UCHAWI HAUNA NGUVU KWA WATU WAAMINIFU | 21-04-2024 | FULL VIDEO HD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • UCHAWI HAUNA NGUVU KWA WATU WAAMINIFU | 21-04-2024 | FULL VIDEO HD

ความคิดเห็น •

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 หลายเดือนก่อน

    Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu ni kweli kabiza uchawi hauna nguvu Kwa watu waminifu

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj 4 หลายเดือนก่อน

    Amen baba napokeya mibalaka🙏🙏🙏

  • @carolineawika6550
    @carolineawika6550 หลายเดือนก่อน

    Ameeen Ameeen.Asante kwa yesu

  • @LucKonkwa-h8y
    @LucKonkwa-h8y 4 หลายเดือนก่อน

    Ni me kuwa Congo baba namimi usinipitie unapo gusa nakuponya mukutano hii yavuka yordani niko apa mungu unipe kibali baba unipe roho yakukupenda yesu nakuitaji katika maisha yangu uwenguzo dani ya nyumbayangu funguwa fungua uchumi wangu na barakadhangu zionekane

  • @chelaakimaru1000
    @chelaakimaru1000 3 หลายเดือนก่อน

    You are blessing to me

  • @JustineDebora-qm5ee
    @JustineDebora-qm5ee 3 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Nina Labuan jibar lower Asante mungu wa Abrahamu kwa kutupatia fun kama hii

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @MuyamaBetwa
    @MuyamaBetwa 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen Asante Mungu wangu wewe ni mwema

  • @faidonpanja2044
    @faidonpanja2044 2 หลายเดือนก่อน

    naomba sana Mungu aniepushe naroho yachuki ndn.yangu.

  • @JeremiahLoserian
    @JeremiahLoserian 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu unibariki katika maisha yangu

  • @faryndobesa7600
    @faryndobesa7600 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kweli kwajambo n hiyo nyinyimuendeleye kuwshubiri 🎉❤

  • @AndreaDaud-ub7rr
    @AndreaDaud-ub7rr 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @estherbasimise2255
    @estherbasimise2255 6 หลายเดือนก่อน

    Eeh Bwana wangu pigana na wanao pigana Nami ..Nifunguwe Yesu

  • @KabanyanaAlice
    @KabanyanaAlice 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu Mimi sina uwezo wakufika Arusha naomba nifunguriwe hapa kwa mutandaon amen

  • @SeifJuma-yt1pk
    @SeifJuma-yt1pk 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @LucKonkwa-h8y
    @LucKonkwa-h8y 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu niko congo ila naomba unikutaniche na madhabahu iyi naunifunguwe na ufunguwe nyumba yangu na maishayangu

  • @KAZOZAMANGA
    @KAZOZAMANGA 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu bwana ni kubanishe na nguvu wa madhabahu

  • @faustakomba8186
    @faustakomba8186 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema namshukuru naomba Tusaidie baba nawatoto wetu amina

  • @MatumainiZawadi
    @MatumainiZawadi 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wewe ni Mungu hakika,Hapana uchawi kwa watu wa Mungu

  • @stellahmachocho5346
    @stellahmachocho5346 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unilinde pamoja na family yangu kutokana na nguvu za kichawi

  • @Eunice-lm2ck
    @Eunice-lm2ck 7 หลายเดือนก่อน

    ❤amen Baba Mimi ni Eunice nasali hapo nipo USA river niombee ndugu waninichukia ni ukoo wa mafie ni wadada watano Mimi ni wa mwisho wanasema Mimi si ndugu yao

  • @LucKonkwa-h8y
    @LucKonkwa-h8y 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa vuka yordani na mimi usinipitie unisamehe namimi unipe guvu yakusamehe unipekibali maratena unipe kibali yakukupenda wanapo barikiwa katika madhabahu huu na mi usinipitie baba kumbuka tulipo achika mungu haukutuacha mpaka ivi tumedhaa nasisi mungu wa vuka yordani usinipitie baba nimeshuka mbelezako

    • @faidonpanja2044
      @faidonpanja2044 2 หลายเดือนก่อน

      Kupitia mafundisho yako baba naamini kabisa mume wangu ataponywa magonjwa.

  • @ClaudineClaudine-h9f
    @ClaudineClaudine-h9f 7 หลายเดือนก่อน

    Amen hakuna uchai kwenye maisha yangu tena na juu ya familia yangu yote🙏

  • @JeremieFariala
    @JeremieFariala 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu,nipigenie mimi , bila ww siwezi , fungua maisha yangu

  • @PhailesjovinJovin
    @PhailesjovinJovin 3 หลายเดือนก่อน

    Hakutakuwa na uchawi kwangu na kwa familia yangu kupitia madhabau hii kwa jina la yesu maana uchawi hauna nafasi baba nakuacha wewe ushughulike na watu wanaotesa familia yangu kwa kuiwekea agano ya mauti na magonjwa, mungu ulietenda kwao utatenda kwetu

  • @JustinaSamuel-zd6rq
    @JustinaSamuel-zd6rq 7 หลายเดือนก่อน

    Kupitia madhabahu haya najiunganisha nipate uponyaji pamoja na familia yangu amen

  • @fridahtears8619
    @fridahtears8619 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nguvu ya MUNGU iliyoko Kwa madhabahu Haya,impige shangazi yangu mchawi na kaka yake,iwauwe waache kutesa jamii yangu...

