Movie imejawa na vilio tupu poleni tuliofulahia kuona Zatiti mjamzito plz like Rahma umenitoa machozi kweli kukosa mtt ni maumivu Allah atujalie wanawake wote tupate baraka ya watt
Ila tujifunze kutoatoa mimba pia vichambo kwa mawifi zetu sio vizur huyu rahma kaongea mengi kwa zatiti huyu kumbe yeye na kaka yake ndo hawana vizazi 😂😂
Unaambiwa usitukan mamba kabla hjavuka mto ndo hya ynamtokea rahma,,,ila candy unazengua kichaangu kitakuramba ujue,,,kutesek kwa Lana y mama nwapenda bure❤️❤️❤️❤️❤️
Chiko unachokifanya sio sahihi unjuwa huna uwezo wakupeana mimba😢 poleni sana familia y kibendu 😢rahma nkupe pole ila malipo n hapa duniani😩😢zatiti Mungu akujslie afya njema 😊kweli baada y dhiki faraja 👌
Rahma wacha kikurambe, unakumbuka vile tu ulikuwa unatusi zatiti,tena ulikuwa unazigatia chiko afukuze yy,what's goes around comes around 😂😂😂😂😂ni zamu yako sasa
Wap busati tv na kazi yake mashallah raham pole san nimapito ayo hila sania na ww jirekebishe mafazi bas aya utaenda kwa kina kibendu naguonzako za kitoto hzoo hila misiba juu ya misiba 😭😭😭 tumetoka kwa dida tumekuja kwa pembe tumekuja tena kwa tesa 😭😭 tumekuja tena kwa mama kibendu 😭😭😭😭
Sasa rahma MAWAZO na machozi ya Nini bwana anakutaka na anataka ndoa na wew sas shida nini mpaka Kwa mawifi na madada au ujui mawifi ni miji😅😅😅😅😅😅 mawifi siku zote ni wa😊😊😊😊
Yaani hii move ukiifuatilia vizuri klna kwa makini ikona mafuzo mengi xan nipeni like tukisonga
Sanaaa wallahy mm imenifunza pakubwa
Uzipeleke wapi
Jamni nimejifunza mengi sana
Hongera zatsitsi natacya
Wallah tena
Yoyote atakae soma message mungu amtie nguvu nani wa kwanza leo jaman😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤
Finally zatiti ana mimba soon ataitwa mama. Nipeni like
Tang nianglie house girl sjawah pata like jaman 😢npen ata mbili n mm .....congrats 🎉busati TV kwa move poa ya kuelmisha
Ww ni mkenya au mtanzania 😂😂😂😂
@@ImaeImae-p3vmkenya
Wagalia house girl
@@zainabkutwaa3327yeah since the first episode upto now naipenda san❤❤
Kiramba arudishie mke wake wazamani, huyo wasasa awekwe sehem nyingine inayo mfaa.
Ambao tunaona kwamba candy anaenda kutesaka kwa laana ya mama ake please tujuane hapa ❤❤😢😢😢❤❤❤❤❤❤😢😢😢
Tena ateseke kabsa
Ateseke haswaaa
Na uzuri WA laana haiumi kwamba atakwenda kwa mganga ngonde 😂😂😂😂😂😂
Ateseki mama kamsamee mana analia kwa uchungu
Atapata uchuzi
Nimefurah zatiti amemwambiya rahama kwamb anenda kuitwa mamam jamn tumpeni hongera mr tasha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Aliyefurah zatit kushka mimba..,gonga like hapo
Au walianza mambo wakiwa kijijini😅😅😅😂
Tulio furahi zatiti kua mjamzito tujuane hapa❤❤
Tupo apa tacha apewe maua yk
🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊
@@LatifaLatifa-o4i mengi sanaaa
Rahma ulisahau kuwa malipo ni duniani 😂😂😂 candy zam yako inafata, chiko pia sjakusahau👇
😂😂😂😂🎉🎉🎉sawa nimekuskia
Rahma pokea maua yako❤❤❤ unajuaa Mungu azid kukuzidi kukuinua kwenye kipaji chako
Amiin kipenzi ♥️
🎉🎉
Movie imejawa na vilio tupu poleni tuliofulahia kuona Zatiti mjamzito plz like Rahma umenitoa machozi kweli kukosa mtt ni maumivu Allah atujalie wanawake wote tupate baraka ya watt
Allahumma amin inshaallah
Maumivu makali sana,yaskie tu usiombe yakufike...ameen Yarrab
Ila tujifunze kutoa toa mimba si kitu kizuri majuto mengine ya kujitajia kama hayo ya rahma
Allahumma amiin yarabby❤❤
Ila tujifunze kutoatoa mimba pia vichambo kwa mawifi zetu sio vizur huyu rahma kaongea mengi kwa zatiti huyu kumbe yeye na kaka yake ndo hawana vizazi 😂😂
Kwakweli toka nianze kufatilia hii house girl sijakua wa kwanza ila leo nime wahi ❤❤❤❤from kenya
Rahma kimempata 😂😂kasongo yeye, mombali nanga,
kasongo mbona wewo,
songali nanga, wo- yeye kasongo mbona wewe
mbona wewoooooooooh
Sasa kasongoo tena😂😂😂😂😂😂
Kasongo yeye mombali nanga
Aki wewe 😂😂😂😂
😂😂😂𝒋𝒂𝒎𝒂𝒏🙌
😂😂😂😂😂😂
Hongereni mashabiki wa house gari endeleeni kufuatilia house gari asanteni nawapenda pia ❤❤❤❤❤😂😂
Rahma jamani unajua sana chukua 🎉🎉🎉 yako kipande chako umekitendea kazi
Chikooo utakufa masikini punguza roho mbaya,sijiui umenielewaaa😅😂
😂😂😂😂😂😂😂
Habari zenu wazima mchezo wenu sasa umegeuka vilio.hebu angalieni mchezo wa dunia
Like kwa anayoyapitià Rahma jamani 🥰🥰🥰
Anavuna alichokipanda
malipo ni hapahapa😂😂😂😂
Na uyoo wifi ake xaxa jmn
Mwana kulitaka mwana kuliget
Mwana kulitafuta mwana kulipata😂😂😂😂😂
Rahma chukua maua yako🎉🎉 unajua kucheza part yako vizur watching from saudia Arabia ❤
Ndugu yake chiko😂😂❤❤
Shukrani kipenzi
Unaambiwa usitukan mamba kabla hjavuka mto ndo hya ynamtokea rahma,,,ila candy unazengua kichaangu kitakuramba ujue,,,kutesek kwa Lana y mama nwapenda bure❤️❤️❤️❤️❤️
na vile rahma anapnda huo msemo wa usirukane mamba .....leo imemtokeaa
Chiko unachokifanya sio sahihi unjuwa huna uwezo wakupeana mimba😢 poleni sana familia y kibendu 😢rahma nkupe pole ila malipo n hapa duniani😩😢zatiti Mungu akujslie afya njema 😊kweli baada y dhiki faraja 👌
Chiko leo umetubagua ndugu zako wa oman aujatuaalika kwenye yako furaa sawa bwana
😂Eti Saudy Arabia, Oman Kenya koteee😂😂🙌
Hongera Zatiti kwa kupata Ujauzito🎉🎉🎉
Wakwanza mimi hap natak natak mutu yoyote anapend hiy movie tusarimiyane kwanza❤🎉
Ila chiko bwana yeye mwenyewe hana uwezo wa kuzalisha anavomsema dada ake sio poa😢😢
Hata Mimi Sina huruma na rahma alimtesa Sana zatiti wangu ... Ila mungu fundi .
