita cost shingap
@@BarakaJunior-m2q Hapana hakuna mafunzo ya awali
Naombeni muongozo mtanisaidiaje kwa mana napenda sana kuwa derev wamagari makubwa like scania
@@BarakaJunior-m2q anza na vyuo vya veta au chochote za udereva kwa mafunzo ya awali
Ila mm ninayo uelewa waku drive mana mpaka apa nilipo fikia na endesha gari vizur trekta japo sjasomea
NIT wanamasomo ya jion kwa watumishi wanaotaka kujiendeleza
Kwa Baadhi ya course kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo
Nataka kujiunga na TIA NA shindwa ku apply
Ingia kwenye website ya Chuo utaonana namna ya kuapply utaweza kufanikiwa kwa urahisi ukitumia computer.
Nimechaguriwa course ya community development dodoma naipataje form
Ingia kwenye website ya chuo husika maombi ni online na form utaipata humo kwa kudownload
Nataka course ya bussines
Tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
Naomba unitumie namba ya not dodom nahitaji kupata mwongozo wa mafunzo
Ingia kwenye website ya chuo utapa maelekezo ya kila course inamahitaji gan www.nit.ac.tz
Ingia kwenye website ya chuo utapa maelekezo ya kila course inamahitaji gan www.nit.ac.tz
Aliye maliza 4m4
Habari nahitaji cos ya business administration lakini nimefeli math na history inawezekana
Nataka kusoma Mambo ya ndege kuhudumia.
Nataka kujiunga na chuo process zake zipoje
Tembelea website ya chuo ku apply online website ya chuo www.nit.ac.tz
Apoo
Mimi nataka kujua kuwa naweza kusoma kozi ya udereva wa magari makubwa nimepata C moja na D moja form four je naruhusiwa
Hapana kwasababu kozi ya edereva inayotolewa pale ni kwa wale ambao ni madereva teyal na hutolewa ili kupandisha leseni za na kuongeza ujuzi zaidi lakini kama lengo lako kuwa na leseni kubwa basi kuna mwanzo uende kwenye vituo vya kujifunzia baada ya muda kuja kuomba kupandisha leseni yako.
Kwahy hapo unaniamby kwanza niende veta kwanza au
@@muhamedimdoe Yes ukishapata lesen ndo utaweza kuja kujiendeleza
@@Jmmediaonline je unaweza ukanishauri niende veta wapi maana nipo dar half kingine veta lazima uende na cheti cha form four nakuomba unisaidie maana bado sijui
@@muhamedimdoe Kama ishu nikutaka mafunzo ya udereva na lesen haina ulazima veta au cheti cha kidato cha nne naweza kukuunganisha na mmoja ya walimu wa chuo cha NIT ambaye ana shule inayotoa mafunzi ya udereva utakapo maliza utakuoatia pia maelekezo namna utaweza kufanikiwa kuendeleza lesen yako kwenye chuo cha Taifa cha usafirishaji.
Me nataka kozi ya udereva pamoja na fundi asa sijui ada ake shingapi na ni mda gani pia mda wa maombi uwaga ni mda gani?????samahani lakini
1. Kuhusu udereva,
Una Lesen ya udereva teyal ama unataka kuanza maana kozi ya udereva inayotolewa ni kuongeza madaraja kama ulikuwa na leseni ndogo unaipandisha nasio dereva mpya.
2. Kuhusu Ufundi
Kuna kozi ndefu za Diploma na Degree kwenye ufundi wa magari na mitambo
Automobile na Mechanical na ada zake ni za kawaida lakini huwa kuna kozi za muda mfupi huwa zinatolewa kwa maelekezo zaidi tembelea chuoni.
Nahtaj kusoma logistics and transport mahtaj ndo yap
Level gan?
Umenisaidia sana nilikuwa sijui chuo kilipo na nimeiona kozi yangu pendwa ya procurement 💪💪
Shukran kwa kuwa nasi 🤝
Waooo tuwe wote chuo
Naomba kuuliza ada ya certificate @@Jmmediaonline
Pzl naomba kujua ada shingap
Ada inategemea na Level (Diploma au Degree) ?
@@Jmmediaonlinedree
@Patricianicholaus24 Million na nusu
@@Jmmediaonline inalipwaje maana nakijana wangu ananiambia wki ijayo wanaanza mitihani asipomalizia ada hataruhusiwa na mm nadaiwa lk tatu na sabini tu ktk hiyo million na nusuuu kwani hichuo mtoto akiingia tu lzm amalize ada?hali ni ngumu jaman
@Patricianicholaus24 kuna mfumo wa wanafunzi wote wanatumia ambao unawawezesha kulipa kwa control number
Ada n sh ngp nahitj kusomea maswal ya bandarini nina C zote Alfu F Moja matokeo ya kidato Cha nne
Unaweza kwenda directy intery kwa level ya Diploma ambapo ada inaweza kuwa million 1 au 1 na laki 2 ukiingia kwenye website ya chuo download prospector au muongozo wa chuo unavitu vyote ada na mahitaji ya kila kozi.
