ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Somo zurii sanaa sanaa
Ahsante sana kwa kufuatilia, na kwa mrejesho.
Asante kwa elimu kubwa kama hii akika nami nitaekeza
🙏🙏🙏🙏
Almighty bless you both abundantly...
Thank you Amina for the blessings. I have already conveyed your blessings to Mr. Busara.
Asante sana mwalimu busara
Ahsante kwa kufuatilia. Tumefikisha salamu zako kwa mwalimu.
Somo zuri sana Asante ubarikiwe
Ahsante sana kwa kufuatilia session. Tutafikisha salamu.
L0l4PaaÀapp😂l😂😂😂ĺ AND COPYRIGHT ii ACKNOWLEDGEMENT iii l`@@mindsettinginitiative
Mimi salma na wasikiliza kutoka Oman naomba mawasiliano ya busara
Habari Salma. Ahsante na hongera kwa kufuatilia. Mr. Busara unampata moja kwa moja kupitia WhatsApp kwa nambari +255 754 360 256. Kila la kheri!
Kutoka Singida Tz Nawapata vyema. Ni kiwafuatilia Kila HATUA
Ahsante sana kwa kufuatilia mafunzo yetu kwa ukaribu mkubwa.. for sure I can fell you it shall pay off in time.
Je unapataje vitabu na je vipi vya ebook?
Ili upate kitabu inabidi uwasiliane na Mwl. Busara. Kwa sasa vitabu vyote ni hardcopies.
Tafadhali tuambie, unasikiliza haya mafundisho kutokea wapi?
Morogoro ulanga
@@catherinetarimo3453 Ahsante sana kwa kufuatilia mafundisho. Ungetamani kujifunza nini zaidi kutoka kwetu?
Naomba msada wako napata Pesa ningemba ushauri zaidi
Tafadhali wasiliana na Mr. Busara kupitia mawasiliano: +255 754 360 256
Hii pdf naipata wapi?
Kiongozi hapa fanya kuwasiliana na Mr. Busara. +255 754 360 256
Je umejifunza nini ambacho unadhani ni muhimu na wengine wakajifunza?
Tuanze kuwekeza na sio kuzalisha bila kuwekeza
@@catherinetarimo3453 ahsante sana. Hilo ni jambo moja muhimu sana.
Tatizo orbiti hamjali wateja,nilishapga simu mara kibao nataka kununua hisa lakn hampokei,nafkr kunpbadili dalali tu
Ahsante kwa kufikisha suala hili hapa. Nitaliwasilisha mara moja kwa wahusika. Tafadhali watafute tena kwa namba hizi: +255 746 848 301. Ukipata shida kuwapata tafadhali unaweza kuweka comment tena na nifanye juhudi nyingine ili kuwaunganisha.
Niko oman natakanikirudi nyumbani Tanzania niweze kuwa na kipato endelevu
Hongera kwa kuwa na lengo muhimu sana.
Somo zurii sanaa sanaa
Ahsante sana kwa kufuatilia, na kwa mrejesho.
Asante kwa elimu kubwa kama hii akika nami nitaekeza
🙏🙏🙏🙏
Almighty bless you both abundantly...
Thank you Amina for the blessings. I have already conveyed your blessings to Mr. Busara.
Asante sana mwalimu busara
Ahsante kwa kufuatilia. Tumefikisha salamu zako kwa mwalimu.
Somo zuri sana Asante ubarikiwe
Ahsante sana kwa kufuatilia session. Tutafikisha salamu.
L0l4Paa
Àapp😂l😂😂😂ĺ AND COPYRIGHT ii ACKNOWLEDGEMENT iii l`@@mindsettinginitiative
Mimi salma na wasikiliza kutoka Oman naomba mawasiliano ya busara
Habari Salma. Ahsante na hongera kwa kufuatilia. Mr. Busara unampata moja kwa moja kupitia WhatsApp kwa nambari +255 754 360 256.
Kila la kheri!
Kutoka Singida Tz
Nawapata vyema. Ni kiwafuatilia Kila HATUA
Ahsante sana kwa kufuatilia mafunzo yetu kwa ukaribu mkubwa.. for sure I can fell you it shall pay off in time.
Je unapataje vitabu na je vipi vya ebook?
Ili upate kitabu inabidi uwasiliane na Mwl. Busara. Kwa sasa vitabu vyote ni hardcopies.
Tafadhali tuambie, unasikiliza haya mafundisho kutokea wapi?
Morogoro ulanga
@@catherinetarimo3453 Ahsante sana kwa kufuatilia mafundisho. Ungetamani kujifunza nini zaidi kutoka kwetu?
Naomba msada wako napata
Pesa ningemba ushauri zaidi
Tafadhali wasiliana na Mr. Busara kupitia mawasiliano: +255 754 360 256
Hii pdf naipata wapi?
Kiongozi hapa fanya kuwasiliana na Mr. Busara. +255 754 360 256
Je umejifunza nini ambacho unadhani ni muhimu na wengine wakajifunza?
Tuanze kuwekeza na sio kuzalisha bila kuwekeza
@@catherinetarimo3453 ahsante sana. Hilo ni jambo moja muhimu sana.
Tatizo orbiti hamjali wateja,nilishapga simu mara kibao nataka kununua hisa lakn hampokei,nafkr kunpbadili dalali tu
Ahsante kwa kufikisha suala hili hapa. Nitaliwasilisha mara moja kwa wahusika. Tafadhali watafute tena kwa namba hizi: +255 746 848 301.
Ukipata shida kuwapata tafadhali unaweza kuweka comment tena na nifanye juhudi nyingine ili kuwaunganisha.