Yes ni kweli , hiyo inatokana na muundo wake. Haikutengenezwa kuwahi kuchanganya bali kumpa mtumiaji uendeshaji wa juu kwa bei Ya wasitani. Inawafaa zaidi wanaopenda gari Za juu ila zisizotumia mafuta mengi
Nakubali ila kutokana na kazi yako inabidi ujitahidi sana kunyoosha lugha ni MITSUBISHI sio MISTUBISHI kuna tofauti apo jengine kwenye matumizi ya R na L ni tatizo jirekebishe
Kweli kabisa Mitsubishi RVR inatumia mafuta vizuri sana kuna jamaa anayo ya 2010 inampa 15-16km/l kwa kawaida na akisafiri inampa 18km/l. Lakini jamaa huwa anaendesha gari kistaarabu sasa kwa wale wazee wa kukanyaga ikiwaka taa ya kijani tu ushafika 100km/h usitegemee kupata utumiaji mzuri wa mafuta kiasi hicho 😂
Kaka tunaomba uchambuzi wa volvo xc90 2015
Nakubali sana kaka review unaweza one love nakupata vizuri sana kutoka sumbawanga
Asante sana ubarikiwe 🎉🎉🎉
Ni gari mzuri kwa muonekano ila kuna changamoto moja ya kuchelewa kuchanganya mwendo
Yes ni kweli , hiyo inatokana na muundo wake. Haikutengenezwa kuwahi kuchanganya bali kumpa mtumiaji uendeshaji wa juu kwa bei Ya wasitani. Inawafaa zaidi wanaopenda gari Za juu ila zisizotumia mafuta mengi
@@MrSABYY hiyo ni kweli kabisa, maana nikiwa safari ndefu natumia mafuta machache lakini siwezi kukimbizana na wenye gearbox changamfu
Kuna RVR sport yenye cc 2000 pia ….
Nimeipenda hiyo gari ni nzuri sana
Asante sana , save no yangu 0653953900 kuna siku utaihitaji.
In one way or another 🛠️🤝🏃🏃🏃🏃
Hiyo nimeipenda
Save no yetu 0653953900 siku ukiwa tayari nipigie
Nakubali ila kutokana na kazi yako inabidi ujitahidi sana kunyoosha lugha ni MITSUBISHI sio MISTUBISHI kuna tofauti apo jengine kwenye matumizi ya R na L ni tatizo jirekebishe
Asante sana boss kwa kuturekebisha… Tumepokea na tunafanyia kazi. Ubarikiwe 💐💐
Mmmmh we una gubu jamani khaaaa🙌🏿🙌🏿
Ipo good naomba fanya na review ya honda crossroad
Ubarikiwe. Tutaifanya boss. 💐💐 Save no yetu siku ukihitaji gari tutext Whatsapp 0653963900
🆗
Hii gari kwa sasa price ni kiasi gani kaka. Nimechelewa kuangalia hii review
Nice car.
Iko poa sana nimeipenda
karibu sana mkuu save no yetu 0653953900 kuna siku utaihitaji
ina bei gani hii gani now
Kwa sasa ni 25Million. Njoo WhatsApp 0653953900
Mtaalam, vipi kuhusu upatikanaji wa spea zake na bei za spea zake?
Spea zipo hasa Dar, Mwanza na Arusha
Matatizo ya R & L bado ni tatizo kubwa 😢
Sanaaa 😃😃
Kweli kabisa Mitsubishi RVR inatumia mafuta vizuri sana kuna jamaa anayo ya 2010 inampa 15-16km/l kwa kawaida na akisafiri inampa 18km/l. Lakini jamaa huwa anaendesha gari kistaarabu sasa kwa wale wazee wa kukanyaga ikiwaka taa ya kijani tu ushafika 100km/h usitegemee kupata utumiaji mzuri wa mafuta kiasi hicho 😂
BIG UP SANA👏 REVIEW ZENU ZINA IMARIKA SANA HONGERA MR
Ala vii ala😂
Bando lako jiachie 😝😝😝