MAGOLI YOTE: SIMBA SC 6 - 0 VITAL'O

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kikosi cha Simba SC kimeanza msimu mpya kwa kishindo kikuu kikiigaragaza Vital'o ya Burundi kwa bao 6-0 huku wachezaji wapya waliosajiliwa waking'ara.
    Mabao ya Simba SC yakiwekwa kimiani na Bernard Morrison, kepteni John Bocco, Clatous Chama, Ibrahim Ajib akafunga la nne bao la tano likafungwa na Cris Mugalu na Charles Ilamfya akahitimisha karamu.
    Tazama mabao yote hapa.
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 502

  • @nallaboy2
    @nallaboy2 4 ปีที่แล้ว +58

    Like za simba hata 5 Tu
    Mbeya boy

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 4 ปีที่แล้ว +33

    Makofi mengi Sana kwa baraka mbenja nainjoy Sana utangazaji wake na naomba aendelee kuwepo sanaaa✔️🦁🦁💪🏼💪🏼

  • @adammusa6739
    @adammusa6739 4 ปีที่แล้ว +280

    Aliyemsikia Mpenja anasema ndevu zile wenyewe simba wanasema ni za sunna siyo za karantini tena. Gonga like.

    • @simonjustin5921
      @simonjustin5921 4 ปีที่แล้ว

      😂😅😂😂🙏🙏

    • @barikikimaro9165
      @barikikimaro9165 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

    • @salminisalehe9417
      @salminisalehe9417 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata Me Nmeskia Hahahaha

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @jumajumanne3780
      @jumajumanne3780 3 ปีที่แล้ว

      Ggvvbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbhbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnmnm

  • @mehdyahmed8479
    @mehdyahmed8479 4 ปีที่แล้ว +30

    Duh mazee Mimi mkenya halisi lakini ukweli itabaki ukweli regarding Simba msimbazi wako na timu yakikweli na vile morisson amejiunga nao basi seoson hino watu watalia...naomba likes wenzangu

  • @thomasjunior3272
    @thomasjunior3272 4 ปีที่แล้ว +76

    Wapo wapi utopolo
    Mwana simba 🦁 gonga like kwa Simba yako 🦁🦁

    • @ALIMOHD-bk9lr
      @ALIMOHD-bk9lr 4 ปีที่แล้ว

      UTOPOLOOOOOOOOO WANATAFUTA KOCHA KAKA.

    • @thomasjunior3272
      @thomasjunior3272 4 ปีที่แล้ว

      @@ALIMOHD-bk9lr Morrison katisha

  • @aibanijr65
    @aibanijr65 4 ปีที่แล้ว +42

    🤣🤣 Ndevu za suna siyo za karantin tena Kama Umesikia gonga like.

  • @bashirmkambala2407
    @bashirmkambala2407 4 ปีที่แล้ว +44

    Aliyesikia baraka mpenja anasema nyumba ya ulisi imeuzwa gonga like yako hapa

  • @lazaromgaya2132
    @lazaromgaya2132 4 ปีที่แล้ว +148

    Kipa kimemponza jezi kama umenielewa like kama zote

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 ปีที่แล้ว +70

    Timu ya kimataifa
    Matokeo ya kimataifa
    Wachezaji wa kimataifa
    Mashabiki wa kimataifa
    Na boss wa kimataifa

    • @scholarjosephat1281
      @scholarjosephat1281 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @sakinahussein560
      @sakinahussein560 4 ปีที่แล้ว

      Na watangazaji je

    • @saleheabbas3667
      @saleheabbas3667 4 ปีที่แล้ว

      Na Team tuliocheza nayo n ya kimataifa

    • @abdulkillya2655
      @abdulkillya2655 4 ปีที่แล้ว

      @@sakinahussein560 nikisemea watangazaji watasema wana upendeleo

    • @jovinusjoseph7357
      @jovinusjoseph7357 4 ปีที่แล้ว

      Bongo bwana siasa mpaka kwenye mpira.Atutaki kualibu bonanza.