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 7 หลายเดือนก่อน

      😮😮😮😮😮 huuuuuu

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 7 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen 🙏 in Jesus name

    • @peterkimanthi5874
      @peterkimanthi5874 7 หลายเดือนก่อน

      Hii madhabahu sio ya ya hvo jmn...mfuatilie mtumishi vizuri hafudishagi hvo

  • @RafikiIbrahim
    @RafikiIbrahim 7 หลายเดือนก่อน

    Niponye n'a nguvuzakichawi Yesu kristu wewe ni muamuzi wa haki hakuna ngumu kwako Bwana

  • @SINKOLONGOISAAC-kz5jk
    @SINKOLONGOISAAC-kz5jk 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unikumbuke pamoja nafamilia yangu 🙏🏿🙏🏿

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 8 หลายเดือนก่อน

    Asante YESU KRISTO Kwa somo hili

  • @NishimweDiego
    @NishimweDiego 8 หลายเดือนก่อน

    Amennnnn

  • @byaombeyussufu5740
    @byaombeyussufu5740 8 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana baba kwa neno zuri

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie saaana

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 8 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN

  • @victorinekasongo4351
    @victorinekasongo4351 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu na some hi

  • @Jassyvlogs96
    @Jassyvlogs96 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

    • @faustakomba8186
      @faustakomba8186 7 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru kwa neno lako mungu Amina

    • @faustakomba8186
      @faustakomba8186 7 หลายเดือนก่อน

      Ameeeeen Ameeeeen

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 8 หลายเดือนก่อน

    Nilinunuliwa na damu ya Yesu
    hakika hakuna uchawi kwa Yakobo Amen

  • @Salama-dk8of
    @Salama-dk8of 6 หลายเดือนก่อน

    Eee.mungu.nfungue.familiyi.nyagu.kwa.jina.layesu

  • @DayanaGidi
    @DayanaGidi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mngu atushindie vita.yakichawi aikomboe ndoa ya Dada yangu iludiiwe imala nabwana yake aludi kwajinala yesu shetani aaibike ushindi uwejuyake kwanala yesu tutashinda

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu atukuzwe sana. Yesu kupitia madhabahu ya Vuka Yordan naomba nikue kiroho nikujue zaidi

  • @IscoIsrael
    @IscoIsrael 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nimeachilie mungu Kwa kila jambo

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaindie

  • @rehemajayden
    @rehemajayden 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu pigana nao wanaopigana nami wepe adhabu yako kali

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 หลายเดือนก่อน

    Aleluuuuuuuuuuyah

  • @kasayifidele7962
    @kasayifidele7962 7 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu ni rehemu

  • @AsteriaJuma-n6q
    @AsteriaJuma-n6q 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu bila ww siwezi nipiganie

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 หลายเดือนก่อน

    Nikwe kabiza mutumishi wa Mungu hakuna uchawi ju watumishi wa Mungu waninio

  • @LucKonkwa-h8y
    @LucKonkwa-h8y 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu aniokoe kupitia mazabahu iyi afungule Milan go ambazo wachawi wamekwishafunga. Mungu na mini utaifungua

  • @Salama-dk8of
    @Salama-dk8of 7 หลายเดือนก่อน

    Ee.mungu.nfunguwwe.famiiy.yangukwa.jina.yayesu.kistor

  • @QueenterZawadi
    @QueenterZawadi 7 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu wangu ni saidiye n jifungue salama bila ww siwezi

  • @ShekitiroBirindwa
    @ShekitiroBirindwa 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nirehemu,na unibariki uniokowe kupitia kisima cha vuka yordani

  • @janethsinzo
    @janethsinzo 7 หลายเดือนก่อน

    Napataje mawasiliano ya mchungaji sumbe mtu anisaidie😢😢

  • @IvoneMwajuma
    @IvoneMwajuma 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mazabahu ya vukayordani unihepushe nakilamalipizi yakichawi

  • @RizikiJoel-p2i
    @RizikiJoel-p2i 2 หลายเดือนก่อน

    Amn mchungaji

  • @BahirweRay
    @BahirweRay 8 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu uni rehemu ila ni si haribishiwe ndowa yangu

  • @FaidaBuhendwa-i6m
    @FaidaBuhendwa-i6m 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mazabahu ya vuka yordani ni funguliye dossiers yangu ni pate n'a mimi Safari

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uchawi kwa jakobo

  • @estherbasimise2255
    @estherbasimise2255 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU NIFUNGUWE

  • @rogermbilizi3069
    @rogermbilizi3069 8 หลายเดือนก่อน

    BABA NAJA KWAKO0 ⁰UNIPONYEU

  • @purymumykarisa8863
    @purymumykarisa8863 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @FaidaBuhendwa-i6m
    @FaidaBuhendwa-i6m 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏

  • @joycemugo2280
    @joycemugo2280 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @peteroderobarasa5205
    @peteroderobarasa5205 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @KangaraWangui
    @KangaraWangui 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AishaJules-h8n
    @AishaJules-h8n 5 หลายเดือนก่อน

    Amen