HATIMAE!! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah kaongelewa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2017
  • Toka zisikike habari za kuchana kwa Mastaa wawili wa Bongo, Mwigizaji Jackline Wolper na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize, Wolper hakusikika wala kuongelea hii ishu mwanzo mwisho.
    Na hata Harmonize alisikika akithibitisha tu kuachana kwao lakini hakumwaga povu kama hili alilomwaga Wolper kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO..... hii video ina kila kitu, usisahau ku-install APP ya 'millardayo' kwenye ANDROID ili upate notification ya kila STORI MPYA!!!!
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 2.2K

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 4 ปีที่แล้ว +184

    Kama umekuja kutizama mwaka huu like hapa
    👇🏽

  • @saidisande3366
    @saidisande3366 4 ปีที่แล้ว +142

    Km umekuja kuangalia baada ya hamo .kumchana rike hapa
    👍

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 ปีที่แล้ว +45

    Tuliokuja kuangalia baada ya ndoa ya Richie na wolper likes

  • @charlesmwangi164
    @charlesmwangi164 ปีที่แล้ว +1

    I love this Lady very intelligent and business minded.i wish her all the best. Am watching from Kenya

  • @johnvenus7507
    @johnvenus7507 7 ปีที่แล้ว +33

    Naishi Nashville,Tennessee USA atakaeona hii comment amwambie Harmonize wazungu sio watu wakupendana nao amrudie mke wake

  • @cindythomas4013
    @cindythomas4013 7 ปีที่แล้ว +13

    Take heart darling your a strong woman and God will pay you back everything in double,,,,,,,,,,,penda ww

  • @magrethdastanhaule3449
    @magrethdastanhaule3449 ปีที่แล้ว +2

    Tunaongalia interview hii 2023 gonga like

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 4 ปีที่แล้ว +10

    2020 tujuane tunaeicheki saiz 👇👇👇👇👇

  • @saidmkungo1439
    @saidmkungo1439 ปีที่แล้ว +7

    huyu dada ameongea kwa hisia sana mpaka nimeanza kumuheshimu she has some thing SPECIAL

  • @stargalkenyan2518
    @stargalkenyan2518 5 ปีที่แล้ว +7

    Sad indeed... Mapenzi yanauuma. You are beautiful Wolper n God will bless you with a good man.

  • @marietaamiri889
    @marietaamiri889 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka harmonize jack amekupenda sana oooh my god bless you

  • @s_quoran2821
    @s_quoran2821 6 ปีที่แล้ว +29

    She seems very collected n mature..why would someone toy with her emotions?🤔🤔

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 7 ปีที่แล้ว +7

    Millard Ayo umeweza sana. Udaku huu cjui kama ningeipata mahala popote. Presenters wengi walishidwa kumconvince Jacky kusema ukweli wake ila wewe umeweza. Kazi nzuri. Big Up. #I rep254

  • @hafidhiahungu192
    @hafidhiahungu192 7 ปีที่แล้ว +124

    millard unajua kuuliza maswal nakuhandle situation za mastaa unapofanya nao interview big up bro i luv ur work

    • @rehemaazza3049
      @rehemaazza3049 6 ปีที่แล้ว

      nakupenda xana dada

    • @omarysweya1439
      @omarysweya1439 4 ปีที่แล้ว

      hafidhi ahungu dg

    • @dizanzibar3235
      @dizanzibar3235 4 ปีที่แล้ว

      Kasoma nje ya nchi uyu mkuu

    • @jonasjohn1384
      @jonasjohn1384 3 ปีที่แล้ว

      Ana muuliza mwenyewe ana sema plo pozo ame ziacha Sasa nasema ivii tuone Kama uta olewa ,uta fumaniwa nawakati una sema una safili huko uko una liwa

  • @ablanaturalbeauty5166
    @ablanaturalbeauty5166 4 ปีที่แล้ว +3

    Wolper namkubali sana ananifunza sana kwenye maisha ya kila siku achana nae kabisa Piga kazi bilioner wa kesho

  • @kadulathumani7517
    @kadulathumani7517 3 ปีที่แล้ว +7

    You got to stay much more stronger woman. It is the patient who survive hurdles. You deserve better than that .