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 4 ปีที่แล้ว +90

    Kauli ya Morrison (Simba ni chuo cha mpira hapa Tanzania)

    • @rodgerz
      @rodgerz 4 ปีที่แล้ว +1

      'Chuo Kikuu'

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 4 ปีที่แล้ว

      Sio chip Cha Moira ...."Simba ni Chuo kikuu Cha Mpira hapa Tanzania" by MORRISON

  • @khadijakhadija-ve7tv
    @khadijakhadija-ve7tv 4 ปีที่แล้ว +31

    Kam unaamin 🐒🐒fc hiz Magol Trh 18 zinawahus gonga like na coment this is simba next levo

    • @yahayamsuya7061
      @yahayamsuya7061 4 ปีที่แล้ว

      Timu mbovu Sana hiyo tena imeambiwa hili tamasha LA Sumba vital o achieni 2 mpira hata radha hauna hata majimaji fc msinge wafunga mabao hayo,hata aibu hamna.

    • @hassanseif6452
      @hassanseif6452 4 ปีที่แล้ว

      Uonekani siku hiz

    • @jumaramadhani8774
      @jumaramadhani8774 4 ปีที่แล้ว

      Mambo

    • @khadijakhadija-ve7tv
      @khadijakhadija-ve7tv 4 ปีที่แล้ว

      @@jumaramadhani8774 fresh

    • @suleimanpizzo4255
      @suleimanpizzo4255 ปีที่แล้ว

      @@hassanseif6452 be

  • @rich-lr8tq
    @rich-lr8tq 4 ปีที่แล้ว +12

    Yanga tunalakujifunza hapa, hasa kwenye mikataba, tumuache Morrison afanye yake..
    ALL THE BEST BM3.

  • @rasulbila3605
    @rasulbila3605 4 ปีที่แล้ว +191

    Kama unaamini gongowazi hizi zinamuhusu msimu huu gonga likes za kutosha

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 4 ปีที่แล้ว +6

      VITAL'O NA Singida united tofauti yao ni nchi tu!!

    • @bhokedavid8932
      @bhokedavid8932 4 ปีที่แล้ว

      @@thadeylyimo9772 😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @wamburamatutu7302
      @wamburamatutu7302 4 ปีที่แล้ว

      Bongo Movie

    • @AbdullahAbdullah-fz9xg
      @AbdullahAbdullah-fz9xg 4 ปีที่แล้ว +1

      @@thadeylyimo9772 na zile 4g nusu fainal AFC una tofaut gn na sahare

    • @movzshortyclips7689
      @movzshortyclips7689 4 ปีที่แล้ว

      @@thadeylyimo9772 vitalo ni mabingwa wa kihistoria nchini Burundi Kama nyie utopolo mnavyojiita mabingwa wa kihistoria Tanzania bas tuseme na nyie ni singida United tofauti ni majina tu au sio

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 4 ปีที่แล้ว +14

    Yanga mmemuona Ame lkn au mmejitia upofu?

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +22

    Kama umesikia wamekunwa kipele gonga like 😁😁😁😁😁shikamoo kaka Mpenja

  • @AllyMchume
    @AllyMchume 4 ปีที่แล้ว +5

    Now this is a real international team, yajayo yanafurahisha

  • @jeremiahromward6784
    @jeremiahromward6784 3 ปีที่แล้ว

    Simba rahaaaaaa Sana kama bado unaiangalia hii gonga like twende sawa

  • @fahadabdallah8879
    @fahadabdallah8879 4 ปีที่แล้ว +41

    Simba wachezaji wake sio selfish that’s one thing second thing wako na quick vision and good finishing passes

    • @adammj6258
      @adammj6258 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanacheza ki Simba Simba, ukifunguka unakula nyingi

  • @masoudmtore1539
    @masoudmtore1539 4 ปีที่แล้ว +11

    Tumeeejaaa leo vizuriii wataanii tuwaakumbusheee wakimalizaaa kujaaaa 29/8 wajaee na game zijazoooo maanaa tukisemaa another level wanaafikilii ninutanii tunamengiii wanatakiwaa kujifunzaa kwao tokaa kwetuu morrison......bwalyason na ......shabikison