Sania kumbe una roho nzur❤❤❤
Waigizaj wa house GIRL nawapa hongera san Kwa kazi nzur mnayoifanya pia nawaombea baraka katk maisha yenu na mungu awep mahitaj ya mioyo yenu
❤❤❤
🎉🎉
Yaan ningekua naela Leo nifanyia sherehe kwaajili ya zatiti atakama ni movie ilanimefurahi kinoma congatuleshen😂
Achaweee😂😂😂😂😂😂
@Orenj-l8d 😂😂
Rahma umeniliza part Yako inaumiza sana Pia nafurahi sana zatiti kushika mimbaa😅😅😅😅sijakusahau chikoo umenichekesha mpaka mbavu zinauma 😅😅😅
Candy na Rahmaa kuleni vyuma vya kutu❤❤😂😂😂😂 dawa ya moto n moto😢
Jmn nawapenda sana wanabusati nmekuwa wa Kwanzaa leo
Hongera sana zatiti🎉🎉
Hii move napenda sana mko vizuri sana jamani
Rahma shoga angu inauma eeeh😂😂😂😂!!!!❤
😂😂😂😂 Rahma bwana 😂😂😂kumbe anavuna alicho panda
hahaa bado candy, sania, chiko na kundi lake
Nikweli rahama ukipanda mahindi utavuna mahindi vuna ulicho panda kwa zatiti anaenda kuitwa mama
Ila mbona mwisho kacheka😂😂😂mbona simwamini na machozi yake kwa zatiti
😂😂😂😂
Ata nam simuamin kbx😂😂😂😂😂 yan ap mwish panaka utata@@shamillahsuleiman3431
Rahma malipo ni hapa hapa duniani yenye ilimfanyiq zatiti yamekurudia mwenyewe hahaha 😂😂😂😂
Unakera Sana rahma wai nenda bwana umezidi na ngonjera zako 😏😏😏😏😏😏
Mansha Allah 🥰🥰🥰
Chiko ni mkatili kweli, wafu wakazike wafu wenzao😂😂 en
Rahma muoshi uoshwa mama umesahau ulichomfanyia zatiti ww mdada matashtash kama yote pole mwaya🎉🎉🎉
Sania kapendeza leo Mashallah na ilo vazii ❤
Chiko we unaroho mbaya xan xhetna mkubw ww
Leo wakwanza kutoka burindi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 jameni naombeni like zenu
Rahma unajua kuuvaa uhusika hongera sana
Finally zatiti ana mimba ❤❤❤❤ya Tisha hongera,Rahma atajiuwa😢😢😢😢
Eh huyu chiko jamani anamisemo huwa ananifurasha eti kijoka ukuti nakipochi manyoya jamani ana maneno machafu lakin nampenda chukua maua 🎉🎉🎉🎉🎉
Movie inamafunzo kwa kweli wanafiki kuleni chuma hicho chiko na watu wako waroho mbaya 😂😂😂😂
Malipo ni hapa hapa. Shimo ulilomchimbia zatiti umetumbukia mwenyewe. Fundisho zuri sana
rahma Mungu analipa duniani kubali 2 masozi awe mkemwenzio utakosa kabisa mume
Move nzuri sana inamafunzo mengi Sana ❤❤❤
Mungu simjomba wa mtu zatiti hongera rahima piga got tu undelea kumuomba mungu
Wow zatty anakua mama weweeeeee jaman jaman jaman nmefurahi sana
Jamani nilisema Mimi zatiti ana dalili za mimba imetiki 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Leo nmewah jaman , nmefurahi sana yaan ila hii movie ni fire mpewe Maya yenu waigizaji wootee🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ila rahma uko vzr dada
554,,Rahma Karata yako 14:28 imenifunza sana.jamani wanao seme. kweli like hapa.🎉🎉🎉🎉🎉
Wee zatiti acha kumuita wifi Rahma wifi yako ni mm hapa nikupate unamuita Rahma wifi nimwambia kakangu Tasha 😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉
😅😅😅😅😅au sio
Rahma wacha kikurambe, unakumbuka vile tu ulikuwa unatusi zatiti,tena ulikuwa unazigatia chiko afukuze yy,what's goes around comes around 😂😂😂😂😂ni zamu yako sasa
Jamaniii move pambe ilah zuu mnamficha na jasmine
Hongereni ila kwa sasa hv mnachelewa hamko kama mwanzo wa season