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 7 ปีที่แล้ว +16

    love love love! it hurts alot take it easy Jacky 😢😢

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 4 ปีที่แล้ว +119

    Wangap wameitafut hiiii..baada ya harmonize😂😂😂kuongea

  • @esthersammy6440
    @esthersammy6440 4 ปีที่แล้ว +9

    She's so humble

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 ปีที่แล้ว +5

    Ikawaje Wolper amtaje rich mitindo katikati ya interview 😆💔🙌

    • @davidmbwilo4954
      @davidmbwilo4954 ปีที่แล้ว

      Huyu Rich mitindo alikuwa anasoma mchezo tu

  • @florahkahatano5037
    @florahkahatano5037 7 ปีที่แล้ว +42

    daa pole sana jacky ...umenikumbusha machungu aisee...wanaume sio watu jamani ...kaa pole naelew unavyojosikia

  • @mayacel1391
    @mayacel1391 6 ปีที่แล้ว +3

    Love wolper...pole sana okay Ur vry beutifull

  • @dickmalove5544
    @dickmalove5544 4 ปีที่แล้ว +108

    Nani amekuja hapa baada ya harmonize kufunguka kuachana na huyu mwongo

    • @arqphn4467
      @arqphn4467 4 ปีที่แล้ว

      Mm hapa

    • @ceejatjoan6551
      @ceejatjoan6551 4 ปีที่แล้ว

      Hahahhah,mimi hapa haha

    • @geraldpella5641
      @geraldpella5641 4 ปีที่แล้ว +1

      Kiongo 2 hicho Bad ya harmonize kuongea ukwer

    • @aishakabogo8189
      @aishakabogo8189 4 ปีที่แล้ว

      Hata mie mtoto wa kike jamani huyu wolper alimuumiza sana kiumbe harmornize

    • @MctMct-tt4rq
      @MctMct-tt4rq 4 ปีที่แล้ว

      KIASI HAMONEYZ AMCHANE LAYVU MSHUBWADA HUYU ANAJIFANYA KASALITIWA KUMBE YEYE MWENYEWE DANGA MLEZI WA WANA

  • @alexmuya8541
    @alexmuya8541 4 ปีที่แล้ว +1

    Love you gorgeous lady from Tanzania never mind ...that man was Angriest ,..welcome to Qatar

  • @collinsbusolo1436
    @collinsbusolo1436 7 ปีที่แล้ว +6

    Jacky take heart, is so sad. But move on with life harmonize gona regret it.

  • @sarafina6656
    @sarafina6656 7 ปีที่แล้ว +29

    Hyo ndo shukrani ya mmakonde lol.. sasa jack jitambue achana na vijana wadogo mkabidhi Mungu maisha yko utapata alie wko

  • @rahmanaimnaim4718
    @rahmanaimnaim4718 5 ปีที่แล้ว +2

    Daa jackline pole sana nimitihani 2 kwa mungu omba mungu Atakupa wako wa maisha yako ....we nimzuri sana daa jackline usijali.

  • @maggiememo7062
    @maggiememo7062 6 ปีที่แล้ว +6

    Pole Dada. You are not a loser in this. What goes around comes around. So hurting but take heart. Vengeance by God is incomparable. Otherwise success in everything you do. Don't even compare yourself with that mzungu,you are high above her in everything.

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 7 ปีที่แล้ว +5

    Kimenuka Atari pole dada. Ndio wanaume walivyo pambana na hali yako mama stay strong.

  • @aishakidotigakii6157
    @aishakidotigakii6157 7 ปีที่แล้ว +11

    Fast thing reading comment, second watch video or reading comment and watching.

  • @ramadhanimsenda8930
    @ramadhanimsenda8930 ปีที่แล้ว +2

    Millard Ayo hongera sana brother unajua kuhoji na hongera Wolper upo poa Sana umetufunza kitu ila pole pia ndio maisha nahisi umekua kiakili

  • @ForeveryoungNana2019
    @ForeveryoungNana2019 4 ปีที่แล้ว +1

    i just LOVE THIS LADY J acky much love from Latvia xoxoxo

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 7 ปีที่แล้ว +97

    Usijali sister. .....tuko wengi. ..take heart and move on🙂

    • @haskao77
      @haskao77 7 ปีที่แล้ว +14

      kweli mwenzangu tuko wengi. Inauma sana ukiangalia sehemu ulipomtoa mtu na malipo anayokuja kukulipa

