Jussa wa jana na Jussa wa leo kwenye mapambano ya Zanzibar kwa kauli yake mwenyewe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 ปีที่แล้ว +8

    Viongozi kama hawa ndio wanaotakiwa hongera sana baba Jusa haturudi nyuma

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 ปีที่แล้ว +6

    Jussa tupo p1 inshallah ,one day tutasahau yote ayo inshallah 🙏

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 ปีที่แล้ว +1

    I am proud of you Ismail wewe Marshal💯👌

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah mimi nam
    cop Almaroohumu Maalim Ismail you was born to be Politician 💯👌,Allah akuweke wewe hadhina ya Wazanzibar...thanks

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah unajitahidi kiongozi wetu Ismail jussa nakupenda kwa ajili ya Allah sw
    Pambana tuko pamoja

  • @aliyabdullah1633
    @aliyabdullah1633 2 ปีที่แล้ว +3

    Muheshimiwa jussa mungu akuweke akupe umri mrefu hakika ww ndio pekee uliebaki kuikomboa zanzibar yetu na sku moja inshaallah zanzibar yetu tutaikomboa tutakua huru kwa uwezo wa allah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +6

    Allah akufanyieni wepesi mpaka zanzibar kamili

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 2 ปีที่แล้ว +3

    Sawasawa kiongozi Allah atatufikisha safari yetu ya zanzibar kamili ❤️

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 2 ปีที่แล้ว +5

    Ismael Jussa ni Icon ya Chama chetu cha Act wazalendo' Insha'Allah tunahitajia uje Ugombee Nafasi ya Rais Zanzibar.

  • @idrisaaliy9847
    @idrisaaliy9847 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akueke jussa

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 2 ปีที่แล้ว +3

    A true patriot and a true Zanzibari who never shook or lost hope

  • @saidisaidimohd4034
    @saidisaidimohd4034 2 ปีที่แล้ว +4

    Mheshimiwa kilaninapo kuona na kukuskiya hotuba yako bado naendeleya kutokwa na machoz namkumbuka sn maalimu seifu mungu amlaze mahala pema peponi na sisi mungu atujaliye kile alichotuwachiya tukitimize kugonbowa nchi yetu.

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว

      Huko peke yako

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว

      Mie ndio nasangaa kuona watu ikija mchango wanachama wengine au Wazanzibar wengine waseme wamechoka hawa uzalendo wao una mapungufu

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 ปีที่แล้ว +6

    Naona raha kumsikiliza mhe. Jussa

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 ปีที่แล้ว +3

      Hujanishinda mimi😊

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 ปีที่แล้ว +3

      Ah naona mimi ndio no 1 sichoki kumsikiliza 😃 baada ya Maalim anafata Mheshimiwa Jussa

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 ปีที่แล้ว +3

      @@nailamohd7693 wananisuuza roho yangu wallah uyo maalim alikua ananimaliza asa Allah amrehem nlitaman sku moja awe raisi wetu yani nlikua Kila siku naivutia picha siku akiwa raisi😓

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 ปีที่แล้ว +1

    inshaallah mimi ni UK mwaka wa 20 sasa lakini naamini hawa wanafunzi wa Maalimu walio hitimu wakiikamata Zanzibar wataifanya Zanzibar kana Singapore kama lile lile len'go la Almaroohum Maalimu Seif Sharifu bin Hamad..

  • @abdullahomarabdullah6921
    @abdullahomarabdullah6921 2 ปีที่แล้ว +2

    Mh . Ismail Jussa namkubali mno na moja kati ya sababu n kwamba yy ni mtu ambaye ana uwezo mkubwa wa kujibu na kujenga hoja kwa namna zote ukileta hoja kihuni bas aweza kujib kihuni kliko ufikiriavyo na ukileta hoja kistaarab bas yy ni mstaarab mno kwa hvyo ngoma ichezwavyo ndivyo ipigwavyo...

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah hongera sana

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha ALLAAH

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 ปีที่แล้ว +3

    Sawa sawa

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 ปีที่แล้ว +1

    اطال الله في عمرك يا الرجال

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi.

  • @saidmaulid4478
    @saidmaulid4478 2 ปีที่แล้ว +2

    Kabisa kheri kubwa

  • @jumamuhd620
    @jumamuhd620 2 ปีที่แล้ว +1

    Bado hatujakata tama ,Mapambano yanaendelea mpaka tone la mwisho la damu yetu.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว +2

    nasie wanachama pia tulikuchangia kwenda kusoma

  • @saidkhamis9125
    @saidkhamis9125 2 ปีที่แล้ว +2

    Hizo mashine zenyewe zishawashinda

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 2 ปีที่แล้ว +4

    Gd

  • @aliiissa1052
    @aliiissa1052 2 ปีที่แล้ว +1

    SEMA sana lakini kwa urais mtaishia kunawa

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 6 หลายเดือนก่อน

      Kama Mungu ni baba yako basi wataendelea kunawa
      Ila kama Mungu yupo basi inshaallah siku akiamua tu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +1

    Jusa kumbaro

  • @zakfarah5949
    @zakfarah5949 2 ปีที่แล้ว +1

    This man is an Arab