Urusi kubadilisha muongozo wake wa kutumia silaha za Nyuklia kutokana na vitisho vya Magharibi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 80

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 12 วันที่ผ่านมา +55

    TEAM PUTIN GONGA LIKE HAPA USIPOTEZE MUDA NI MCHACHE SANA

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 12 วันที่ผ่านมา +21

    Ukraine anataka kupewa silaha za masafa marefu hili apige sehemu za Rusia..
    Wametoa onyo mapema
    Magharibi wasije wakajichanganya....

    • @DAVIDKISWAGA
      @DAVIDKISWAGA 12 วันที่ผ่านมา +3

      Yaani hapo hakuna mzuri hata mmoja mmarekani au mrusi wote ni pumba tu maana wote wanatudhalau sana Africa

    • @alexandermilanzi9860
      @alexandermilanzi9860 12 วันที่ผ่านมา

      Rusia haidharau Africa.... Na hana madhara hasi makubwa kwa Africa.....wengine WANAKUJA kutuibia kila siku​@@DAVIDKISWAGA

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 11 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@DAVIDKISWAGAyaan wanaofilana na wasiofilana nd wawe sawa?

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 11 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@mustafamasudi8093 eti bhana, Russia kasaidia nchi za kiafrika kupata uhuru wake kipindi cha ukoloni na kusaidia kuzipa nguvu baada ya uhuru, sijui huyo jamaa hapo juu anaongea nini?

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 11 วันที่ผ่านมา

      Ndugu nataman nkutusi ila wewe n urusi​@@DAVIDKISWAGA

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 12 วันที่ผ่านมา +23

    Sasa hivi kilicho baki nuclear haito tumika, kwenye bara lolote ila tu naona uraya wavulugana wenyewe kwa wenyewe urusi wataitwaa Ukraine, kama ilivyo kua climea vita itaisha ,maisha yataendele urusi watabaki kuwa champion

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 11 วันที่ผ่านมา +3

      Ushindi wa mapema kabisa bila ubishi

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 11 วันที่ผ่านมา

      @@sonnyr1899 kbsaaaa

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 11 วันที่ผ่านมา

      Ashindwee 😢😢😢

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 11 วันที่ผ่านมา

      @@bonifasiemanueli21
      Ndio tayari we hukusikia mawaziri wanavyo jiuzulu uko

    • @ElijahOwino-xe2cd
      @ElijahOwino-xe2cd 10 วันที่ผ่านมา

      WW3 ni lazima... hilo haliepukiki

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 12 วันที่ผ่านมา +11

    WW3 na winer atakuw mrusi ila nchi za afrika tutaathirik sana maana tumezoea kuomba omba kwao , hii WW3 itasababidh afrika kusimam yenyew

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 11 วันที่ผ่านมา

      Tujitegemee sasa

    • @User-mo9ox
      @User-mo9ox 11 วันที่ผ่านมา

      WWW3 ndo hii na inakaribia kuisha urusi anashinda

  • @HasaniKidibule
    @HasaniKidibule 12 วันที่ผ่านมา +8

    Team putin, tupo pamoja

  • @silivestatesha9262
    @silivestatesha9262 11 วันที่ผ่านมา +3

    Urusi
    Haezi shindwa kamwe vita atagawanya Dunia makundi mawili imeandikwa mtaikumbuka hikomenti

  • @Amry-xx4ps
    @Amry-xx4ps 12 วันที่ผ่านมา +3

    SNS 4 🧬♥️

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 11 วันที่ผ่านมา +1

    Abadilishe hiyo doctrine kwasababu NATO na Marekani wanampiga kutumia Ukraine pole pole ku.dhoofisha

  • @SamwelMartin-h7c
    @SamwelMartin-h7c 12 วันที่ผ่านมา +3

    Atumie tu hata tactical vita iishe

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd 10 วันที่ผ่านมา

    Ww3 ni lazima... nchi za Europe na marekani pamoja na Urusi yenyewe zitakuwa na uharibifu na maafa ambayo hayajawai tokea kwenye vita yoyote ile.... Ufaransa, Uingereza, Japan, Marekani, Norway nk.. dhiidi ya Urusi, North Korea, China, Turkey... Halafu kuna Israel - Iran war pia... yani hizi miaka za hapa mbele nikubaya

  • @FredySemkiwa-or7kn
    @FredySemkiwa-or7kn 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mna habari nzuri lakini una stuck sana bro

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 11 วันที่ผ่านมา

    Umerlezea tofauti mchambuz, strategical ni mabomu ya kimkakati ambayo huharibu eneo kubw kama vile Jimbo/mkoa na hata nchi lkn tactical huahribu eneo dogo tu ambalo ni hatarishi Kwa wahusika.

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 11 วันที่ผ่านมา

    Big up Urusi

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 11 วันที่ผ่านมา

    Mm sijakuelewa point yako ali masubi

  • @user-nv6wt3nx5h
    @user-nv6wt3nx5h 10 วันที่ผ่านมา

    Mrusi Nia ya kuichukua Ukraine sio TU kumiliki..lkn nimkakati kuja kuipigà uturuki na wanàamini uturuki ni Mali yào,au ifungamane na urusi na sio ulaya.mmarekani na jumui ya ulaya hawata kubali.

  • @respiciouscharles1817
    @respiciouscharles1817 11 วันที่ผ่านมา

    Ninaswali pia kwa Wana sns, Russia orthodox wanahusikaje kwenye hii vita na kwa nini,?