    • @lucymwega784
      @lucymwega784 7 ปีที่แล้ว +4

      lipati77 lakini baadaye wataliregret aki malipo ni hapa hapa

    • @liberataalfred3221
      @liberataalfred3221 7 ปีที่แล้ว +1

      +lipati77 uwiiiii

    • @suumemba6273
      @suumemba6273 7 ปีที่แล้ว +4

      Brigid Mua Mimi nilifanywa Kama wolper

    • @marychacha825
      @marychacha825 7 ปีที่แล้ว +3

      svg gamer on another heart hahahaaaa

  • @cecutemrema4339
    @cecutemrema4339 5 ปีที่แล้ว +11

    dah!!de love story wil turn2 sadness

  • @mwanatumusalim9470
    @mwanatumusalim9470 5 ปีที่แล้ว +15

    Nakupenda bure wolper😍

  • @emmanuelambani2506
    @emmanuelambani2506 6 ปีที่แล้ว +9

    she is so cute cant get enough of her that voice just makes someone be into her th eyes makes me go down on my knees then she seems like that person wa akisha penda asha penda she is simple just love her ways

  • @fredyleonardmaths2546
    @fredyleonardmaths2546 7 ปีที่แล้ว +51

    yan dada jack,ndo WCB walivo hata boss wao c unaona alichofanya kwa wema,?they look for money not heart

    • @boramimi5389
      @boramimi5389 7 ปีที่แล้ว +5

      fredy leonard wema ndio alimuacha mond tena na dharau ju.

    • @stelamwita3643
      @stelamwita3643 4 ปีที่แล้ว

      Ulikuwa uwajuw wmakondeeə

    • @emanuelshija7125
      @emanuelshija7125 3 ปีที่แล้ว

      Poledadajak atakukumbuka huyomjinga2

  • @highlyfavoured4327
    @highlyfavoured4327 7 ปีที่แล้ว +20

    Wooi! Jackie, I teared up! Kama kabisa ni wako atarudi, if not then be patient, wako atakuja tu. Take heart my sister, you're pretty, the right man will surely come along.

  • @miltonoloo1499
    @miltonoloo1499 6 ปีที่แล้ว +8

    my siz u hv humble heart may almighty continue strength u heart & open 4 u more way in ua entire

  • @geoffreyisaboke9724
    @geoffreyisaboke9724 6 ปีที่แล้ว +8

    Am Geoffrey from kisii kenya, have listened to this story it really painful for a lover to be betrayed. men should be strong in a relationship, roho ya mwanamke sio kitu unajaribu kama kiatu bana uone kama kinakutosha! take hrt Jackline God is there.

  • @samsonhanti9124
    @samsonhanti9124 7 ปีที่แล้ว +26

    Daaah jack story ako imenigusa xana.....Pole da angu....hayo n mapito ya maisha!!!

  • @eddoe5867
    @eddoe5867 7 ปีที่แล้ว +5

    Haijalishi hii ni story ya upande mmoja. Haijalishi umelewa au una dhambi gani kiasi gani. We dada you are smart in sharing your story. Pole sana.

  • @soh4787
    @soh4787 6 ปีที่แล้ว

    VERY RIGHT DADA JACKY - KINYONGOO KIBAYA. GOOD PIECE OF ADVISE.

  • @ashleighbrennake9081
    @ashleighbrennake9081 5 ปีที่แล้ว +8

    Wolper I love your maturity... I just like how umeongelea hii issue.Such a sad story

  • @chembevuko7046
    @chembevuko7046 7 ปีที่แล้ว +7

    relationships are like that,jus take it easy sister n move on,though difficult bt u'll get over it.

  • @kakagranto135
    @kakagranto135 7 ปีที่แล้ว +4

    ayo hapo umeweza mwanangu, wolper so strong my sis yo the best

  • @VISMARTFOURWHEELS
    @VISMARTFOURWHEELS 3 ปีที่แล้ว +5

    4yrs on. Jacky Wolper remains the queen

  • @bethuelljuma7425
    @bethuelljuma7425 6 ปีที่แล้ว +47

    hahaha "kiingereza chake kina corner nyingi kuliko changu,changu si kibovu sana kwaiyo tulipelekana sambamba"..umenibamba jacky!