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 4 ปีที่แล้ว +20

    Kama unaamin kilichomponza gorikipa ni jezi ya utopolo gonga like kwa furaha

    • @cadabra7402
      @cadabra7402 4 ปีที่แล้ว

      Ahhhahahahha umeonaeeee

    • @saidisimba7982
      @saidisimba7982 4 ปีที่แล้ว

      Mmecheza na wachovu hao mnajisifu

  • @barakajoram6347
    @barakajoram6347 4 ปีที่แล้ว +18

    Nani anaipenda simba jamani tujuane

  • @zkiduku4068
    @zkiduku4068 4 ปีที่แล้ว +17

    😂😂😂😂😂 Daah mm ni Yanga ila uyu mtangazaji uwaga ni ana vituko balaa 🤣🤣🤣

  • @goodlucklinus141
    @goodlucklinus141 4 ปีที่แล้ว +12

    Kwa Simba hii ...Dawa za magonjwa ya moyo zitauzwa Sana upande uleeee ...Jaman tusitaftiane kesi kwenye "Mazishi"😀😀😀😀🏆🏆🏆🏆💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻✔✔✔✔✔🙌🙌🙌🙌🙌The next level

  • @omarysalum3279
    @omarysalum3279 4 ปีที่แล้ว +10

    Hahahahaaa!!,ni naniii kasikia doko,doko bao kama mbeleee vileeeeeee weka like tuende sawaa hapo mzee wa jiji

  • @majidlutanile4957
    @majidlutanile4957 4 ปีที่แล้ว +9

    Mnyamaaaaaaaaaa. Mkaliiiiiiiiiiìiiii😘

  • @marryzakaria3654
    @marryzakaria3654 4 ปีที่แล้ว +18

    Nasema hivi utopolo mkikutana na hao watu mnakula kumi nasema tena kuuumiii 10 hapo miquson luiz hayupo jamani jamani..utopolo nawaonea huruma

  • @isihakamlito3507
    @isihakamlito3507 4 ปีที่แล้ว +7

    asante simba

  • @isihakatozzo5959
    @isihakatozzo5959 4 ปีที่แล้ว +12

    Haya sasa UTO chagueni kikosi wenyewe, hicho cha bocco au chama. Ila mkumbuke mikixon yu home anaoa , soon atarejea

  • @salmaannor4992
    @salmaannor4992 4 ปีที่แล้ว +4

    Simba champion
    Congratulations 🎊 my favourite team I am from soomaali

  • @alesnema9596
    @alesnema9596 4 ปีที่แล้ว +19

    Haaaaaa warundi tukachezwa Kama watoto jamani 🇧🇮😭😭😭😭😭

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 4 ปีที่แล้ว +1

      Ales Nema 😂😂😂😂😂ndo timu kali huko kwenu nni.?

    • @hamisiomari1990
      @hamisiomari1990 4 ปีที่แล้ว

      Kawaida sana

    • @martinnassary587
      @martinnassary587 4 ปีที่แล้ว +3

      Usisononeke mpendwa utopolo wenyewe tuliwapiga 4 kariakooo deby

    • @alesnema9596
      @alesnema9596 4 ปีที่แล้ว +1

      @@martinnassary587 muritupiga vibaya

    • @alesnema9596
      @alesnema9596 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kingnicky2568 apana timu Kari uku haiwezi kucheza nahao timu Kali uku inaitwa intamba niwakali Sana awa Bado watoto walipigwa leo

  • @ydisomusickilistofa9011
    @ydisomusickilistofa9011 4 ปีที่แล้ว +1

    Anae Amini Msimu Huui Mpaka Tufike Fainal Club bingwa Gonga like kama Unakubali

  • @40kstore
    @40kstore 4 ปีที่แล้ว +8

    ila huyu jamaa,ety pasi ya upendo wa agape

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Dah Mungu tunakushukuru kwa zawadibya Timu ya Dimba huwiii Simba simba wahooo

  • @emmanuelskmtanzania24
    @emmanuelskmtanzania24 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hii Simba kila mtu ataitaka. Hakika professional football is alive in Bongoland ⚽⚽

  • @kulwambegaz8521
    @kulwambegaz8521 4 ปีที่แล้ว +3

    Hatuna mpinzani ap bongo,next level and another level.lov cmba 4rever

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 4 ปีที่แล้ว +2

    Wasije kusema Ubingwa tumenunua.
    Kwa mpira huu hakuna atakaye toka salama.
    Striker’s force za Simba Sc zina njaaa balaaaaa.