Sawa asante na je kama mtu kasoma certificate na kaishia dp1 chuo kingine akitaka kujiunga NIT anafika kuendelea dp2 au anaanza upya dp1
@@sekundarajab-2434 inategemea hicho chuo alichsoma kama kinatambulika na serikali na kimesajiliwa anaweza kuendelea na Diploma kwa ukkka zaidi tembelea website ya chuo au fika chuoni Dar es salaam mabibo kwa maelezo zaidi
Cha zaidi chuo kina course mpya nyingi ambazo hazipo kwenye vyuo vingi na mahitaji yake ni makubwa kwenye soko la ajira nchini hivyo hautajutia kusoma NIT
Saw asante
Apo umesema ukweli kaka ushauri mzuri kujitahidi kuchagua kozi ambayo itakusaidia baadae kupata ajira...
🙌🙌
Mm nipo biharamulo kagera ila mwanangu amechaguliwa kujiunga na hicho chuo, nilitaka kuuliza kuhusu malazi na msosi
Chuo kina hosteli za kutosha cha msingi awasiliane na uongozi awahi nafasi kuhusu chakula chuo kina cafeterias za chakula kizuri na bei rafiki kumudu.
@@Jmmediaonline asante
@@avitusmichael5 karibu sana
Me nina leseni ya c1c2c3 naE ala ninajua kuendesha gari aina ya fuso naweza kujiunga na masomoa ya psv
Week ijayo tembelea channel yetu tutakuletea majibu yako kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji NIT
Habari mwanangu anataka coz ya usafili wa Bala balan kamaliza kidato cha nne
@@FREDFREDNGOMA Sikiliza video ya maelekezo kwenye hii link 👉 th-cam.com/video/YUfgI1iI-gA/w-d-xo.htmlsi=8eL7yokSxLhdPpam
🙏🙏🙏
ukiwa umemaliza 2022 ukiapply 2025 unaruhusiwa😮
Kusima hakuna Umri hata ukisubiri ezeeke kidogo kikubwa ada uwe nayo
Mwanangu amechaguliwa hapo
Hongera kwake ni chaguo bora
Nataka kijiunga n chuo kujifunza udereva maelekezo n vp
Udahili Bado unaendelea meisho tarehe ngapi
Mimi nina D ya English,C ya kiswahili,D ya geography,D ya Biology,D civics naweza pta course hapo au kak unanishauri nini khusu masomo yangu hayo
Course nyingi sifa unazo kqa level ya diploma ambayo utasoma miaka mitatu ada isiyopungua millioni 1 Tembelea website ya chuo kwa maelezo zaidi lakini pia itakuwa kwa maandaliza ya mwaka ujao wa masomo kwamaana maombi yalishafungwa
@@Jmmediaonline nashukuru brother kwa ushaur wako umenifumbua
Miminidereva magari
Ada ni shingap
Iliano yao tunayapataj bro kwa sii tulio mbali
Mda gani course hutolewa
Course ndefu au
Nahitaji kujiemdereza na udereva wa malori naweza pata mawasiliano Yako tafadhari
mm nataka udereva nina leseni iambayo inaklas ambazo gari zake sina uwozo wakuendesha izoo garii nataka kuzisomea niwe na uwezo nazo km leseni yangu inavosema😅
Unaweza kuipandisha daraja kwa kusoma kozi ya miezi minne.
@@Jmmediaonline asante maana nina cls kubwa na garama zake kias gani inakua ..
@@Jmmediaonline na jee naweza kusoma mea moja moja mpk nimalize zile cls nilizo nazo
na taka traveta na magari makubwa ya mizigoo niseidie kujua gara zake nataka niazee kbla ya mwezi wanane au w9 km karama nitaweza kuimudu na inakua kwa muda gani...kila kozi
@@ashuuu282 Tutakufahamisha week ijayo gharama kwa sasa na muda wa kuanza kozi
Ada ya hr ngaz ya chet bei gani
Diploma Million Moja, Degree million na nusu.
Okay ngazi ya certificate inakuaje
@TonCroos Million moja pia
Okay thanks nataka nifanye udaili nip mtwar vp ipo camps ya mtwara
@TonCroos Dirisha la Maombi limefunguliwa unaweza kuapply kuhusu matawi Hapana Hakuna hakuna matawi sehem yoyote kwasasa kwa maelekezo zaidi Tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
Habr natak kusom course ya accounting and transport finance nimemaliz form four ntk kujua uwe na pass zip kusom iyo course
Uwe na pass agalau 4 kwenye masomo husika kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
Nahitaji kujiunga
Nahitaji nafasi
Nataka kujiunga ila mimi naisha kenya sasa nitajiungaje
Chuo hakina masomo ya online so utatakiwa kuja Tanzania chuo kina hostel nzuri na za kutosha.