    • @aishakabogo8189
      @aishakabogo8189 4 ปีที่แล้ว

      Ahihahahahaaa

    • @janeesamson2215
      @janeesamson2215 3 ปีที่แล้ว +1

      Sas itakuaje

    • @janeesamson2215
      @janeesamson2215 3 ปีที่แล้ว +1

      Ametubamba wengi hapo 😀😀

    • @jonasjohn1384
      @jonasjohn1384 3 ปีที่แล้ว

      Sio ivo uyo mwana mke manenoyake uki msikiliza Kama kweli lakini yeye ndo arie Anza kumsalit mzake ivi ana jisifia ame deti na Wana ume wengi hama kua umbwa

  • @zuhuraramadan4277
    @zuhuraramadan4277 7 ปีที่แล้ว +22

    Tatizo moyo... hamuendani kabissa nae...your beautiful you rock!

  • @carenefaustine9460
    @carenefaustine9460 7 ปีที่แล้ว +10

    Jacklyn I would like to advise you to look for someone who will love you for real na si kwa kiki tu ufunge naye ndoa muwe na familia and I am pretty sure that almighty God will bless you guys kuliko kuachana achana every now and then.
    That was my piece of advice kama utaipokea that will be great .
    Gud luck sweetheart.

    • @jonasjohn1384
      @jonasjohn1384 3 ปีที่แล้ว

      Soh we Hume ona picha zaki tandani soh arikua ana kulipizia uchafu wako ulio fanyaaa

  • @fatmaalfan1319
    @fatmaalfan1319 6 ปีที่แล้ว +8

    definately just take a look of her face she is really thinking on what to explain the whole truth to you.

  • @hyphenofficial18
    @hyphenofficial18 4 ปีที่แล้ว

    am so happy Kwa wasanii wanzangu hata mashabiki kwa kazi nzuri, aah nacho kisema tujikaze kisabuni ili walio nyuma etu pia wao tuwashike ahsante

  • @bintyk5149
    @bintyk5149 5 ปีที่แล้ว +5

    oh my God!!!! wanaume weng wao wanafanana izi tabia hawaridhiki dah& MICHEPUKOOO

  • @edahomary4638
    @edahomary4638 6 ปีที่แล้ว +7

    Millard from de bottom of my heart....I really love yhooo..... even wanna see yhoo face to face...

  • @mariamhussein1347
    @mariamhussein1347 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana sweetheart I love you so much my lovely siz ❤️❤️❤️

  • @Bosswaungwaro
    @Bosswaungwaro ปีที่แล้ว +1

    wolper is a strong woman❤❤❤❤may God bless yuh

  • @jamesotieno7980
    @jamesotieno7980 6 ปีที่แล้ว +44

    Yote machungu hayo ninayoyasikia kama shabiki dhati wako toka Kenya .
    Maisha duara haina mwisho.
    Yote achia Maulana atakupigania.
    Kwa kweli imeniuma.

    • @robertkisunda2727
      @robertkisunda2727 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana

    • @jonasjohn1384
      @jonasjohn1384 3 ปีที่แล้ว

      We huna mtetea uyo mwana mke nishetani Yani alikua ana chukua era za mume wake ana enda kutumia na Wana ume wengine kweli jamni

    • @jamesotieno7980
      @jamesotieno7980 3 ปีที่แล้ว

      @@jonasjohn1384 🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

    • @joramnjoga6622
      @joramnjoga6622 3 ปีที่แล้ว

      Wacha ujinga, type in English. Tunajua ujaluo gharama

    • @jamesotieno7980
      @jamesotieno7980 3 ปีที่แล้ว

      @@joramnjoga6622dogo nilivyofunza ni kuwa nishibishane na mjinga huenda tukawa chini ya paa moja isiyostahili.
      Kiingereza kwangu hakikutukuzwa.🤷‍♂️🤷‍♂️

  • @bernardnyawara8712
    @bernardnyawara8712 7 ปีที่แล้ว +75

    Hamonize will never enjoy peace and love that God planned for him because he chose money over true love!!! All the best Jaque, God will surely give you a true husband!!!

