NILIFUKIWA CHINI YA KABURI .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #ariseandshinetanzania #2023mwakawabaraka #mwamposalive

ความคิดเห็น • 54

  • @Suaad-gp7dk
    @Suaad-gp7dk 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa sada Issa naomb kwa ajil ya na tatizo yangu ya mwili yaishe nunaamin yataisha amen

  • @missmaudodo1970
    @missmaudodo1970 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MariamKasekwa
    @MariamKasekwa 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie mtumishi🙏

  • @anthonyngetich1810
    @anthonyngetich1810 7 หลายเดือนก่อน

    God is great

  • @johnokuyu
    @johnokuyu 6 หลายเดือนก่อน

    Waeeeain 🙏🙏🙏 ameeein

  • @PilikaFaidon
    @PilikaFaidon 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-jv2nm6vo9g
    @user-jv2nm6vo9g 2 หลายเดือนก่อน

    Mbonaaaa mwema anatenda

  • @hellenusiri2930
    @hellenusiri2930 11 หลายเดือนก่อน

    Amina baba hakuna wa kutuloga tukiwa kwenye upako wa mtume

  • @ibrahimu-xn6ey
    @ibrahimu-xn6ey 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuzidishie siku

  • @EnjoKyungu
    @EnjoKyungu 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu kupitia Ibada hii naomba utusaidie tupate nyumba yetu wenyewe ya kuish

  • @AizakJohnsikumoja
    @AizakJohnsikumoja 4 หลายเดือนก่อน

    Aizak John, sikumoja,Leo napokea, uponyaji, navunja Kila, chemichemi, za,kichawi, ee,mungu, naomba nipone, bega langu la mkno wa, kushoto, nipone, kwajina la yesu

  • @richardngailo9550
    @richardngailo9550 9 หลายเดือนก่อน

    katika madhabahuu yako naomba kukubaliwaa ombi langu la barua ya Katibu mkuu kujibiwaa na kubadilisha kazi

  • @JosephineMhando
    @JosephineMhando 9 หลายเดือนก่อน

    Kupitia operesheni hii komboa familia naomba Yesu ukaniwezeshe kulipa madeni yangu kiurahisi sana kabla ya mwka huu kuisha

    • @MerryKanduku
      @MerryKanduku 8 หลายเดือนก่อน

      Uperesheni koboa familia

  • @PriscaAmos
    @PriscaAmos ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🙏

  • @AlexAlex-kf1eg
    @AlexAlex-kf1eg 11 หลายเดือนก่อน

    Napokae kwajina kuu la yesu

  • @Happywilliam-us3hc
    @Happywilliam-us3hc 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba Nipate mtaji kirahisi

  • @Amimumfaume
    @Amimumfaume 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mwezi huwu niwe tajiri.

  • @uwaberaHenriette
    @uwaberaHenriette 6 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Henriette FROM RWANDA saiv naomba kwajili YA dada.dada yangu anashid kwasababu mimba zake zote 5 ziritoka akaja huko mukamuombea lakin mwisho alibeba mimba zaivi yupo hospitalin walimufanyia operation huku rwanda mimba ilikuwa una miezi 7 mutoto alikuwa mzim lakin mutoto amemariz week Moja lakin mutoto saiv sio sawa tunawomba umuombee mungu amupe uponyaji kwajina la bwan AMEN

  • @genetrixatsieno8502
    @genetrixatsieno8502 ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏

  • @SadruMsuya
    @SadruMsuya 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipate biashara na amani kwenye ndoa yangu

  • @user-zp1vj3sfgd
    @user-zp1vj3sfgd 7 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na oparetion kombiná familia

  • @MagrethMadila
    @MagrethMadila ปีที่แล้ว +1

    Mtume nakuja tena kutoa ushuhuda wangu maombi yamkesha wa tarehe7/7/23.niliweka maombi yangu 12 mtume leo hii nasema nimejibiwa maombi yangu baazi lakini imani kuuubwa mungu yote utanjibu

  • @MarySindy-jw7is
    @MarySindy-jw7is 8 หลายเดือนก่อน

    Nimejiunga nisha na Channel ya aries and shine sasa naona bado haifunguki na nimelipia elfu mbili tayari

  • @EsterIsack-pn6ip
    @EsterIsack-pn6ip 9 หลายเดือนก่อน

    bwana yesu abewe sifa mtu me mimi natwa adasa niko chamwino naomba niombee nipate kazi mchumba wangu aludi maana amekimbiya amepata shoti ya laki nne mtume mimi nimekuwa ni mtu wakutumi wa na wanaume nakuachwa mchumba wangu anatwa eyudi mtume naomba nisaidiye mwanangu kila siku wa mwisho shule mtume naomba nifungu liwe