Yan chiko ana majina mabaya ya kubandika wezake 😅😅😅😅😅
Wap busati tv na kazi yake mashallah raham pole san nimapito ayo hila sania na ww jirekebishe mafazi bas aya utaenda kwa kina kibendu naguonzako za kitoto hzoo hila misiba juu ya misiba 😭😭😭 tumetoka kwa dida tumekuja kwa pembe tumekuja tena kwa tesa 😭😭 tumekuja tena kwa mama kibendu 😭😭😭😭
Nyie rahma anajuaa jamanii hongera kipenzi mauwa yako🌹🌹🌹🌹🌹
Hongera Zatiti kwa kutuheshimisha na wewe kupata heshima Zatiti hoyeee tusubiri chiko awe chizi kwa hili
Pole rahhma kwa unayoyapitia
Chiko arasara ndakesera eti asante Mungu😂😂😂
Dada lahma oyeee unajua gisi ulikuwa unamtesa zatiti nawewe Léo inakugeukia waooo❤❤❤
Ila chiko😂😂😂yatakukuta na wewe
Hiyo kwaher anaenda kujua uyo hakia mungu
Pole sana rahma hakika malipo hap hp dunian pia huyu chiko jaman anarohombaya kias hk
Hiii move kila siku wa2 wanaongezeka kama unakubaliana nami 🎉
Walikuwepo sema sehem yao ilikuwa bado
Last born chiko 🤣🤣🤣🤣🤣 waachw wafu wazike wafu zaoo
Naombeni muje muangalie video zangu
Pole sana rahma malipo nhapa hapa duniani yenye ulifanyia zatiti Sasa n wew
Ongereni Sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Movie ni nzuri sana jaman inatufunza Mambo mengi sana❤❤
Daaa chiko unanipa furaha jamani hivi unatoa wapi hayo majina unapaka watu😂😂😅😅
Leo kimekuramba sania kwa swaiba wako chiko😂😂😂 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
Naombeni muje muangalie video
Rahma hongera kwakujua kulia,ila pole kwa unayopitia,naujifuzde jinsi yakuishi na watu,fikiria ulichomufanyia zatiti
Wakwanza leo ila sitaki likes nawapenda sana wana busati
kwakwelly mmetuliza wengi Dada rahma unakipaji sana Dada
Mimi wa kwanza kutoka kenya naomba like
Mmm rahma 😢😢😢mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni uchungu😮😢yale yale uliomfanyia zatiti ndo wifi yako anakufanyia pole sana 😢🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi nzuri sana nimesoma vingi sana
Leo nimewahi jamani kutoka Zanzibar nipeni like zangu hapa 😅😅
Kama unataka kulipwa kesho usirauke tena😂😂
Mm sjamuona Mr Tasha,, akiwa anafurahia kwnd kuitwa baba, kwa zawad alyopatiwa na kpnz chake,Zatiti ❤
Asante Mungu kwa kumpa zatiti mimba,,,Rahma malipo ni hapa hapa duniani
For really what goes around comes around 😂😂😂😂...ramaha ameanza kujutia alichokipanda 😅😅😅
Tasha hongera sana umefanya yako. Ukaitwe baba wawili
Da rahma anakera analia Lia Sana bhna
Rahma Pole hayo ndo mambo ulikua ukimfanyia zatity😂😂😂
Duh jmn Leo nimewah naomben like wale waliokuwa hawampendi mam shida Leo wanamlilia😊😊😊
Ama kweli kwa hii dunia usimtukane mtu, wahenga husema usimtukane mamba kabla hujavuka mto, like nyingi kwa team house girl S3🎉🎉🎉
Sasa rahma MAWAZO na machozi ya Nini bwana anakutaka na anataka ndoa na wew sas shida nini mpaka Kwa mawifi na madada au ujui mawifi ni miji😅😅😅😅😅😅 mawifi siku zote ni wa😊😊😊😊
Rahama yukosawa nampenda anavyo omba msamaa
Hongera Mr tasha saiv wengi baba mtarajiwa
Kifaruande😂😂😂😂😂😂 jina jipya la sania' mkonde, bibi ya ngonde mama kijacho cha kilingeni😂😂😂
Hello am from zambia 🇿🇲sjachelewa nawapenda sana❤❤
Bwana mnazinguaa sana rahmaa anamaliza mdaa