Za CD watu hamnunui original mnaishia kuingiza kwa flash na kuburn CD vibandani lazima ale hasara... Ndo maana watu wanakomaa na TH-cam tuu kwa movie fupi fupi kama hivi anarusha matangazo anaripwa na views zikiwa nyingi analipwa na TH-cam mambo yanaisha
International comedians. Joti,sopa, Kipande. Ushauri.itakua vyema muweke subtitles ya kiingereza ili mkamate Dunia. Lakn Sopa bana uwa ukiwa unaact kama pedeshe huwa cheko lako ni balaa yaani kweli la kipedeshee. Hahha
hahaha mm naomba kwa anayejua hilo tangazo la mr kuku lina maanisha nn na kwa hiyo lakin7 utakayowekeza inakulipaje tufanye kwa miezi yote 10. yan ile 4 ya mwanzo na sita ya mwisho kwa miez yote hiyo unapata faida ya kiasi gani?
Wakubali wakatae jot ndo mchekeshaji bora kwa sasa baada ya kufa mfalme mzee majuto kuna mtu anamfananisha jot na dull van dah jaman yan apo ni sabuni na kichelema
Aliyecheka kwa sauti kama Mimi tujuane😆😆😆😆Joti fala sana
@꧁ TAE ꧂ LOVE na nusuuu😆😆😆
Hahaha fala sana
Acha tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😃😃😃😃
🤣🤣🤣
Duuuuuh mmenishinda tabia😂😂😂😂like kwa joti na kwangu plzz kabla mb hazijakata wadau
Mchekeshaji bora wa muda wote jamaa anajua sana🔥🔥🔥
Joti unafaa utuaktie movies ndefu ndefu ili tuwe tukinunua CD za kuinjoi na family zetu majumbani
Za CD watu hamnunui original mnaishia kuingiza kwa flash na kuburn CD vibandani lazima ale hasara... Ndo maana watu wanakomaa na TH-cam tuu kwa movie fupi fupi kama hivi anarusha matangazo anaripwa na views zikiwa nyingi analipwa na TH-cam mambo yanaisha
His Excellence Mwangi Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
kbsa
@@Fgldesignsni kweli kabisa yaani
Joto is my no1 comedian love from kenya 🇰🇪
Kama unamkuubali Joti twende Pamoja😂😂😂😂👍👍👍👍
MIMI NAMKUBALI SANA JOTI NI BEST COMEDIAN EAST AFRICA KAMA UNAKUBALI GONGA LIKE TUJUANE ALAFU NJOO HUKU PIA 👇👇👇👇
👉ASALI ONLINE TV👈
Matha mwaipaja song
Matha mwaipaja song
Kumbe wote wake zake😅😅😅😂😆hiv joti unann wew khaa
International comedians. Joti,sopa, Kipande.
Ushauri.itakua vyema muweke subtitles ya kiingereza ili mkamate Dunia. Lakn Sopa bana uwa ukiwa unaact kama pedeshe huwa cheko lako ni balaa yaani kweli la kipedeshee. Hahha
Ni kweli kabisa
Kama umeona alipofika kwenye meza aliweka kitambaaa alafu ghafra kitambaa kimerudi begani like yako hapa
Ilo buti alilo pgwa nikwere woohf big up Sana 💪 hahahaha 🙈
Jot siu act move bhn unaweza hatr sana
Japo nimechelewa lakini siwezi kupita bila ku comment ukijiona umechelewa kama mimi like hapo twenzetu
Karusha taulo kabla hajakaa,anakaa tunamuona na taulo Tena begani director vepe!! But good job
Uko makin kumbe umeona icho
umetisha kwa umakin
Kumbe wengi tumeona
tatz co director ni editor
Wabongo mpo🔥🔥🔥🔥 nilijuia nitakuwa wa kwanza cha ajabu nimejikuta wa 1011 dunia IPO kasi sana
kama una mpenda joti like apo chini
ANaniwachaga hoi yuko vzr
hahahahaha
Kumbe wote wake zake
Hatali sana
@@fridambosa1002 ni mchekeshaji sana he make us be happy
Sopa tajiri akeeeee, nakuzimiaga Sana huwa unafaa hiyo nafasi jmn. Na kicheko Cha kitajiri😂😂😂😂😂😂😂👏👏 Naomba kuwa mke wa tatu hapo
Mnabeba beba nondo pk vifua km m beba nondo 😅😅😅like
Mmh nilijiona wa kwanza 06:06 kumbe watu tayari washavamia kambi duuh data ziko ON mda wote .inabidi tcra watoe tuzo za mapopo mtandaoni duuh
😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri joti endelea kutupatia raha
Mnabeba nondo mpak mnaonekaña mna maziwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🔥🔥
Super💥⚡💥 like twende sawa
Kila siku nachelewa mimi dah mnafanyaje jamani na kupata likes????