  • @mohammedguinko3741
    @mohammedguinko3741 4 ปีที่แล้ว +4

    The God of Tanzania 🇹🇿 football

  • @yusufapewe982
    @yusufapewe982 4 ปีที่แล้ว +33

    Gonga like kama unachek hailait za simba mnyamaa

    • @monifrank347
      @monifrank347 4 ปีที่แล้ว

      Highlight bana usutuchanganye n kimakonde chako😂😂😂

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwa simba hii kocha aende home Maana hata Mo naweza kupanga Hahahaaaa simba hii haitaji kocha bwn

    • @nurdinmbwana2385
      @nurdinmbwana2385 4 ปีที่แล้ว

      Wuiteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerreeeeeeeee🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🙏🙏🙏🙏🎙

  • @pastorymashauri5222
    @pastorymashauri5222 3 ปีที่แล้ว

    Marafiki.

  • @muhsinkassim8302
    @muhsinkassim8302 4 ปีที่แล้ว +1

    First half
    Morrison 1 goal, 1 Assist
    Bwalya 1 assist, 1 pre Assist
    Bocco 1 goal
    Ame and Onyango good combination, Speed and power of Ame
    Composure and grace of Onyango
    Sec half
    Chama 1 goal, 1 Assist and 1 pre Assist
    Ajibu 1 goal, 1 Assist and 1 pre Assist
    Cris Lugalo 1 goal
    Ilanfya 1 goal
    Tshabalala 1 assist
    Miraji 1 assist

  • @mwansaamos3136
    @mwansaamos3136 4 ปีที่แล้ว +6

    The combination between Bernad Morrison and Larry bwalya is wonderful. The team has good players. Mugalu, bernad, chama, bwalya

    • @MYCYOBEL
      @MYCYOBEL 4 ปีที่แล้ว

      Kwa hii mechi nimegundua huyu bwalya ni mtu sana. Zile asist ni kama za Dinyo kabisa kama sio zizu! Hii ni kama timu ya taifa vile

    • @nassorsuleiman7813
      @nassorsuleiman7813 4 ปีที่แล้ว

      Luis missiqusion?

    • @MYCYOBEL
      @MYCYOBEL 4 ปีที่แล้ว +1

      @@nassorsuleiman7813 Aisee acha, sijapata bahati ya kuangalia mechi nzima nilipreview zile za magoli. Huyo mmkonde nae ndi habari nyingine. Ila aise msimu ujao nahisi tutasau premier league maana utamu umehamia bongo.

    • @maryamzuheir3734
      @maryamzuheir3734 4 ปีที่แล้ว

      UTOPOLO FC KWELI MTAWEZA IZUWIA SIMBA SC MSIMU HUU ? aah wapi.

    • @mwansaamos3136
      @mwansaamos3136 4 ปีที่แล้ว

      Please someone to translate in English..

  • @adrianokomba3358
    @adrianokomba3358 4 ปีที่แล้ว +6

    Daaaah Hiii simbaa au Bryan Munich

  • @ridhiwanikibonge793
    @ridhiwanikibonge793 4 ปีที่แล้ว +25

    Sio ndevu za karantini tenaaaa ni ndevu za sunnaaaaaa

  • @thabitgembe577
    @thabitgembe577 4 ปีที่แล้ว +5

    Bwaliason the magician this is next level..🦁🦁🦁

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Huwiiiiiii furaha imezidi jmn nalia miee huwiii dakika mbili hzipiti bila goli kuingia duhuu Giper namwonea huruma ila no way hii ndo Simba viwango vya juuu sana jmn duhuuu ,acheni Simba tu jmn iweke record Tz naipenda hii Timu mpka homa huwiii

  • @mohammedzahiry5889
    @mohammedzahiry5889 4 ปีที่แล้ว +8

    M2 kama Bwalya,Ame daaa endeleen hvyo

  • @omarikombo1410
    @omarikombo1410 4 ปีที่แล้ว +8

    Kwa Simba hii Yanga wataisoma no

  • @rajabuagenda9093
    @rajabuagenda9093 4 ปีที่แล้ว +20

    Olewake mwenye kufuata nyao za simba

  • @sakinahussein560
    @sakinahussein560 4 ปีที่แล้ว +6

    Goli la Morrison unaweza kusajilia utopolo wawili...This is Simbaaaaaaaaa...