  • @IsakaMgeje
    @IsakaMgeje 11 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu Ukraine anataka kupotea .sio muda watatilia Huruma . Putin ni kiongozi Makini sana . Sio uyo Mlevi wa Ukraine sio muda maji ataita Mma dadeki . Huu mwezi auishi

  • @anuarymzee9898
    @anuarymzee9898 11 วันที่ผ่านมา

    Sk tangaza mwenyewe bhana huyu mtangazaji bado sana kama anasoma gazeti

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 12 วันที่ผ่านมา

    Sautiiko wp😊

  • @user-qh4sm5fh3w
    @user-qh4sm5fh3w 10 วันที่ผ่านมา

    Akifanya hivyo itakuwa kajivunjia heshima yeye mwenyewe na atasababisha Russia igawanyike maana ataiingiza Russia katika hasara kubwa.

  • @user-nd1pu8wx7k
    @user-nd1pu8wx7k 10 วันที่ผ่านมา

    Kaka ubalikiwe

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 12 วันที่ผ่านมา

    Ee MUNGU Saidia,
    AAMIN

  • @user-cx9lt8hh4l
    @user-cx9lt8hh4l 11 วันที่ผ่านมา

    Bwana masubi ebu jichangamshe kidogo unajua sna tatzo upo slow sna 🫡

  • @steveanthon5523
    @steveanthon5523 11 วันที่ผ่านมา

    Habari kama hii asome fredrick bundala, huyu anafaa kuwa mchambuzi siyo kusoma taarifa, anaongea maneno kwakusitasita sana.

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 11 วันที่ผ่านมา

    Mtego

  • @andrewsifuna5673
    @andrewsifuna5673 11 วันที่ผ่านมา

    Kwa kawaida mtu muoga lazima apige kelele ili umuogope

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 11 วันที่ผ่านมา

    Kwa jicho la tatu . Russia inatoa onyo kwa Nchi Yoyote itakayompa Ukreni makombora ya masafa marefu..kwamba moto utawaka ....

  • @andrewsifuna5673
    @andrewsifuna5673 11 วันที่ผ่านมา

    Kwanza wanaopiga kelele hapa familia zao ziko ulaya mbona mkitoka Africa hamuendi kazi urusi mnakimbilia ulaya na marekani wanafiki nyinyi

  • @amirshaa5627
    @amirshaa5627 11 วันที่ผ่านมา

    Bring back DJ sma

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 11 วันที่ผ่านมา

      @@amirshaa5627 DJ sma yuko sana kwenye GPS

  • @martinhipolitichuwa366
    @martinhipolitichuwa366 11 วันที่ผ่านมา

    Nadhani bado kidogo tu Rasia wamkamate Huyo kibaraka Zelensk

  • @respiciouscharles1817
    @respiciouscharles1817 11 วันที่ผ่านมา

    Kama mtapata muda someni kitabu kinaitwa vatican Billions by Avro manhattan imeeleza mengi kuhusu Russia na West country

  • @budamatanawi
    @budamatanawi 11 วันที่ผ่านมา

    Ajaribu kutumia..aone atakachofanywa...ndo utakuwa mwisho wake...vita vimeshamshinda hivi..kavamia mwenyewe sa ivi analilia..mwaka wa ngap huu anaua askari wake wasio na hatia for political ambition.

    • @izack9191
      @izack9191 10 วันที่ผ่านมา

      Unaongea usicho kijua wewe

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 11 วันที่ผ่านมา

    Baba putin tumia baba ila usimsahau marekan ndo chanzo cha huu mgogoro usipige mmbwa piga mwenye mmbwa

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 11 วันที่ผ่านมา

    Putin baba lao ❤❤🌹🌹
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 11 วันที่ผ่านมา

    Vita ya 3 ya dunia ikitokea magharibi ndiyo wataumia wengine hawana cha kupoteza

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 11 วันที่ผ่านมา

      Magharibi ipi....labda Africa Magharibi😅

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 12 วันที่ผ่านมา

    Wana vita na nato siyo ukrain

  • @respiciouscharles1817
    @respiciouscharles1817 11 วันที่ผ่านมา

    Wakristo tunasoma biblia na intuambia next world super power ni US+vatican. Daniel na ufunuo imeeleza yote, kwa anayependa kujua asome

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 11 วันที่ผ่านมา

    Magharibi washajipanga kukabiliana na Urusi endapo atatumia hizo silaha za nyuklia.Watu washaingia ndani ya Urusi tayari ,kuna nini tena.Urusi atachakazwa hata kabla ya kutumia hizo silaha.Asicheze na mmarekani.

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 11 วันที่ผ่านมา +1

      Super power americ huu muchezo kashaupanga makusudi

  • @jumannekatumba44
    @jumannekatumba44 11 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo km 1000 unazijua wewe

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 12 วันที่ผ่านมา

    Huuuraaàaaaaaaa

  • @respiciouscharles1817
    @respiciouscharles1817 11 วันที่ผ่านมา

    US na RUSSIA wanakaa kwenye meza moja kuipush Dunia kwenye new order hakuna uadui Kati Yao ila wanauconfront ulimwengu ili ipatikane sababu nzuri yakudemand new order. Hebu chunguzeni tu vizuri ndugu zangu

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hz ni bwebwe 😂😂 yan akijichanganya tyr urus inabaki history kama unabisha njoo nikutatue malinda

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 12 วันที่ผ่านมา

      Urusi sio Afrika na nchii za kiarabu unavyo fikiria 😂😂

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 12 วันที่ผ่านมา

      Mshamba wewe hujui chochote sasahivi umepoa, huna shule kichwani endelea kuangalia Hollywood movies

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 11 วันที่ผ่านมา

      Kwel itabaki stor ulusi anatapatapa

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 11 วันที่ผ่านมา

      @@AlexGwiha nimuono wako wanae tapatapa niwaloanzisha vita vikao havishi kama wachawi 😀😀😀