    • @libnaalubnaa8493
      @libnaalubnaa8493 4 ปีที่แล้ว

      Malaya ww

    • @petrinemengot1760
      @petrinemengot1760 4 ปีที่แล้ว

      That's what all those stupid WCB musicians do to women. When they have nothing girls suffer with them use their money to support them. Then when things get better they look another end.

    • @jacklineataah9951
      @jacklineataah9951 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😂😂

    • @dubamohammed8596
      @dubamohammed8596 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jacklineataah9951 yaan umekuja Cheka baada ya jeshi kutoa tamko

    • @nickmallela4841
      @nickmallela4841 3 ปีที่แล้ว

      Y say that

  • @heriethkusigwa3996
    @heriethkusigwa3996 ปีที่แล้ว

    Am here 2022,Sasa hivi ni Mama na Mrs Rich💋💋God is so Sweet🤔

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 6 ปีที่แล้ว +18

    I'm so impressed by the interviewer,he's of a calm disposition. Hongera.Jackie sounds mature and honest.A beautiful T.Z programme.Let's hope things will get better in one way or the other for this couple.If the lady moves on,may she find strength on the way.A familiar story to many in the entertainment world

    • @samwelijohn2722
      @samwelijohn2722 3 ปีที่แล้ว

      Dabomp

    • @emmanuelkiprotich2642
      @emmanuelkiprotich2642 2 ปีที่แล้ว

      Be carageous wolpher,you have gone through a sad situation but hope God will give you a true love.

    • @mercymwendwa1360
      @mercymwendwa1360 2 ปีที่แล้ว

      Llm
      Jpok
      Spas qurzio r
      9

  • @prettyajumy4227
    @prettyajumy4227 7 ปีที่แล้ว +5

    Dah mtihan pole sana jac ndowalivo wanaumee

  • @faizasheikh134
    @faizasheikh134 7 ปีที่แล้ว +4

    Akufukuzae akwambi toka, duh! Dont lie to yourself that he loved you. Love doesnt hurt

  • @PenazZpena
    @PenazZpena 6 ปีที่แล้ว +2

    ushaur wangu kwa kina dada na kaka zetu mkiwa kwenye mahusiano mkija achana tuwe na kaul safi za kufichiana siri iwe mwilini au maisha ya mtu najua hawa wote wanapendana huyu wanampenda sana na hormonize so kuwen wastarabu kauli zenu ili kesho mkirudiana msichekwe na watu

  • @murataydin6987
    @murataydin6987 7 ปีที่แล้ว +12

    This the problem of falling in love with small boys..anyway pole sana

    • @SPrivy
      @SPrivy 4 ปีที่แล้ว

      Not small boys it’s young boys wtf😂😂😂english yako broken khaa

  • @saimonchambe5352
    @saimonchambe5352 5 ปีที่แล้ว +20

    Bora tu mliachana maana hakua viwango vyako kabisa, Jack wewe ni mzuri ati, ukweli wako nimeupenda

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli mana hilo kuma lilishajichokea hawezani na jeshi malaya huyo

  • @lilaleonard1877
    @lilaleonard1877 5 ปีที่แล้ว +5

    Yeah Wolper is beautiful and very intelligent compared to Sasha,you rock Wolper the way you talk.

  • @chelseachelson2130
    @chelseachelson2130 5 ปีที่แล้ว +1

    Don't u worry my lover one. Ure my Best Role Model.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 ปีที่แล้ว +6

    Welpa nakupenda bure mungu atakusaidiya 😢🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮

  • @badboy2577
    @badboy2577 7 ปีที่แล้ว +102

    Njoo kwangu jacky ntakupenda mpka nywele zako zigeuke rangi ziwe nyeusi.

  • @wasaficlassic5070
    @wasaficlassic5070 7 ปีที่แล้ว +11

    Yaani millardayo habari tamu sanaa nimeangalia mwanzo mpaka mwisho sijapitisha hata kidogo big up bro

  • @juxtfrankofficial4072
    @juxtfrankofficial4072 3 ปีที่แล้ว +1

    Jackie you are truly a unique woman....uvumilivu wako wavutia💞💞💞

  • @halimaaasaeed8785
    @halimaaasaeed8785 4 ปีที่แล้ว

    Pole sn wolper nimepend ulivotowa ukwl we we mwanamke strong mashaallah ubarikiwe sn amini pale hakuna penz nipesa t inafanya kazi yake looo pesa kwl mwanaharam.