Nage Plus Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
Ukitaka kupata likes amka saa nane usiku alafu fua nguo za watu wote hapo kwenu utashangaa asubuhi unakutana na likes 100000 mlangoni
Nimerudia kuangalia tena
Umewahi
😂😂😂😂,mkenye Alie ndani acheke na mimi
In the house
Karibu
Me ni m bongo lkn nimecheka sana
😂😂😂😂😂😂😂 best comedian of all tym
Ferouz nation Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
Sema Joti huwa unajua saana ku act
Wewe ni nomaaa
Natamani nikupe mkasa afu uufanyie kazi man mzuri sana
Nakukubali sana joti endelea kukaza kila ijumaa mzee baba
daah hawa jamaa kwa kudis hatali sana, nawakubali sana
Sopa bwana anajikutaga Papa musopa 😂😂😂😂
Sema Huo Mlio wa mteke Nimeuelewa Mno yani Booooh
Nimechek jmn😀😀😀😀Hv jot mzima ww
Mpenz wa joti leo nimewahi like 10 tyu
From Europe Watching !!!!
Yusuf Mohamed Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
Yani teke ilo limenivunja mbavu🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Mimi Leo WA kwanza
Haahaa big up brother joti
Mkn xn boy nimeipendaa
Number 1 kwa Joti like please.
Hahaha joti dunia nzima hayupo mpinzani big up you
Kazi kwl joti
😂😂😂 daah joti noma kweli
Ahahaha mko tu sawa
Tuloshtuka kwa lile buti tujuane
🤣🤣et naona mbuga umeitawala peke akooo🤣
Anakula swala peke yake.
hahaha mm naomba kwa anayejua hilo tangazo la mr kuku lina maanisha nn na kwa hiyo lakin7 utakayowekeza inakulipaje tufanye kwa miezi yote 10. yan ile 4 ya mwanzo na sita ya mwisho kwa miez yote hiyo unapata faida ya kiasi gani?
Kumbe wote wake zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakika Mungu si mcchoyo wa kugawa vipawa, Kila mja wake anamkadiria vile awezavyo.
🤣🤣🤣🤣 ahh kudadeki
#### niambie bebeey ######
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnabeba nondo mpaka vivua kama kuko maziwa 😂🤣🤣🤣🤣
Sopa tajiri, huyu jama anajuwa ku act kama rich man kbsa. Nipe like kama unakubali basi... 😉
Yeah kabixa tim yake iko vizuriii
Kazi ipo
Joti chizi sanaaa weweee 😄😄😄😄😄😄
😂😂😂kumbe wote wake zake kiini cha yai
Kama unamkubali joti ngonga like hapa
Thanks
@@lucymgeni3208 ?
Aaaaaahaa Joti nomaaa,Nilitaka kujua tu vyakula vilivyopo.
Wa kwanza ku like
Mbaya ww kama buti alilipigiwa joti 🤣🤣🤣🤣🤣
Ussi Ali Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
joti ni king of comed
😂😂😂joti kha
Vzr kipande
Joti mlemavuu mamaaaaa weeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha Eti mnanyanyua vyuma mnavimba vfua utafikili mnamaziwa
Hahahaha nouma sana eti mtu aliekaribu na serikali
Rekebisheni sound aisee.. inakua chini sana
Vijana balaa
Koreshen Mubarak Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
😳😂Sio kwa mbuti huo 😆😂😂
Wakubali wakatae jot ndo mchekeshaji bora kwa sasa baada ya kufa mfalme mzee majuto kuna mtu anamfananisha jot na dull van dah jaman yan apo ni sabuni na kichelema
joti bhn 😀😀😀
Joti more love to u
Umetisha mzee
#Joti Fayaaaa
Angalieni vyombo vyenu juu sauti zenu chini tu sana
Namuku Bali sana jot na vijana wake
Eeee kumbe wote wake zake😂😂
Daaaah umemwanzia mbali alafu huna uwezo wa kununua baa😂😂😂
😂😂😂 joti mpuuuzi snaaaa
Aliegundua hapa ni last minute kwa irene uwoya 😇😇
Sio hapo
We jamaa unafanya poa sana, joti keep it up bro
Joti dadaki zako wanifanya nacheka km fala 🤣🤣🤣
Watakuuwa mbwa wew 😂😂😂😂😂😂
Nimeipenda hii
Mmetisha sana TukutaneWAKUBWA tu
Like zenu apa mie wakwanza kama unamkubal kipande gonga like twende sawa
Watoto wabaya sana
😂😂😂😂😂 Yani kabla haijaisha nimecheka sanaaa
Sure ukiwa na ela kila m2 anataka kuwa rafiki yko
Aliyeona glass ilikuwa na kinywaji anapo simama joti gafla glass likawa empty alipo Anza kwenda kujazia kete iliyo pungua
Noma sana mzee baba
Naona mbuga umeitawala peke ako😂😂😂
Namkubali joti na Tim yake gonga like twende sambamba
Nuru habari Mapunda Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
Joti hongera sn kwa kufurahisha
Tuna miss dada kiboga
Ivonne Ramadhani Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
Hahahahaha hahahahaha joti kichaaa kweli
Hahahahahaah,eti mi nipate kiini cha yai
Oya joti nimecheka Sana
Mamaaaa Eeee amepigwa moja
kigoma boy1 Mapishi ya waffles 🧇 tamu th-cam.com/video/fydLyDFqh4A/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhali
Ilhaam Marshed pamoja
Hahaha’ Mtoto Joti MAKU sana Huyu jamaa zangu....!
Hahaaa eti "Mbuga umeitawala peke yako"
Apo mwisho ungewaweka wajuba wanaenda kuzika🤣🤣
Kweli kabisa joti ina bdi utuektie Movie ndefu ndfu
Akili zaki 😄😅😅dah hilo but
Hahahhhh nouma sanaa
😂😂😂😂😂😂😂😂