JINSI YA KUPIKA KAIMATI ZA SAMLI SAFI NA VANILLA ZA SHIRA NJE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Kaimati ni kitafunio maarufu sana pwani. Ukiwa katika pita pita zako ndani ya mitaa ya uswahilini ni nadra sana ukose kuona watu wakiuza kaimati na kando kuna mabuli ya kahawa hasa mida ya jioni. Naam! Na hiyo ndio raha yenyewe. Aidha ni chakula kinachopikwa msimu wa ramadhani na vile vile aghlabu huandaliwa kwa kahawa. Utakubaliana nami kuwa kahawa ndicho kinywaji bulbul kuteremshia kaimati.
    Instagram@ / farwats_kitchen
    Facebook@ / farwats-kitchen-226631...
    Email; farwatasaid@gmail.com

ความคิดเห็น • 21