Namba za viongozi au mapokezi huzika
Chuo cha udereva
Mimidreva
Karibu tukusaidie
Ada ya certificate n sh ngapi
Million Moja
Natak kujwa. Ad shingap
Mwanang anachet tu
Oky
Me nataka kujifunza udreva sijajua ada ni shingapi na vigezo ni vipi.
NIT hawatoe mafunzo ya udereva kwa watu ambao wanaanza, mafunzo yanayotolewa pale ni kupandisha madaraja ya madereva ambao teyali wanaujuzi huo lakini wapo waalimu wachuoni hapo ambao wanazo shule za udereva kwa wale wanaohitaji na gharama zao ni nafuu sana.
Naomba namba za mwalimu mwenye shule
Kuanzia ufaulu wa devisio ngap jamaniii mtu anaweza kujiunga na chuo cha usafirishaji
Angalau Uwe na D nne kwenye masomo yanayo husiana na course husika hiyo level ya Diploma kwa maelezo zaidi tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz
Mm nataka iyo transport and management nipo form 6 just now nipo
@@rizikothman169 Uwe na Principal Pass za Masomo mawili yenye point 4 yasiyojumuisha masomo ya dini utasoma Bachelor miaka mitatu,
Hostel na madarasa hapanashaka ni high quality mazingira tulivu.
Me natak kujua kama umemaliz form 4 alaf umepat B mbil
Kwenye kozi gan na Kozi gani ? maana kila kozi inamahitaji yake lakin kikubwa lazima uwe na pass 4 kwenye masomo ukiacha Dini lakini inategemea na kozi, kama hapo hizo B zako uwe na angalau D mbili tena hapo utakuwa unauwezo wa kusoma Diploma miaka mitatu ambapo ada yake haizidi Million na ikiongezeka labda na laki 2 ambayo hulipwa kwa mihula miwili ukiweza kwa pamoja yote karibu sana NIT naamini hautajutia kisoma hapa.
Ufaulu wa pass 4 ninao na je nikoz gani inayo husika na udereva wa magari makubwa
Kubwa san mzee
Pamoja sana Mr Julius ✌️
Naeza wajoin aje
Karibu sana hiki ni chuo bora Afrika mashariki kujiunga Tembelea website ya chuo www.nit.ac.tz na Dirisha la maimbi liko wazi
Nafurahi kusikia hivyo sabab nimechaguliwa hapo
Karibu sana
Me nataka kujua deleva ambae anaeweza kuendesha eidha fuso anaeweza kujina na coz ya mabasi ya abliaPSV
Temebelea chennel yetu week ijayo tutakuletea mazungumzo na wakuu wa idara ya usafirisha NIT
Nataka kujuwa veta ya kahama
Week ijayo tembelea Jmtz Media
Je ada yake kiasi gani
Ada inategemea na LEVEL ya elimu Degree au Diploma na course pia kwa maelezo zaidi tembelea Website ya chuo NIT ambayo ni www.nit.ac.tz
Nielekeze kuaply plz
Kwasasa dirisha la maombi bado, Kozi gan ulitaka kuapply ?
Waoooh nataka clear and fower
@@BeatherGustapha Level gani Diploma au Degree ?
@@Jmmediaonline diploma
@@BeatherGustapha Ordinary Diploma in Freight Clearing and Forwarding
Entry Requirements
1. Form IV with At least Four 4 passes excluding Religious Subjects. Or
2. Form VI with one principal pass and one subdidiary pass in the combination subjects. Or
3. Basic Technician NTA LEVEL 4 certificate in related field.
Duration 3 Years.
Unaongea sana brooh...watu tunatak kufham ada!!
Je hostel ni bure au watu wanalipia
hapana hostel unalipia nagharama ni nafuu sana na zinamazingira mazuri sana kwa maelezo zaidi wasiliana na uongoz wa huo au fika huoni.
Vp kuhusu kula na kulala inakuaje yaani malazi
Hostel zipo za kutosha na Canteen za chakula zipo zenye bei nafuu zaidi.
Samahani natak kuuliza hotel management ipo
Hosteli zipo nzuri na zakutosha jambo la mhim kana utapata nafasi ya kuchaguliwa basi wahi kufika
@@Jmmediaonline kozi fupi au ndefu na ada ni xhi ngp
@@princesssaly Kozi ndefu miaka mitatu, fupi kuanzia mwezi hadi miezi minne Ada inategemea na level diploma, degree au masters so kila level ina ada yake diploma Million moja, degree 1.5m lakini pia kuna Aviation mambo ya ndege ni zaidi ya hizo kwa usahihi zaidi tembekea website ya chuo
@@Jmmediaonline Ila mpk una na ufaulu wa D nne maan me nina C y kisw na D y geo cwez nikaxomea kozi fupi kwa alam zang
@@princesssaly unaweza fuatilia kwenye website ujue kozi fupi ni zipi na zinataka nn