  • @revinaharuna9888
    @revinaharuna9888 7 ปีที่แล้ว +3

    daaaah pole sana da jack kwa yaliyo kukuta kumbuka kuwa mwanaume siyo ndugu yako hivyo bac usimwamin kwa asilimia mia

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 7 ปีที่แล้ว +4

    Mapenzi wacha yaitwe mapenzi but kwa uzuri uliojaliwa hupaswi kulia lia na mapenzi ila pengne ndo mungu hakupi yote welcome Zanzibar uje ujichagulie watoto wanaojua kulea

    • @chunanachu2529
      @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว

      Mmmh kwa znz usimdanganye mwenzio😂😂😂

  • @aby21111
    @aby21111 5 ปีที่แล้ว +6

    Sarah is an Arab,being an arab myself I am so shameful of what she did.Darling you are pretty so no worries just move on.

  • @kusivabeatrice8560
    @kusivabeatrice8560 2 ปีที่แล้ว +2

    This story is very inspirational, strong woman who deserves a better partner

  • @davidmosha3272
    @davidmosha3272 7 ปีที่แล้ว +90

    Love story which turn into sad story... But this lady sound to be hurt....

    • @wondroussoul5414
      @wondroussoul5414 7 ปีที่แล้ว +2

      david mosha what happened?

    • @himiriathumani308
      @himiriathumani308 7 ปีที่แล้ว +4

      worper unaniliz san dad angu

    • @lizy8412
      @lizy8412 7 ปีที่แล้ว

      Nina Salvatore 1m

    • @neemaruttaiwa6202
      @neemaruttaiwa6202 5 ปีที่แล้ว

      Hsante millayo unahoji ukiwa umetulia

    • @pratnumzarry1048
      @pratnumzarry1048 4 ปีที่แล้ว

      wachana na konde boy anasura kama mbuz inataka kuzaa

  • @neemambena8655
    @neemambena8655 7 ปีที่แล้ว +8

    Pole saaana Dada yangu jack, I love you saaana & naumia kuskia umeumizwa!

  • @cmbcoolsinjahmapesa5715
    @cmbcoolsinjahmapesa5715 7 ปีที่แล้ว +8

    would like to advice diamond platinumz that he should respect others and God will open his ways too

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 7 ปีที่แล้ว +9

    Pole Sana Dada kua na subra utapata mwengine In shaa Allah

  • @alexandrinadomaino1085
    @alexandrinadomaino1085 7 ปีที่แล้ว +34

    Macho mama duuh, you are so beautiful

    • @makhissadrame1446
      @makhissadrame1446 7 ปีที่แล้ว +2

      Alexandrina Domaino what she talking about again can u tell me please

    • @tonyboy4631
      @tonyboy4631 7 ปีที่แล้ว +2

      Makhissa Drame amazing

    • @DeeDiyo5
      @DeeDiyo5 7 ปีที่แล้ว +2

      Makhissa Drame she is talking about her ex boyfriend Harmonize

    • @mwambatv5202
      @mwambatv5202 7 ปีที่แล้ว +2

      Alexandrina Domaino namwona makhissa kizungu kama ya harmonize

    • @shayorita
      @shayorita 7 ปีที่แล้ว +4

      pole my

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 7 ปีที่แล้ว +72

    Kama upo single gonga like

  • @zyanahabil5525
    @zyanahabil5525 6 ปีที่แล้ว +19

    Love is magic when the mind forget the heart will reamember

    • @josephsumari1229
      @josephsumari1229 4 ปีที่แล้ว +1

      And when you don't remember at all you die

    • @khamisbaga
      @khamisbaga ปีที่แล้ว

      Hey what's up my niga

  • @saumumbinya1012
    @saumumbinya1012 6 ปีที่แล้ว +8

    pole swry wachana nae utapata mtu mwingine akufaa in sha allah dadangu

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 7 ปีที่แล้ว +5

    Yani wolper amenikumbusha move ya pretta Na wakina mamuska ,kumbe move sometime wanaact story zakweli Lol it so sad

