ASANTE RAIS MAGUFULI KWA KUTIMIZA NDOTO YA MWALIMU NYERERE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @mossymtwana6422
    @mossymtwana6422 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamani huyu Baba Rais wetu Mteule tunampenda wenyewe saana John Joseph Magufuli ❤❤Kafiri muuwe haki yake mpeni jamani kazi kafanya🙏🙏🙏🙏❤❤😍😍 kwa miaka 4 huo mwaka wa tano wala sihesabu Mwenyeezimungu amzidishie nguvu afya njema uzima salama na maarifa jamani anahaki ya kushinda jamani Mwenyeezimungu atazidi kumpigania hii vita hii ya watu wa chache wa ndani na nje Jeshi la Mungu ni kubwa adui woote tunaowasikia wakati wa Mungu utafika hatutowaona wala kuwasikia tena kwa Uweza wa Mwenyeezimungu aliyetandika mbingu na nchi Milele Amina.
    Atukuzwe Baba Mwana na Roho Mtakatifu Amina na Amina.

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 ปีที่แล้ว +12

    Mungu mbariki raisi wetu Magufuri

  • @saidimashauri252
    @saidimashauri252 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana,hakika huu ni urithi wetu#

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 ปีที่แล้ว

    Pumzika Salama Jembe JPM mzalendo mwana wa Africa 🇹🇿💪🔥🔥

  • @marymaige6466
    @marymaige6466 4 ปีที่แล้ว +5

    JPM ❤❤❤

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏magufuli mungu akuweke

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu mlinde Rais J.P Magufuli kwa maana anavyo ubandilishe Tanzania inakuwa Ulaya kabisaa

  • @veronicacormack4511
    @veronicacormack4511 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless our president and protect him from glory to glory we going higher thank you for your great wisdom

  • @matokeonestroy9764
    @matokeonestroy9764 4 ปีที่แล้ว +6

    Jaman tusimsifu2 na kumkubali rais kwa saab ya mambo anayoyafanya halaf badae mkamgeuka baada ya kuona kila kitu ni kawaida maana ndo tabia ya waafrika

    • @gloriamichael3698
      @gloriamichael3698 4 ปีที่แล้ว +1

      Katika maandiko matakatifu ktk Samuel waana Wa Israel walitaka wawe na wafalme samweli akamuuliza Mungu alimjibu wacha wafanye watakavyo kwani hawajakukataa wewe bali ni mimi ndivyo walivyo wanadamu kwani hata Mimi mwenyewe wamesahau yote niliyowatendea toka Misri.Mungu atusaidie kukumbuka mazuri Kwa kusahaulishwa mazuri 100 Kwa baya 1 .Mungu bariki Tanzania, Africa na ulimwengu wote amina

  • @annacharles4392
    @annacharles4392 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongeraaaa

  • @oman7710
    @oman7710 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wetu wa Tanzania yetu ni Yeye John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine kwa Kasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 4 ปีที่แล้ว +1

    Dhuuuuu......Magufuli
    Mwisho wa maarifa
    Umeweka historia
    Tanzania. Afya nakuombea.

  • @bahatimohamedi2255
    @bahatimohamedi2255 4 ปีที่แล้ว +3

    Good

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akubaliki Sana Raisi wetu hakika kazi unaitenda

  • @jamesmwita5187
    @jamesmwita5187 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere memorial hospital in musoma Mara Tanzania kiukweli tunajivunia kuwa na viongozi mzarendo kwa taifa letu

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 ปีที่แล้ว

    Bonge la hospital Yaan r.l.p JPM wetu Mzalendo

  • @fetehomar27
    @fetehomar27 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @richrichard5164
    @richrichard5164 2 ปีที่แล้ว

    Yalaa hii ndo inatakiwa hivyo

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 ปีที่แล้ว

    JPM wetu Mzalendo Alikuwa Mzalendo wakweli kabisa , Nasikia hospital Hii Awamu kibao hawakuweza imalizia lakini jpm jembe Toka Chato Anafanya maajabu

  • @jenniphermwakasita6830
    @jenniphermwakasita6830 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwani hii mijengo hiko chato nyinyi vichaa jamaani tuwe wakweli

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 4 ปีที่แล้ว

      Chato wapi Msoma huko kwa Baba wa Taifa.

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 4 ปีที่แล้ว +1

      Halafu yoote haya mtu useme umeibiwa Kura jamani Tumuogope Mwenyeezimungu watu wanaakili jamani

    • @erickriyoba2837
      @erickriyoba2837 3 ปีที่แล้ว

      kwangwaa musoma hiyo

    • @evaristrusaku7603
      @evaristrusaku7603 ปีที่แล้ว

      Humjengo uko msoma

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 ปีที่แล้ว

    Mh. RAIS WANGU WA TANZANIA MUNGU AKULINDE NA AKUEPUSHE NA KILA AJALI ZILIZOKO MBELE YAKO.
    MUNGU AKUPE NEEMA NA TAIFA LAKO LIBARIKIWE NA WATU WAKE MUNGU ATUBARIKI.

  • @alizaharan1471
    @alizaharan1471 2 ปีที่แล้ว

    KWAKWELI TUNA KUKUMBUKA JEMBE JAPO UMEONDOKA NANI MWENYE WAZO ALIFIKILIA KUIMALIZA HIYO KAZI WANGAPI WAMEPOTA MUNGU AKULIPE KWA KILA JAMBO