  • @MariamMariam-pg7uz
    @MariamMariam-pg7uz ปีที่แล้ว

    Amiina nakombolewa kwa jina layesu

  • @user-mv7km8lt5j
    @user-mv7km8lt5j ปีที่แล้ว

    Naomba nipe mme Bora kuna mtu nampenda napenda nayeye anipende kama jisi ninavo mpenda🙏🙏

  • @GiftBruno-v3v
    @GiftBruno-v3v ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @user-mv7km8lt5j
    @user-mv7km8lt5j ปีที่แล้ว

    Amena

  • @AlexAlex-kf1eg
    @AlexAlex-kf1eg 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu atende ishara na maaajabu nisiwewakawaida kazinikwangu mvua ya pesa ikanyeshe kwa jina la yesu

  • @angelinavalentim
    @angelinavalentim ปีที่แล้ว

    Amém🙏

  • @MeryMrema
    @MeryMrema 11 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa jina la yesu

  • @kamadewakioi1124
    @kamadewakioi1124 ปีที่แล้ว

    Mimi upendo sifueli mtui naomba mdogo wangu happenes sifueli mtui arudi nyumba maana kapotelea Kenya mda mrefu popote ulipo heppy Mungu akufanyie wepes urudi haraka napokea kwaharaka Amen.

  • @IzakiKikoti
    @IzakiKikoti 4 หลายเดือนก่อน

    Mim kwa majina izaki mzaliwa iringa tupo pamoja sana

  • @morrsshija8184
    @morrsshija8184 ปีที่แล้ว +1

    Mfungue mama Yang u

    • @apiamtega8643
      @apiamtega8643 ปีที่แล้ว

      Mungu naomba nisaidie nifunguke afya yangu

  • @user-jv2nm6vo9g
    @user-jv2nm6vo9g 2 หลายเดือนก่อน

    Naitwa asha nahamini napokea muhujiza

  • @AdamRobert-qj1tc
    @AdamRobert-qj1tc 6 หลายเดือนก่อน

    Nataka niongezeke kimafanikio zaidi...

  • @JosephineMhando
    @JosephineMhando 9 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na operrsheni komboa familia kupitia madhabahu hii ya arise and shine nipate kazi nzuri,biashara yangu pamoja na mafao yangu nilipwe kiurahisi kabisa

  • @JoyceTumlumbage
    @JoyceTumlumbage 8 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha nwe wamposa

  • @user-zp1vj3sfgd
    @user-zp1vj3sfgd 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba nifanikiwe kirahsi mitaji mbolea pesa mazao uchumi

  • @monikarenatus2391
    @monikarenatus2391 8 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu ninach fanya kinaishia njian....najiunganisha na opereshen hii...nifanikiwe....napia robo ya maden itoke kwajinala yesu

  • @EdinaDettu
    @EdinaDettu 4 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba nipone magonjwa yangu yote najiunganisha naoporesheni komboa familia

  • @uttlunilevercontrolroommuf1359
    @uttlunilevercontrolroommuf1359 ปีที่แล้ว

    Kupitia imani niliyonayo nataka nipone kutokwa na uchafu na nipate ujauzito naamini nimepokea

  • @MagrethMadila
    @MagrethMadila ปีที่แล้ว

    Kupitia mazabahu hiii piter magudi alitapeli pesa zangu nyingi nakuharibu historia ya maisha yangu lakini kwa imani hiii ya mazabahu hiiii mungu hatoniacha kamwe kamwe kwani hapa nilipo mungu amekwisha tenda barikiwa mtumishi wa mungu

  • @monikarenatus2391
    @monikarenatus2391 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @user-my6pz6cs9c
    @user-my6pz6cs9c 10 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @khadijakupela2381
    @khadijakupela2381 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @user-mv7km8lt5j
    @user-mv7km8lt5j ปีที่แล้ว

    Naomba nipe mme Bora kuna mtu nampenda napenda nayeye anipende kama jisi ninavo mpenda🙏🙏

    • @richardngailo9550
      @richardngailo9550 9 หลายเดือนก่อน

      naomba kubadilisha kazi kuhamia ukaguzii ..ehee Mungu nisaidie

  • @sabrinangalasi8423
    @sabrinangalasi8423 ปีที่แล้ว

    Amen🙏

  • @user-zp1vj3sfgd
    @user-zp1vj3sfgd 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba nifanikiwe kirahsi mitaji mbolea pesa mazao uchumi