  • @sakinahussein560
    @sakinahussein560 4 ปีที่แล้ว +8

    Ndevu za Morrison kwa Simba ni Sunnah....Dah

  • @juliuslabarani8575
    @juliuslabarani8575 4 ปีที่แล้ว +9

    Nimeangalia mpira Kama vile naangalia soka la mambele.duh

  • @barakamwamkonda2749
    @barakamwamkonda2749 4 ปีที่แล้ว

    Nakubar

  • @abdlatifmwenyasi5232
    @abdlatifmwenyasi5232 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila jamani wakiangalia hi video wananaumia wa yanga,,

  • @elishaedison6819
    @elishaedison6819 4 ปีที่แล้ว +1

    Atali sana

  • @josephakoqhaoga182
    @josephakoqhaoga182 4 ปีที่แล้ว +2

    Simba motooooooooo

  • @mohammedzahiry5889
    @mohammedzahiry5889 4 ปีที่แล้ว +3

    Ijapokuwa mpnzan hakuwa bora ila kzur wagen inaonekana huenda wakakopi mfumo kwa haraka xn

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 4 ปีที่แล้ว +7

    Hivi mpenja dictionary yako ya maneno unauza bei gan

  • @listentoquranandmawaidhach4992
    @listentoquranandmawaidhach4992 4 ปีที่แล้ว +4

    Mchezaji kauza nyumba ya Urithi tutalala wapi sisi?!!! Huyu mtangazaji mwisho wa mawazo huyo namuita Peter Drury wa Africa Wana Simba wacha tugurume 💪

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 4 ปีที่แล้ว +2

    Amazing game

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +7

    Asante Sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂 😂😂 😂😂 😂

  • @kingomediatv
    @kingomediatv 25 วันที่ผ่านมา +1

    Aya Mlio kuja Kuangalia baada ya Mechi ya Yanga Tujuane😂😂😂

  • @o.gtheking2102
    @o.gtheking2102 4 ปีที่แล้ว +1

    Sio kwa simbaa hii yenye njaa logoo inamaanisha kweli
    Guys who is next😂😂😂😂
    Venye namungo namuonea huruma wooooooi

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 ปีที่แล้ว

      Og are you Kenyan?

    • @o.gtheking2102
      @o.gtheking2102 4 ปีที่แล้ว

      @@josephstephen2047 napenda kiswahil cha kenya venye wanalonga 🤣🤣🤣

  • @debosscreation3507
    @debosscreation3507 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo.team ya Burundi ndogo sana sublin kaz.mnayo.msijisifu kuwafunga watoto

    • @busta_malik5971
      @busta_malik5971 4 ปีที่แล้ว

      Na mamaako mbona alifungwa na bwana ake au umesahau

  • @shairanadam1443
    @shairanadam1443 4 ปีที่แล้ว +16

    Nyumba ya urithi imeuzwa tutalal wp sisi km umskia acha like apaa😂😂

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 4 ปีที่แล้ว +4

    *😅Anawadokoa doko 😆😆*

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania in Love

  • @husseinibrahim530
    @husseinibrahim530 4 ปีที่แล้ว

    Ili kujipima kimataifa zaidi simba inapaswa kucheza friendly na Timu kutoka pande zote za afrika, Mameloid sundown, Mazembe, Al ahil ya Egypt, na enyimba fc

  • @goodvibetvbk7703
    @goodvibetvbk7703 4 ปีที่แล้ว

    Sjaona timu nyingne ya ku2sumbua hpa east Africa.. Nadhani salam zmewafkia kuelkea kombe la mabingwa 🌍

  • @minaside6717
    @minaside6717 4 ปีที่แล้ว +10

    Simba raha jamn

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 4 ปีที่แล้ว +2

    Babu mwenye pesa si mwenzio yanga Masikini mmezidiwe mapene najua masengemtoa huyu afiriti

  • @muhammadmahmoud1068
    @muhammadmahmoud1068 4 ปีที่แล้ว +5

    Simba+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 ปีที่แล้ว +10

    Utopolo huyu chama so mlimsajili ktk MITANDAO au 😳

    • @maikopaulmaiko1900
      @maikopaulmaiko1900 4 ปีที่แล้ว +2

      😁😁😁yaan nliumia nlivyoskia uto wamemchkua mwamba, kmbe ulkua usajil wa mitandaon2😀

    • @tedymanula2544
      @tedymanula2544 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂ndo Apo Sasa sijui imekuaje utopolo bwana

  • @fredmabundagilo6954
    @fredmabundagilo6954 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamani kuna Watu wanateseka eti tumekula swala, Ila Simba kiboko yao msimu huu wataisoma namba

  • @paulbenard461
    @paulbenard461 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice match

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 ปีที่แล้ว +24

    Ushauri utopolooooooooo MSIJE UWANJANI.

