🚨Alikamwe Alipuka kuitwa Timu ya Supu,Atangaza balaa linakuja,Tiketi zinakimbia.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

ความคิดเห็น • 28

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 หลายเดือนก่อน

    Kkkkkk Supu tatizo mnaendekeza sana vibudu

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

    Ticket zimejaa kitaa za simba! Haina maana!

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv หลายเดือนก่อน

    Wwni shoga mtangazaji

  • @Stephano722
    @Stephano722 หลายเดือนก่อน

    Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza yanga hatamkiwasifia yanga ni timu ndogo saana kwa dume la Simba na kila kitu wanaiga

  • @fardamkali5866
    @fardamkali5866 หลายเดือนก่อน

    Inaelekea zile supu zilikuwa zinawauma kwelii😂😂

  • @ANNAMLAKI
    @ANNAMLAKI หลายเดือนก่อน

    acha walendo maisha awo simba awana pesa zakula supu

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 หลายเดือนก่อน

    Supu za club ya YANGA, uwanja wanaenda wapenzi wa yanga ❤❤❤ tunahamasishana sisi! Yanga inaingiza mashabiki kila siku 😂😂😂

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m หลายเดือนก่อน

    Wasaidieni hata ninyi wasafi mmekuwa 10 pamoja na manara aly kamwe na wale 2 jumla 12

  • @AloyceSiwingwa
    @AloyceSiwingwa หลายเดือนก่อน

    Kama uwanja umejaa tiketi zinazozinazopatikana zinatoka wapi?wachambuzi mlionunuliwa na Simba acheni ukuda

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 หลายเดือนก่อน

    Mnazingua bhana acheni utoto supu iyo vip..?

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

    Kitu cha ajabu nini?! Supu inawauma saaaaana! Na supu tutaendelea kuinywa! Supu inawakera kwa sababu ilianza baada ya kipigo cha 5-1🤣🤣 supu mkumbuke ni gharama🤣 Na hatuachi🤣

  • @Stephano722
    @Stephano722 หลายเดือนก่อน

    Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza yanga timu ya Wala supu jezi vitenge vyaharisi wazee wa kujikuza subilieni🎉 ❤ wake zetu❤❤

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 หลายเดือนก่อน

      @@Stephano722 kuna Adam na Hawa
      Sio hawa na Adam,mpaka hapo utakuwa umelipata jibu nani mke kati ya Yanga na Simba

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 หลายเดือนก่อน

      @@Stephano722 Na usubiri tarehe 8 upakatwe tena ndo uanze kulialia

  • @user-td4nv5rq2v
    @user-td4nv5rq2v หลายเดือนก่อน

    Jumamosi uoneshe tiketi ndio unywe supu

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน

    Wakitaka ticket ziishe wawapikie supu washabiki wao

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 หลายเดือนก่อน

      Kweny supu Makolo kibao wanakuwa

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    kumbe bado unazo wenzio wameshasahau hukoo supu Fc

  • @amangeza9623
    @amangeza9623 หลายเดือนก่อน

    Kwani watangazaji wa Tanzania na wachambuzi ni vipofu au kumbukumbu zao hazina kumbukumbu? Tulejee miaka Simba inachukua ubingwa Mara nne mfululizo, taarifa ya tff ilikuwa inasema timu gani ilikuwa inaingiza mapato mengi kuingia viwanjani? Msimu uliopita ni timu gani kwenye mechi zake za mikoani zilikuwa na watazamaji wengi?

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅supu kama supu hao wanasubir jumamos waambiwe kiingilio bute

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 หลายเดือนก่อน

    Nguruwe fc mbona povu

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน

    Wacha zikimbie sisi tumesha pumzika na hizonbio za ticket

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h หลายเดือนก่อน

    Rasta fc.

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani TANZANIA Ina Wachambuzi Wa Hovyo Sana Katika Nchi Yetu Wapuuzi Sana Nyie Wachambuzi Wajinga.

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 หลายเดือนก่อน

    Supu sport club😂😂

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA หลายเดือนก่อน +1

    WAZEE WA SUPU. Nasir KHALFAN wewe ULIWASIFU YANGA KUINGIA BURE NA KUPEWA SUPU ZA BURE... AACHA WATUMIE NGUVU......AHMED ALI ANAWAZODI NYINYI WOTE HAPO WASAFI....

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 หลายเดือนก่อน

      Endelea kurukaruka utatulia tu,bado yaan hapo bado,subiri ligi ianzee mtatulia

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 หลายเดือนก่อน

      Anawazid nini😂😂😂 labda anawazid kuwaongopea madunduka