Sikutegemea kama ninge-enjoy filam ya simulizi kiasi hiki maana imetokea kwenye feed yangu wakati nacheki habari za bongo ila dah...hongera sana msimulizi umefanya Stahiki kubwa kwa kunasa hisia za stori nzima na umeweka utani na vibe zote kulingana na maudhui yalivyokua yanafungua..nikajikuta nimetekwa na kutabasam mwenyewe and best of all nimecheka sana juu ya jinsi mshkaji wake alivyoenda kuweka sawa mambo...dah stori tam sana...big Up u have won a fan out of me👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 hakuna namna wacha nikuunge mkono na SUBSCRIPTION aisee...tuko na wewe chief👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽🤙🏽
Hongera Mr chapa good voice all the time from first time until now mungu azidi kukubariki
Tuliotoka TikTok tukaja uku😂😂mbioo like hapa by the way movie nzuri dj uko vzur pia❤
😮😅😅😅😅tuko apaaaa mama
M pia nimo
😂😂😂😂😂😂😂
😊
😅😢B😅😢😊b😂😅😢😅😢😅😢😅
Qtpz😢qut😅 😂😅qt😅sl😊😢qut😅qtp😢 10:51 qu ok😂😅😅😢zm😂😅wu😢😊😂😅.😊towt❤ 1 11:12😅😢😅😢😢😅t
😊😢a😢😅
Qut😅😢l😅😂 11:32 t
Upwu😢😅qu😊😢zbp😢😅q😅😢a oqtMatl nn l😢😅😢😊😢😂😅U😂😅l😢😅😢😅😢😅 1:00 😊😢😊al😢😅z
❤❤❤❤nimefurahi sanaaa😂😂😂
Dj dj dj dj dj🔥🔥🔥nimekuita mara ngapi dj☄️☄️unajua mzee baba🙌🏾🙌🏾
Et body Syo kama ya mwijaku😃😃umetsha Sana🔥
Sikutegemea kama ninge-enjoy filam ya simulizi kiasi hiki maana imetokea kwenye feed yangu wakati nacheki habari za bongo ila dah...hongera sana msimulizi umefanya Stahiki kubwa kwa kunasa hisia za stori nzima na umeweka utani na vibe zote kulingana na maudhui yalivyokua yanafungua..nikajikuta nimetekwa na kutabasam mwenyewe and best of all nimecheka sana juu ya jinsi mshkaji wake alivyoenda kuweka sawa mambo...dah stori tam sana...big Up u have won a fan out of me👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 hakuna namna wacha nikuunge mkono na SUBSCRIPTION aisee...tuko na wewe chief👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽🤙🏽
Nimefurahi,kuna baadhi ya vitu nimejifunza pia.kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤
Tujuwane tunaangaliye hizi movie hazina kucheleweza ngoma moja kwamoja huku tukishushiya kahawa❤😮😮
Hongera Mr chapa good voice all the day
Unajua sana tena sana ❤❤❤
Dah. Yaani chapa wee ee kiboko kweli wa kusimulia
Nakubali xanaa kaka nimeipenda kinoma maixha hayana falsafa
Oooy unyama mwing broo let nyengn kal
Nzuri sana Asante dj 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
We ni namba moja kwa kutafsiri
Oyaa bonge moja ya stori 🔥🔥🔥
We jamaa uko vzr unanimalizia mb zangu kila cku ila sio kwa ubaya ni unyama sana
Namimi hivohivo dah kweli dj umenipatia hii muve nimeilewa
Nime toka fesboock mpaka you tu bu weheee mbali kumbe😅😅😅😅😅
Yani nimetoka tik tok nikaja huku mbio 😂😂❤❤❤ napenda unavyo elezea dj
Kama mm yani 😂😂
😂😂 same same😂😂
Ww kam mm nimeisearch san mpk nikafik huku dj apewe mauwa yake🐖🥀🌹🌷⚘ stor tam na anatafsr viz👏👏r
Mimi pia
Hahaah
Yan upo vizuri sana ❤
Babu nimependa minyo,osho Naviungo unavyoviongezea tupe mupya❤
Nimekuelewa sana bro kanzi nzur yan hauchosh kaza buti ufike alipo fika konka na dulla kid
yaninimetoka tiktok mbio mbio kuitafuta nimeipenda sana