  • @MusaMakasy
    @MusaMakasy 24 วันที่ผ่านมา

    Walikula sita na hamsemi nyie 4 tu maneno kama yoote huyu ndio mnyama baba wa vilabu Tanzania 🎉🎉❤

  • @josephakoqhaoga182
    @josephakoqhaoga182 4 ปีที่แล้ว +1

    I love u Simba oyeeeeeeeeeeh

  • @aminafurahisha2046
    @aminafurahisha2046 4 ปีที่แล้ว +10

    Raha sana apo tu luic ayupo

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Yaani vitelo wnkimbia kimbia huko tu diuhuuuu wahurumieni bsi Simba jmn dah

  • @joyzarry4710
    @joyzarry4710 4 ปีที่แล้ว +2

    Simbaaaaa ❤😋😘😍

  • @dvdbruno6530
    @dvdbruno6530 4 ปีที่แล้ว +1

    Nani kajua bwarya Ni balaaaa

  • @mwananchipress3569
    @mwananchipress3569 4 ปีที่แล้ว +6

    hAPO UNAMBIWA KAGARE YUPO BENCHI, MIQISSON YUPO FUNGATE

  • @jamesmatimbwi72
    @jamesmatimbwi72 4 ปีที่แล้ว

    Very good,,,,

  • @mediusmwangi9231
    @mediusmwangi9231 4 ปีที่แล้ว

    good perfomance but our gert in africa champion league

  • @jozeejozee7636
    @jozeejozee7636 4 ปีที่แล้ว +8

    Mnyamaaaaaaaaaa mkaliiiiiiiii

  • @jumaramadhani8774
    @jumaramadhani8774 4 ปีที่แล้ว

    Video mpya
    D

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 ปีที่แล้ว

    Another level

  • @rapmorizo
    @rapmorizo 4 ปีที่แล้ว

    Kwenye goli la sita nimehifunza maana halisi ya ushindani wa namba,, ilanfya, mugalu, Sheva wote wapo kwenye sehem sahihi msgambuliaji anatakiwa awe ili kupata goli kutoka pasi ya zimber jr

  • @jevinjacob5439
    @jevinjacob5439 4 ปีที่แล้ว

    Unajua unapo amuwa kusema ukweli haijalish ni upande gani upo na ukweli huwa na muonekano wa hualisia kila mara.. #Simba wamecheza professional football game na hii imeonyesha zahir kuwa kumbe kuna haja watu binaf wapew timu sasa na kufanya ajira kwa #Watanzania. Hongereni simba huu ndy mpira tunataka watu washindane kweli

  • @linajames2653
    @linajames2653 4 ปีที่แล้ว

    Kweli watashaaa

  • @ebylastborn
    @ebylastborn 4 ปีที่แล้ว

    Nomaa

  • @samsontarimo
    @samsontarimo 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimejikuta nmetafuna kizibo cha Apple Punch chote kimeisha wakati naangalia hii highlights...

  • @yussufsalim7306
    @yussufsalim7306 4 ปีที่แล้ว +4

    Dah yanaga poleni🤧🤧

  • @jerremiaphillipo6790
    @jerremiaphillipo6790 4 ปีที่แล้ว

    Big up sn mebamba kja no to na krud bard

  • @saidabdallah3193
    @saidabdallah3193 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Bwalya ana hatari, vision yake na touch zake sio mchezo

  • @gedeonkwizera7949
    @gedeonkwizera7949 4 ปีที่แล้ว

    Kagere meddy

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 4 ปีที่แล้ว +16

    Huu ni utanguliz tuu mazoez ya wiki moja ila tukutane VPL mnakula saba dadeq zenu

  • @rajabukirero5238
    @rajabukirero5238 4 ปีที่แล้ว +5

    Simba hiii ni nomaaaaaa

  • @omarydaud393
    @omarydaud393 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa simba nilaha2pu unafurahia tu, maisha ya lahalaha✓