  • @suumemba6273
    @suumemba6273 7 ปีที่แล้ว +6

    Mwanaume ni mzuri Kama Hana,mkitafuta hela pamoja akizipata we sio wake Tena anasahau mlipotoka,better sponsher stress free,lavidavi,darling forever no heartbreak

  • @ElephantBBoy
    @ElephantBBoy 4 ปีที่แล้ว +8

    Jack me nakuchana ukwely kama mwana sanaa mwenzio ..Unasula nzuri sana tatizo moyo wako .kwakifupi una roho mbaya %zote niulize kwanini

  • @christophercheruiyot5755
    @christophercheruiyot5755 2 ปีที่แล้ว

    The lady she is very strong, and she can manage herself 💪💪💪💪

  • @halmasaidi6688
    @halmasaidi6688 7 ปีที่แล้ว +20

    ulifanya vizur kumuacha uyo mshamba harmonize mlikua hmuendanii alfu simpendii yule misifa kama dangote

  • @tabbywambui5884
    @tabbywambui5884 7 ปีที่แล้ว +4

    Wow... Pole Jackie.. Tulikuwa tukingoja ukweli

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 ปีที่แล้ว +1

    Duh! nilikua nimepa miss sn huk I see.#Ayo tv thx san kwastory kali

  • @g-spack
    @g-spack 4 ปีที่แล้ว +8

    sometime i wonder why beautiful women with lovely loving heart cant find real men who are ready to love them truly...i feel this lady from her story this has made me see her different from what i thought about her,you have right to be happy wolper

    • @rachelmukazayire8293
      @rachelmukazayire8293 3 ปีที่แล้ว

      Ndoo maana ukitaka kumpata mtu mzuri aacha kujali sana maana watu wenye kutokujali sana ndio hupata wapenzi wazuri pia sahihi.

  • @mako331
    @mako331 7 ปีที่แล้ว +14

    thank you my Sister for being so open on this matter, l think you don't deserve to be involved in this kind of drama, you can do better than this

  • @suezanna2690
    @suezanna2690 5 ปีที่แล้ว +6

    Your age and Beauty does not much with Harmonize kanyaga kubwa kubwa tukiendaga 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

    • @neemamwaiteleke5927
      @neemamwaiteleke5927 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana jaki majaribu hayana bud lakin kuna maish baada ya mapito

  • @thierynduwimana8871
    @thierynduwimana8871 2 ปีที่แล้ว

    Nakupendasana wolper unajuwa kuongeyasana acana nahawo vicece vizuri vyako viko mbelle allah anakuonasana mtuwetuu✌️💪💪💪

  • @nakamuramatano5779
    @nakamuramatano5779 4 ปีที่แล้ว +31

    Who's watching this 16/03/2020🤣🤣🤣🤣

    • @yvonnemwikali8
      @yvonnemwikali8 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakamura Matano infact 10/08/2020

    • @nakamuramatano5779
      @nakamuramatano5779 4 ปีที่แล้ว

      @@yvonnemwikali8 🤣🤣🤣

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      @@nakamuramatano5779 7-12-2021 🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @mariamj8219
    @mariamj8219 7 ปีที่แล้ว +122

    jaki WE nimzuli sana kosa ulilofanya nikumpenda mtu Ana sura zito kama uji wamapande ka unajuwa bora kumsaidia MTU mwenye doda kwasababu lile kovu ndo litasababisha akumbuke ulipo mtowa ila ukimsaidia mtumwenye nja akishiba tuuuu imekwisha Wala hatakumbuka ilicho mfanyia kumbe dada tulia utapata wamaana kwako

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana Wolper mpenzi, leo ndio nimekuelewa vizuuur, me pia nimeumizwa aisee ctaki kukumbuka, ila wanaume ndivyo walivyo wanaweza kutoa roho ya mtu hivihivi bila uruma, pole sana Dear cjui kama nitakujakuwa kwenye relashionship, nasubir ndoa ila kuumia tena ctarajii.

  • @michaelmajaliwa8316
    @michaelmajaliwa8316 6 ปีที่แล้ว +8

    U r Soo grown settle down and focus time isn't on UA side u r beautiful go in for a mature man not boys

  • @patrickmacumu9258
    @patrickmacumu9258 4 ปีที่แล้ว +1

    C'etais bien dit wolper,mungu atakupaka tu...