Nimetoka mbio sana kweli tupo wengi duuh mwamba anajua sana
Tuliotoka tiktok tukaja❤
Ndiyo tuko hapa like❤
Hahaha😂
😂😂😂
Oya noma san 😂😂😂😂😂😂😂😂
Umetisha mzee baba
Imekaa poa sana asee🎉
Ila huyu mwambaa spensaa nimempendaaa buleee 😂😂😂😂 Dada haaamini macho yake
Kazi nzur chapa
Noma sanaaaaaaa❤🔥🔥🔥🔥
Nilivyoona dk 40 nikahisi itaboa ooy we jamaa unajua bhana, imeichapa fresh sana hii story
Nzurii hongera sanaa
Sio mwili wa suzu baleeeee😢😢😢 sijapendaaa
😂😂😂😂 sura ya wemaa vitendo vya hemedi 😂 big up bro
Nzuri sana
Iv jmn kuna aliyeona daddy ana fanana na captain G Habashi au ni macho yangu tu
Thanks bro kukutwandalia move tamu san God bless
Nzur ❤❤❤❤
Dah Mimi huwa mvivu WA kufatilia vitu au simulizi ila hii nimeipenda Sana Sana Kwanza imenifresh mind hongera bro
Daah movie nzur nime enjoy🎉
Sikuhiz stress zangu zinamalizwa na dj chapa😂maua yako broo😘
Karibu
Hapa tuna enjoy vinzuri sana tumetoka tiktok
Napenda sana unavyo tafusir
Nakupenda DJ kinyama
Kazi nzuri bro
❤❤❤❤una niria muda sana kaka upo vizuri ongeza vit ❤
Oya ww boya umeweka mzigo mzuri sana kaza hivy hvyo utafika mbali🔥🔥
Xan mzee baba unajua
Daaa nina stress zangu lkn hii ki2 imenifanya nimerudi ktk mudi yangu safiiiii demu pic sana .
Jamani mm natamani ata nikuone ❤
Umetisha
Oya umetisha mkuuu
Nizuli sana na yenye mafunzo.mazuli sana 💋💋💕💕💕💞💞💞💞💞💞
Nimeipenda san ni bonge la story❤
Umetisha sna mwamba
Noma sana
Mapenziii nikituuu cha ovyooo sanaaaaaa
Jamaaa iz wewe unazitoaa wap ni kali sana na zina mafunzo
Hongera sana mwana ndg
Dj uko Sawa mazee
Nimetoka TikTok hodi hum😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Safi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaaani rrraaahaaaaa...hio story daaah
Hahahaha da uyu jamaa😂🙌
Kaka movie nzurii. NAOMBA JINA LA MOVIE.
her private
Umepata jina la movi jamni
@@TubeMastery-j3yhili jina linakataaaa😫
sugar or spice... 👈🏽Jina la movie
@@MathiasFelix-444:58
Umetishaa sanaa mzeee 🙌🙌🙌⭐️⭐️
Toka nijue hii simulizii silale ase ni nomah jmn eh tulio achwaa tuje huku😅😅😅😂
Hii movie nimzuri saana. Niliiangalia yote kabisa. Tamu sana
Ni movie gan
Inaitwaje hii
Inaitwaje kwan
Inaitweje hii
DJ nimekupenda bureee❤😂
Sio powa
Dah ❤ fantastic broh
Hun bay kabisa kaka
Chapa ilale😂😂😂😂🎉🎉
Imenikuna🙌🏽🌹
Sai do tiktok diretamente no TH-cam ❤😂
Huna baya kk xtory tam xaaaaaan endelea kufany kk
Chapa dj wew ni nyoko
Nime pendaa
Sana ❤❤❤❤❤
Jinalake Lina Tisha lakini maudhui Yake ni mazuri sana l love it ❤❤❤❤
Inaitwaje!?
Bro yupo vzur sana
❤❤❤❤ Kali sana
dj me napenda sauti yako etp❤❤❤❤❤
Kali sana❤❤
My fav, Uche Montana❤
Nice ❤ penda sana
❤❤❤ nimeipenda san
Tupe Jina broo tangu tiktok ❤❤❤
TUWEKEE NA MAJINA YA MOVIE KAKA❤
Unajua bwana😂😂🤟🤟
Pamoja Sana 👈
Jamaa anajua sana
Yatima wa mapenz tunafalijika pia Dj weye Utunzwe kwa Ajili yetu😂😅
Dj kunywa serengeti lemon hapo nitakuja nilipe😂😂
Hakika ni mzuri sana
😁😁😁suzie balle yuko wp angeisikia hy😂😂
😂😂😂😂
Big story
Men nimeipenda ile mbaya bro hakuna nyingine tena
Nimeipenda sana tuuu
Wewe shabiki wa emedi kabisa Kaka Ila nimependa🤣🤣